Ficheni ila wenye Watu wetu ndani ya Yanga SC wametuambia kuwa hizi ndizo sababu za Senzo Mbatha Kuwakataa

Umesahau na hili kumrudisha BM
 
Hii yanga ndo itawafelisha zaidi
7. Klabu ya Yanga SC kuwa na Madeni makubwa ( mengi yakiwa ni ya Kujitakia ) Ili tu Kuwafurahisha Mashabiki na pia Kuwadanganya wana Yanga SC kuwa Wameingia Udhamini na Kampuni ya Sports Pesa wa Tsh Bilioni 12 kwa Miaka Mitatu wakati Mkataba halali waliouingia Yanga SC na Sports Pesa ni wa Tsh Bilioni 3 tu kwa Miaka Mitatu.
 
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…