Ficheni ila wenye Watu wetu ndani ya Yanga SC wametuambia kuwa hizi ndizo sababu za Senzo Mbatha Kuwakataa

Wanayanga tutapinga kua sio kweli

Wanasima watasema ni kweli.

Ndivyo ilivyo.
 
Propaganda fc naona wapo kambini
Wao kila wanacho kifanya yanga kwao ni kibaya tu
Wakileta wachezaji ni wabaya
Wakileta Coch kwao ni mbaya
Wakifanya dili lolote kwao ni mbaya
Yaani kwa yanga hakuna njema dah
Ok endeleeni na propaganda zenu

Mbona haujatoa sababu zake za kutoka simba sasa
 
Simba walishapoteana tangu msimu uliopita wamebaki na Majungu na kuanzia tarehe 13 watabaki na swaga za Yanga ana nunua mechi.
 
Ww kinyeo fc
Unasumbuka Sana

Yanga moja na mwaka huu

Kombe tunabeba tripple
 
GENTAMYCINE sijawahi Kuandika Jambo ambalo sina uhakika nalo na bahati nzuri nina Rafiki zangu wengi ndani ya Yanga SC kuanzia Wachezaji wao Waandamizi ( hasa Wazawa ) na Viongozi wao Wawili ambao popote Timu ilipo nao huwa wapo na ndiyo Wamenipa haya niliyoyaelezea hapa.

Sijui nije pia na Taarifa ya Aibu ya aliyekuwa Kipa wa Yanga SC Dogo Ramadhan Kabwili ( Dogo tuliyemlea Wenyewe tokea akiishi Lugalo Kota hadi kwa Kocha wa Watoto Zagalo na Mamilo wa Kawe ) dhidi ya Mmoja wa Viongozi wa Juu wa Yanga ( tena ni Tajiri ) nae au nikaushe ( ninyamaze ) kwa sasa mpaka hili la Jezi Mbovu na Kituko lililowakera karibia 99% ya wana Yanga SC nchini liishe.....!!!!
Wewe ni muongo , muhuni , laghai
Intalahamwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumuuza vipi mchezaji ambae mkataba wake umeisha na hivi sasa ndo Kwanza wanafanya mazungumzo ya kuongeza mkataba

Wachezaji wote wa Yanga waliosainiwa last season ambao sio wazawa walikula mwaka mmoja mmoja, na alieonesha kuimpress ndio ataongezewa mkataba,kwahiyo ata kama Mayele angeamua kwenda kaizer angeenda kama free Agent

ila akiangalia vile anapata support akiwa bongo/umaarufu/kupendwa na yanga alafu akimbilie sehemu yenye ushindani anahisi yatamkuta ya kambole kwahiyo Bora atulize boli tu asinye mkataba mpya

aende south Africa kule Nani atampa Ng'ombe, Ng'ombe wa kule ni wa maziwa, ambao wafugaji ndio huwategemea kama chanzo cha kipato, kwahiyo kumpa mtu zawadi ofisi yako ni uongo

All in All siku hizi jamaa yetu umekuwa kama Kigogo wa Twitter, baada ya Raisi magufuri kufariki huna tena tena za ndani wa wala za Nje, unabwabwaja tu
 
1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.

2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania ambazo zingeisaidia Kuikuza Yanga kuliko ilivyo sasa.

3. Kuona hakuna Professionalism ndani ya Klabu ya Yanga ambapo Chawa wa Tajiri na Wapumbavu waliojazana kupewa Kipaumbele na Wataalam ( Wasomi ) Kudharauliwa.

4. Alikataa kabisa Mhamasishaji wa Yanga SC Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara asifanye Press Conference yake ya Wiki iliyopita kwakuwa ingeichafua zaidi Yanga SC na hata kuiweka Matatani ( Matatizoni ) na TFF ila akashangaa Uongozi ( hasa Wadhamini GSM ) kuwa nyuma yake.

5. Kuzinduliwa kwa Jezi Mbovu na Mbaya kuwahi kutokea katika Historia ya Soka Duniani za Msimu ujao wa NBC Premier League ambazo haziendani na Hadhi ya Klabu ya Yanga na Yeye pia ambaye ni Mzoefu katika Mpira wa Afrika na hata wa Dunia.

6. Kitendo cha Mganga ( Mchawi ) wa Timu kupewa Umuhimu mkubwa na Kulipwa Pesa nyingi huku Watendaji wa Klabu wakidai Mishahara yao Kumemkasirisha zaidi na kuona kumbe anafanya Kazi na Wahuni pamoja na Waswahili.

7. Klabu ya Yanga SC kuwa na Madeni makubwa ( mengi yakiwa ni ya Kujitakia ) Ili tu Kuwafurahisha Mashabiki na pia Kuwadanganya wana Yanga SC kuwa Wameingia Udhamini na Kampuni ya Sports Pesa wa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu wakati Mkataba halali waliouingia Yanga SC na Sports Pesa ni wa Tsh Bilioni 3 tu kwa Miaka Mitatu.

Endeleeni tu Kuficha mambo yenu!!!!
Una uharo wewe si bure.
 
Hyo sababu ya mwsho nmeona kama ina sound iv..wajnga wamecheza na namba ili wawafurahishe mashabik...ila ukwl yanga haina dhaman ya kudhaminiwa kwa hzio b12
 
1❌Mimi nilishtuka sana kuona Msola dakika za mwisho ghafla kusikia hagombei

❌Nilishangaa sana kuona mgombea uraisi anamponda mgombea umakamu mmoja huku akitumia muda mwingi kumnadi mgombea mwingine ambaye ana connection na mzalisha magodoro

❌Nilisikitika sana kuona siku kombe limeingia hapa mjini, wakawa wanapiga ibada za dini fulani pekee bila hata kujishtukia

♦️Matendo yote yalinipa alarm kuwa ndani ya kundi kuna mtifuano wa ndani kwa ndani wa kikundi fulani chenye maslahi yake ku dorminate timu katika kila idara
 
1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.

2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania ambazo zingeisaidia Kuikuza Yanga kuliko ilivyo sasa.

3. Kuona hakuna Professionalism ndani ya Klabu ya Yanga ambapo Chawa wa Tajiri na Wapumbavu waliojazana kupewa Kipaumbele na Wataalam ( Wasomi ) Kudharauliwa.

4. Alikataa kabisa Mhamasishaji wa Yanga SC Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara asifanye Press Conference yake ya Wiki iliyopita kwakuwa ingeichafua zaidi Yanga SC na hata kuiweka Matatani ( Matatizoni ) na TFF ila akashangaa Uongozi ( hasa Wadhamini GSM ) kuwa nyuma yake.

5. Kuzinduliwa kwa Jezi Mbovu na Mbaya kuwahi kutokea katika Historia ya Soka Duniani za Msimu ujao wa NBC Premier League ambazo haziendani na Hadhi ya Klabu ya Yanga na Yeye pia ambaye ni Mzoefu katika Mpira wa Afrika na hata wa Dunia.

6. Kitendo cha Mganga ( Mchawi ) wa Timu kupewa Umuhimu mkubwa na Kulipwa Pesa nyingi huku Watendaji wa Klabu wakidai Mishahara yao Kumemkasirisha zaidi na kuona kumbe anafanya Kazi na Wahuni pamoja na Waswahili.

7. Klabu ya Yanga SC kuwa na Madeni makubwa ( mengi yakiwa ni ya Kujitakia ) Ili tu Kuwafurahisha Mashabiki na pia Kuwadanganya wana Yanga SC kuwa Wameingia Udhamini na Kampuni ya Sports Pesa wa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu wakati Mkataba halali waliouingia Yanga SC na Sports Pesa ni wa Tsh Bilioni 3 tu kwa Miaka Mitatu.

Endeleeni tu Kuficha mambo yenu!!!!
🤔🤔🤔 Siku zote umbea auna posho👗👗👗👠👠
 
Kwa hiyo umeokewa na senzo na unamuwakilisha
 
Akili za luchelele hizi, punguza bangi

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom