Ficheni ila wenye Watu wetu ndani ya Yanga SC wametuambia kuwa hizi ndizo sababu za Senzo Mbatha Kuwakataa

Unapenda kuongelewa wanaume wanakupiga chuma!!
 
Watu wa profile ya Senzo wako wengi tu bongo tuache kushobokea wageni, Yanga ni taasisi iliyoshiba aende tu! Hata mimi tu naweza hiyo kazi ndogo tu, Raisi na makamu wana kazi gani Senzo wa nini? amejishtukia hana kazi maalum kasepa!
Yanga ya makombe inamuhitaji Prof Nabi na Kaze tu sio Senzo wala Manara wala Morisson!!
 
Mi toka waseme wamemsainisha Morrison miaka mitatu wakati ilikuwa uongo mpaka leo sina imani nao.
 
1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.

2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania ambazo zingeisaidia Kuikuza Yanga kuliko ilivyo sasa.

3. Kuona hakuna Professionalism ndani ya Klabu ya Yanga ambapo Chawa wa Tajiri na Wapumbavu waliojazana kupewa Kipaumbele na Wataalam ( Wasomi ) Kudharauliwa.

4. Alikataa kabisa Mhamasishaji wa Yanga SC Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara asifanye Press Conference yake ya Wiki iliyopita kwakuwa ingeichafua zaidi Yanga SC na hata kuiweka Matatani ( Matatizoni ) na TFF ila akashangaa Uongozi ( hasa Wadhamini GSM ) kuwa nyuma yake.

5. Kuzinduliwa kwa Jezi Mbovu na Mbaya kuwahi kutokea katika Historia ya Soka Duniani za Msimu ujao wa NBC Premier League ambazo haziendani na Hadhi ya Klabu ya Yanga na Yeye pia ambaye ni Mzoefu katika Mpira wa Afrika na hata wa Dunia.

6. Kitendo cha Mganga ( Mchawi ) wa Timu kupewa Umuhimu mkubwa na Kulipwa Pesa nyingi huku Watendaji wa Klabu wakidai Mishahara yao Kumemkasirisha zaidi na kuona kumbe anafanya Kazi na Wahuni pamoja na Waswahili.

7. Klabu ya Yanga SC kuwa na Madeni makubwa ( mengi yakiwa ni ya Kujitakia ) Ili tu Kuwafurahisha Mashabiki na pia Kuwadanganya wana Yanga SC kuwa Wameingia Udhamini na Kampuni ya Sports Pesa wa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu wakati Mkataba halali waliouingia Yanga SC na Sports Pesa ni wa Tsh Bilioni 3 tu kwa Miaka Mitatu.

Endeleeni tu Kuficha mambo yenu!!!!
Umeandika ufala sana 😂.
 
Kwa mchezaji mwenye ndoto ya kucheza nje ya nchi - Yanga sio mahali sahihi.

Yani wanakataa Bil 3 za kumuuza Mayele, kisha mkataba wake ukiisha mwakani anaondoka free!.
 
Ok! Leo nimeelewa Kwanini watu humu JF wanakuona kituko.

Nasikitika kukuambia kwamba waliyokuwa wanasema juu yako ni ya kweli.
 
1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.

2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania ambazo zingeisaidia Kuikuza Yanga kuliko ilivyo sasa.

3. Kuona hakuna Professionalism ndani ya Klabu ya Yanga ambapo Chawa wa Tajiri na Wapumbavu waliojazana kupewa Kipaumbele na Wataalam ( Wasomi ) Kudharauliwa.

4. Alikataa kabisa Mhamasishaji wa Yanga SC Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara asifanye Press Conference yake ya Wiki iliyopita kwakuwa ingeichafua zaidi Yanga SC na hata kuiweka Matatani ( Matatizoni ) na TFF ila akashangaa Uongozi ( hasa Wadhamini GSM ) kuwa nyuma yake.

5. Kuzinduliwa kwa Jezi Mbovu na Mbaya kuwahi kutokea katika Historia ya Soka Duniani za Msimu ujao wa NBC Premier League ambazo haziendani na Hadhi ya Klabu ya Yanga na Yeye pia ambaye ni Mzoefu katika Mpira wa Afrika na hata wa Dunia.

6. Kitendo cha Mganga ( Mchawi ) wa Timu kupewa Umuhimu mkubwa na Kulipwa Pesa nyingi huku Watendaji wa Klabu wakidai Mishahara yao Kumemkasirisha zaidi na kuona kumbe anafanya Kazi na Wahuni pamoja na Waswahili.

7. Klabu ya Yanga SC kuwa na Madeni makubwa ( mengi yakiwa ni ya Kujitakia ) Ili tu Kuwafurahisha Mashabiki na pia Kuwadanganya wana Yanga SC kuwa Wameingia Udhamini na Kampuni ya Sports Pesa wa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu wakati Mkataba halali waliouingia Yanga SC na Sports Pesa ni wa Tsh Bilioni 3 tu kwa Miaka Mitatu.

Endeleeni tu Kuficha mambo yenu!!!!
Pole ndugu, hakuna hoja yenye mashiko hapo, Mbata amepata matatizo ya kifamilia na hili ni muda mrefu sana, alitaka kuacha kazi akakae karibu na familia yake lakini walimshauri asubiri mkataba wake uishe na yanga wamalize uchaguzi.

Hakuwa mlevi kivile ila matatizo ya kifamilia yalikuwa yanampa stress akawa anapata kilevi kwaajili kupalilia moyo, kumbuka familia yake iligoma kuja kuishi Dar kutokana na hali ya hewa na mazingira.

Kumbuka pia Yeye ndiyo alipendekeza Manara aje Yanga

Kwa hiyo hayo uliandika ni umbea kama umbea mwingine
 
Wazee wa kufurahisha mashabiki huku wanaumia ndani kwa ndani....IMAGINE unatoa 200mil usd kununua kifunguo..!! Who does that??[emoji849]
 
Kwani Bilioni 20 zipo?
 
#Kutoka_mwanasport

Saa chache baada ya uongozi wa Yanga kutangaza kwamba aliyekuwa Ofisa Mtendaji wao Mkuu Senzo Mazingiza anaondoka mwenyewe ameibuka na kukanusha juu ya kuondoka kwake kuhusishwa na ujio wa mshambuliaji Bernard Morrison.

Akizungumzia ishu ya kupishana mara mbili na kiungo mshambuliaji Bernard Morrison Senzo amesema wala hana tatizo na usajili huo na kwamba alihusika mara zote kumsajili Mghana huyo katika klabu zote.

"Niliwahi kuwaambia ninyi Mwanaspoti juu ya Morrison, bahati mbaya hapa Tanzania uongo hupewa nafasi kubwa kusambaa, nilisema nilipokuwa Simba nilihusika kumleta Morrison pale lakini bahati mbaya wakati anafika mimi nilikuwa naondoka," amesema Senzo

"Nikiwa hapa Yanga pia imekuwa hivyohivyo, viongozi wenzangu wanajua jinsi tulivyoshirikiana kumleta huyu Morrison, huyu ni mchezaji bora bila kuangalia mambo yake yanayosemwa.

"Nina imani kubwa Morrison atakwenda kuwafanyia kazi kubwa wananchi ambao wamempokea tena bila kinyongo, hata mimi nitafarijika nikisikia Morrison akiwa anafanya kazi bora hapa.

"Mimi bado ni mwananchi hapa nitaendelea kuwasailiana na viongozi wenzangu, sijaondoka Yanga kwa ubaya kabisa ndio maana mmekuwa mkiniona hapa katika kazi zote, bahati mabya hili lilitakiwa niliamue sasa wakati ambao pia mkataba ulikuwa unakwisha.
 
Pole ndugu, hakuna hoja yenye mashiko hapo, Mbata amepata matatizo ya kifamilia na hili ni muda mrefu sana, alitaka kuacha kazi akakae karibu na familia yake lakini walimshauri asubiri mkataba wake uishe na yanga wamalize uchaguzi.

Hakuwa mlevi kivile ila matatizo ya kifamilia yalikuwa yanampa stress akawa anapata kilevi kwaajili kupalilia moyo, kumbuka familia yake iligoma kuja kuishi Dar kutokana na hali ya hewa na mazingira.

Kumbuka pia Yeye ndiyo alipendekeza Manara aje Yanga

Kwa hiyo hayo uliandika ni umbea kama umbea mwingine
Are you Mrs. Senzo?
 
Back
Top Bottom