Fezza Kessy ajinadi live live

Hahahahaha...unamaliza siku yangu vizuri.
Kwa ushauri tumia miwani ya lenzi mkuu magnify lens labda utafanikisha ndoto zako
 
Mh yaani unamaanisha anafanya mapenzi ya jinsia moja kwamba ni msagaji??????
[emoji3][emoji118]

Mkuu alisemea kwenye instagram kwake huko.Ilivuma kiasi fulani nadhani,sema watu hawakuitilia maanani sana...

Ni something kweli alisema!

Anapenda sana sanaa na umaarufu ila ndio hivyo vinamkataa sana.Ni kama yupo confused kidogo.
 
Anastahili lakini...sishangai hongera @fezzakessy
 
Kwani hao uliowataja wana akili sawasawa? Samahani lkn
 
Uku ni kujikubali nako
Sikuwa najua...ila unaweza ukajikubali for nothing ndo kama huyu bidada kujikubali si vibaya ila kavuka mipaka aisee
Ni kujikubali kwa asilimia 100%

Unaita for nothing but kumbuka beuty is subjective. Kwa kiasi fulani kila mtu ana muono wake.

Hata hivyo Literaly Feza hawezi mfikia Beyonce
...lakini cha msingi haruhusu mtu yoyote am let down kwa maumbile yake alioumbiwa na Mungu.

Loving your self is the greatest love of all.
 
Mkuu alisemea kwenye instagram kwake huko.Ilivuma kiasi fulani nadhani,sema watu hawakuitilia maanani sana...

Ni something kweli alisema!

Anapenda sana sanaa na umaarufu ila ndio hivyo vinamkataa sana.Ni kama yupo confused kidogo.
Nyota haing'arii...
Aje kwangu nimpeleke akaoshwe
Anastahili lakini...sishangai hongera @fezzakessy
 
Wee mbona una hasira sana au ni dadaake?
 
Mboga za majani [emoji1] [emoji1]
Hivi ndo uwaga vegitable?
Naomba kuuliza,kama mwanaume hana utimamu wa ...anaitwa kibamia,na mwanamke ambae hana utimamu wa chura ataitwaje?hilo jina Tumpe uyu fezzakessy nazani litamfaha vyema.
Enzi za miaka yetu 2003-2006 tulikua tunawaita Sony Wega.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…