Kumuuza vipi mchezaji ambae mkataba wake umeisha na hivi sasa ndo Kwanza wanafanya mazungumzo ya kuongeza mkataba
Wachezaji wote wa Yanga waliosainiwa last season ambao sio wazawa walikula mwaka mmoja mmoja, na alieonesha kuimpress ndio ataongezewa mkataba,kwahiyo ata kama Mayele angeamua kwenda kaizer angeenda kama free Agent
ila akiangalia vile anapata support akiwa bongo/umaarufu/kupendwa na yanga alafu akimbilie sehemu yenye ushindani anahisi yatamkuta ya kambole kwahiyo Bora atulize boli tu asinye mkataba mpya
aende south Africa kule Nani atampa Ng'ombe, Ng'ombe wa kule ni wa maziwa, ambao wafugaji ndio huwategemea kama chanzo cha kipato, kwahiyo kumpa mtu zawadi ofisi yako ni uongo
All in All siku hizi jamaa yetu umekuwa kama Kigogo wa Twitter, baada ya Raisi magufuri kufariki huna tena tena za ndani wa wala za Nje, unabwabwaja tu