GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.
2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania ambazo zingeisaidia Kuikuza Yanga kuliko ilivyo sasa.
3. Kuona hakuna Professionalism ndani ya Klabu ya Yanga ambapo Chawa wa Tajiri na Wapumbavu waliojazana kupewa Kipaumbele na Wataalam ( Wasomi ) Kudharauliwa.
4. Alikataa kabisa Mhamasishaji wa Yanga SC Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara asifanye Press Conference yake ya Wiki iliyopita kwakuwa ingeichafua zaidi Yanga SC na hata kuiweka Matatani ( Matatizoni ) na TFF ila akashangaa Uongozi ( hasa Wadhamini GSM ) kuwa nyuma yake.
5. Kuzinduliwa kwa Jezi Mbovu na Mbaya kuwahi kutokea katika Historia ya Soka Duniani za Msimu ujao wa NBC Premier League ambazo haziendani na Hadhi ya Klabu ya Yanga na Yeye pia ambaye ni Mzoefu katika Mpira wa Afrika na hata wa Dunia.
6. Kitendo cha Mganga ( Mchawi ) wa Timu kupewa Umuhimu mkubwa na Kulipwa Pesa nyingi huku Watendaji wa Klabu wakidai Mishahara yao Kumemkasirisha zaidi na kuona kumbe anafanya Kazi na Wahuni pamoja na Waswahili.
7. Klabu ya Yanga SC kuwa na Madeni makubwa ( mengi yakiwa ni ya Kujitakia ) Ili tu Kuwafurahisha Mashabiki na pia Kuwadanganya wana Yanga SC kuwa Wameingia Udhamini na Kampuni ya Sports Pesa wa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu wakati Mkataba halali waliouingia Yanga SC na Sports Pesa ni wa Tsh Bilioni 3 tu kwa Miaka Mitatu.
Endeleeni tu Kuficha mambo yenu!!!!