Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Dah! Inasikitisha sana kumbe ndio ilivyokua 🥲Amekiri hajui kingereza na alijisikia yupo salama hata mkataba hakuchukua. Aliamini walichozungumza ndicho kilichopo kwenye mkataba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Inasikitisha sana kumbe ndio ilivyokua 🥲Amekiri hajui kingereza na alijisikia yupo salama hata mkataba hakuchukua. Aliamini walichozungumza ndicho kilichopo kwenye mkataba.
Hii inaonyesha hakua na mwanasheria."Baada ya kuwasumbua sana ndio wakaniongezea Million 20 zingine baaae."
Mazungumzo yalikua nilipwe signing fees million 100 Kwa mkupuo, baada ya kusaini wananiambia kua mkataba unasema nitalipwa Kwa mafungu. Mkataba ni wa Kingereza na mi sikijui".
Inawezekana upo sawa ila Dogo ameshasema tangu anasaini mkataba alisaini kwa kumuamini Hersi, hata mkataba hakuchukua Kumbe Hersi walichozungumza sicho alichokiandika kwenye mkataba.Hakuna kipengele kilichopo kwenye mkataba kilichovunjwa,CAS wataangalia mkataba unasemaje na unatekelezwaje
Aondoke yeye, Engineer abakiKwahivyo kumbe vita ni kati ya Engineer Harsi na Feisal, ndo maana anasema akiondoka Hersi leo hii, anarudi Yanga.
Ukweli ni upi mkuu? inawezekana wewe ukawa unajua kuliko Feisal,tupe ukweli tufaidike hapa JF.Muongo huyo anatunga maneno then hayana mashiko, alale mbele.
Umeacha mengi na umeandika machache, moja wapo ni hili.
"Nilipata kidogo kuliko nilichokiacha. Simba walinipa milioni 25, lakini moyo ulinisukuma kwenda Yanga ambapo nilipata milioni 10".
Yaani kisheria Fei kashika makali ila ameona potelea mbali kuliko kurudi Yanga. Na amekiri, hana tatizo na Yanga, ana tatizo na kiongozi sababu licha ya kumtapeli aliendelea kumnyanyasa.Dah! Inasikitisha sana kumbe ndio ilivyokua 🥲
Huko juu wamesema amekiri hajui Kiingereza. Yeye wamezungumza na Injinia akajua anachosaini ni kile walichokubaliana kwa mdomo.Hivi si unasaini nakala original mbili moja yako mwenyewe na nyingine ya upande wa pili,au kwenye mpira ni tofauti?
Bibi. Hadi kwenye mpira humoNdiyi ujibga wenyewe huo. Sheria haina jutokujuwa, angetafuta nwanasheria kabla hajasaini mkataba.
Huyo masikini ya Mungu alikuwa haijuwi dunia na hajuoata washauri waziri, ni wakuhurumiwa tu.
Salama yake huyo kijana amuombe GSM tu kama ataweza, maana nasikia siku hizi GSM kumuona ni vigumu kuliko hata kumuona Rais wa nchi.
CAS huko hawahukumu kihuruma, hana kesi huyo. Yanga waliwekeza kwa matumaini wavune faida, alikuwa hafahamu kama mpira ni biashara.
Huwezi kuwarudishia million 100 ya kusaini useme ndiyo umemalizana nao. Hapo ilitakiwa awalipe gharama zao zote na faida juu. Kwa uchache nahisi kama 1b.
Ushirikina uliopo kwenye mpira anafikiri kuna huruna huko? Maawe.
Awaambie viongozi wa timu anayotaka kuhamia wa "negotiate" na viongozi wa Yanga. Simpo.
Evidence [emoji41]Ukweli ni kuwa Rais alikuwa anataka kumnajisi kijana ndiyo maana anapata kigugumizi kutamka wazi lakini dogo ameondoka Yanga kulinda utu na marinda yake.
Mkataba ulikua umeandikwa kingeKua yeye hajui kusoma???
Mkuu hata Messi anasimamiwa na Baba yake anayeitwa Jorge ndio agent wake,hilo sio tatizo,kuna interview moja,Baba yake Messi alisema; "Messi mpaka leo ananisikiliza mimi,hafanyi movement yeyote bila mimi Baba yake"Huyu dogo boga kabisa, kunakuwaje na connection kati ya Mama yako na Yanga? Ina maana huwezi jisimamia au
Sawa kuna ujanjaa mwingwi sana kwenye Mambo ya Mikataba, lakini wengi wetu huzingatia sana kwenye swala la muda, hata Kodi ya jengo utazauri visheria vyote vidogo vidogo lakini utazingatia sana kwenye swala la muda wa ulipaji Kodi yako, ukisema hujui umechukua pesa ya muda wa miaka miwili alafu unafanyishwa kazi kwa miaka mitatu hilo haliingii akilini kabisa!!Sitatoa coment ya maana mpaka mahojiano na ya Feisal na Clouds yatakapo isha ila mpaka hapo mahojiano yalipo fik...
Hayo ameyagundua lini?kwanini hakuanza na hili la muda wa mkataba kuongezwa kinyemela tofauti na walivyoongea maana kusoma hajuiHuko juu wamesema amekiri hajui Kiingereza. Yeye wamezungumza na Injinia akajua anachosaini ni kile walichokubaliana kwa mdomo...