Fezza Kessy ajinadi live live

Mkuu hongera sana kwa kupambana na wanaoitukana bangi
 
Enzi za miaka yetu 2003-2006 tulikua tunawaita Sony Wega.
Hili jina liko vyema lakini lina kaugumu flani,ila nazani litatufaa
Kwaiyo chief miaka ya nyuma ma sony wega walipatikana kwa wingi sana mtaani kwenu
 
Sura hata mbuzi anayo si tunatazama wowowo
 
Wee mbona una hasira sana au ni dadaake?
Umeelewa nilichoandika ama umekurupuka??

Mimi nimeongelea huyo mjinga anayesema eti bangi imechangia kwa uyo demu kupagawa kumbe uyo ukute huko anapigika na ugumu wa maisha halafu mnakuja kusema eti bangi imechangia...

Sasa kusema ni dada angu imeingia vp apo....
nachosema ni hivi bangi sio sababu ya uwenda wazimu wa watu hapa nchini, ugumu wa maisha ndo kipimo cha wendawazimu!
 
Ishu hapa ni kua sio kila mwendawazimu kavuta bangi....

huyo mjinga ukute tatizo lake kubwa ni umri umeenda hajafanya cha maana, mara menopause ndo iyo inakaribia, huku kiki za muziki zinafeli, confusion tele, depression, stress, feeling rejected, uraibu wa viroba na pombe kali, hudhuni, mifadhaiko ya ugumu wa maisha, kukata tamaa, kutothaminika, na kudharaulika etc.....sasa kwa dizaini iyo ataacha kua mwehu kweli?? Hapana tena tushukuru amekua mwehu mana wenzake wa type yake huwa wanaishia kujiua....


Sasa mjinga mwengine anakuja kusema bangi izo bangi izo hao ndo wale mtu akiwa na macho mekundu ni anavuta bangi kumbe kuna kitu kinaitwa 'red eyes'...
Trust me bangi haiwezi kumfanya mtu akawa mbulula hata mara moja ukiona ivo ujue ni mbulula since birth so bangi imeboost umbulula wake tu!





Mkuu naomba unisamehe kwa kukukwaza.

Nafuta kauli yangu.

Mkuu umekunywa chai kweli?

Jamaa ana hasira huyo balaa.

Ha ha ha!

Nimemshangaa tu, itakuwa hajagombana na mtu kwa suku za hivi karibuni.

Kwa hiyo anachokoza chokoza kutafuta wa kutukanana naye.

Pale unapoiponda bangi wkt wadau wake tupo wengi humu

Sidhani kama nimeiponda, ila jamaa hakuelewa nini nimemaanisha.

Nilivyojua tu atakuwa amevuta tayari imebidi nijikaushe tu.

Bado imo kichwani kutoka mjengoni BBA

Bangi mbaya sana!!

Mkuu hongera sana kwa kupambana na wanaoitukana bangi

*sasa iyo picha ya chini apo..huyo mjinga anaeonyesha siku yake ya kwanza kuingia kwenye nyumba ya mke wake nae si mtasema bangi eeti???
Kumbe sababu sio bangi ni ulimbukeni na kupenda vya bure...jifunzeni kuwa na logic ktk reasoning zenu.....
 

Attachments

  • Screenshot_20180114-022016.png
    44.3 KB · Views: 42
Writing Under Influence (WUI)
Seee!
Tunarudi kule kule, communication is broken down, you don't get me!
Don't u know anythin about 'logic reasoning'????

Yani unakuta mbulula ni limbukeni uko unakuja kusema herb imechangia??
Basi wakina Bob Marley, Fidel , Guevarra, Obama wangeongoza kua malimbukeni wakubwa......
 

Ni ngumu sana kuelewana na mvuta bangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…