GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Wamekudanganya kwakuwa wanajua hauna Akili.Mbona tunaambiwa atakuja kivigine transformation ikikamilika?
Ni Wapumbavu kabisa.Utopolo ni wajinga Sana
Umeandika ufala sana 😂.1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.
2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania ambazo zingeisaidia Kuikuza Yanga kuliko ilivyo sasa.
3. Kuona hakuna Professionalism ndani ya Klabu ya Yanga ambapo Chawa wa Tajiri na Wapumbavu waliojazana kupewa Kipaumbele na Wataalam ( Wasomi ) Kudharauliwa.
4. Alikataa kabisa Mhamasishaji wa Yanga SC Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara asifanye Press Conference yake ya Wiki iliyopita kwakuwa ingeichafua zaidi Yanga SC na hata kuiweka Matatani ( Matatizoni ) na TFF ila akashangaa Uongozi ( hasa Wadhamini GSM ) kuwa nyuma yake.
5. Kuzinduliwa kwa Jezi Mbovu na Mbaya kuwahi kutokea katika Historia ya Soka Duniani za Msimu ujao wa NBC Premier League ambazo haziendani na Hadhi ya Klabu ya Yanga na Yeye pia ambaye ni Mzoefu katika Mpira wa Afrika na hata wa Dunia.
6. Kitendo cha Mganga ( Mchawi ) wa Timu kupewa Umuhimu mkubwa na Kulipwa Pesa nyingi huku Watendaji wa Klabu wakidai Mishahara yao Kumemkasirisha zaidi na kuona kumbe anafanya Kazi na Wahuni pamoja na Waswahili.
7. Klabu ya Yanga SC kuwa na Madeni makubwa ( mengi yakiwa ni ya Kujitakia ) Ili tu Kuwafurahisha Mashabiki na pia Kuwadanganya wana Yanga SC kuwa Wameingia Udhamini na Kampuni ya Sports Pesa wa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu wakati Mkataba halali waliouingia Yanga SC na Sports Pesa ni wa Tsh Bilioni 3 tu kwa Miaka Mitatu.
Endeleeni tu Kuficha mambo yenu!!!!
Kesho atasaini mkataba mpyaKwa mchezaji mwenye ndoto ya kucheza nje ya nchi - Yanga sio mahali sahihi.
Yani wanakataa Bil 3 za kumuuza Mayele, kisha mkataba wake ukiisha mwakani anaondoka free!.
Pole ndugu, hakuna hoja yenye mashiko hapo, Mbata amepata matatizo ya kifamilia na hili ni muda mrefu sana, alitaka kuacha kazi akakae karibu na familia yake lakini walimshauri asubiri mkataba wake uishe na yanga wamalize uchaguzi.1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.
2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania ambazo zingeisaidia Kuikuza Yanga kuliko ilivyo sasa.
3. Kuona hakuna Professionalism ndani ya Klabu ya Yanga ambapo Chawa wa Tajiri na Wapumbavu waliojazana kupewa Kipaumbele na Wataalam ( Wasomi ) Kudharauliwa.
4. Alikataa kabisa Mhamasishaji wa Yanga SC Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara asifanye Press Conference yake ya Wiki iliyopita kwakuwa ingeichafua zaidi Yanga SC na hata kuiweka Matatani ( Matatizoni ) na TFF ila akashangaa Uongozi ( hasa Wadhamini GSM ) kuwa nyuma yake.
5. Kuzinduliwa kwa Jezi Mbovu na Mbaya kuwahi kutokea katika Historia ya Soka Duniani za Msimu ujao wa NBC Premier League ambazo haziendani na Hadhi ya Klabu ya Yanga na Yeye pia ambaye ni Mzoefu katika Mpira wa Afrika na hata wa Dunia.
6. Kitendo cha Mganga ( Mchawi ) wa Timu kupewa Umuhimu mkubwa na Kulipwa Pesa nyingi huku Watendaji wa Klabu wakidai Mishahara yao Kumemkasirisha zaidi na kuona kumbe anafanya Kazi na Wahuni pamoja na Waswahili.
7. Klabu ya Yanga SC kuwa na Madeni makubwa ( mengi yakiwa ni ya Kujitakia ) Ili tu Kuwafurahisha Mashabiki na pia Kuwadanganya wana Yanga SC kuwa Wameingia Udhamini na Kampuni ya Sports Pesa wa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu wakati Mkataba halali waliouingia Yanga SC na Sports Pesa ni wa Tsh Bilioni 3 tu kwa Miaka Mitatu.
Endeleeni tu Kuficha mambo yenu!!!!
Kwani Bilioni 20 zipo?1. Kufanya Kazi kama Deiwaka tu na siyo kumpa Mkataba wa Kueleweka huku mkimchafua kwa Wanachama kuwa ni Mlevi wa Pombe na kwamba huwa analewa Chakari.
2. Kukataa kwa Yanga SC Kumuuza Mshambuliaji wake Fiston Mayele katika Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwa Tsh Billion 3 za Kitanzania ambazo zingeisaidia Kuikuza Yanga kuliko ilivyo sasa.
3. Kuona hakuna Professionalism ndani ya Klabu ya Yanga ambapo Chawa wa Tajiri na Wapumbavu waliojazana kupewa Kipaumbele na Wataalam ( Wasomi ) Kudharauliwa.
4. Alikataa kabisa Mhamasishaji wa Yanga SC Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara asifanye Press Conference yake ya Wiki iliyopita kwakuwa ingeichafua zaidi Yanga SC na hata kuiweka Matatani ( Matatizoni ) na TFF ila akashangaa Uongozi ( hasa Wadhamini GSM ) kuwa nyuma yake.
5. Kuzinduliwa kwa Jezi Mbovu na Mbaya kuwahi kutokea katika Historia ya Soka Duniani za Msimu ujao wa NBC Premier League ambazo haziendani na Hadhi ya Klabu ya Yanga na Yeye pia ambaye ni Mzoefu katika Mpira wa Afrika na hata wa Dunia.
6. Kitendo cha Mganga ( Mchawi ) wa Timu kupewa Umuhimu mkubwa na Kulipwa Pesa nyingi huku Watendaji wa Klabu wakidai Mishahara yao Kumemkasirisha zaidi na kuona kumbe anafanya Kazi na Wahuni pamoja na Waswahili.
7. Klabu ya Yanga SC kuwa na Madeni makubwa ( mengi yakiwa ni ya Kujitakia ) Ili tu Kuwafurahisha Mashabiki na pia Kuwadanganya wana Yanga SC kuwa Wameingia Udhamini na Kampuni ya Sports Pesa wa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu wakati Mkataba halali waliouingia Yanga SC na Sports Pesa ni wa Tsh Bilioni 3 tu kwa Miaka Mitatu.
Endeleeni tu Kuficha mambo yenu!!!!
Tafuta ndizi upike macharali
Are you Mrs. Senzo?Pole ndugu, hakuna hoja yenye mashiko hapo, Mbata amepata matatizo ya kifamilia na hili ni muda mrefu sana, alitaka kuacha kazi akakae karibu na familia yake lakini walimshauri asubiri mkataba wake uishe na yanga wamalize uchaguzi.
Hakuwa mlevi kivile ila matatizo ya kifamilia yalikuwa yanampa stress akawa anapata kilevi kwaajili kupalilia moyo, kumbuka familia yake iligoma kuja kuishi Dar kutokana na hali ya hewa na mazingira.
Kumbuka pia Yeye ndiyo alipendekeza Manara aje Yanga
Kwa hiyo hayo uliandika ni umbea kama umbea mwingine
Leo hiyo au?Aende zake huko.wo
Ukipanua zitajitokeza.Kwani Bilioni 20 zipo?