Fid Q : The King of Plagiarism of all the time

Ulifanya poa tu. Hata YESU/ Masiah wapo waliomkana kama Wewe hapo. Na kila msanii ana "fanbase" yake.
Nitakutajia vichwa vya hip hop bongo na siyo hits za kukopi,fid q niliacha sikiliza nyimbo zake miaka mingi tangu alipotoa ft na nature agosti 13
 
Rylics nitofauti na articles brah...when comes to rap it's a wrap..Music plagiarism is the use or close imitation of another author's music while representing it as one's own original work. Plagiarism in music now occurs in two contexts—with a musical idea (that is, a melody or motif) or sampling (taking a portion of one sound recording and reusing it in a different song).
 
Punch za fid q zote ni copy hili unaweza kuliona kirahisi,hawezi kuimba bila kusoma.

Hii ni sababu kubwa pia hawezi fanya free styles.
Suala la freestyle ni ishu nyingine kabsa,,ni wasanii wachache sana ambao wapo vzr kwenyr nyimbo zao na bado wakawa ni ma freestyle killer

Pia kuna mafundi wa freestyle na bado kwenye uandshi sio chochote,,japo freestyle ni nguzo moja wapo ya hip hop

Kwa hyo suala la kushindwa kufreestyle sio kigezo cha mtu kuwa mkali wa hip hop.
 
Uchokozi huo
 
Conclusion: What Fid q has been doing is not plagiarism 100%.
 
Huyu jamaa kitambo tu anakopi na kutafsiri. Ishu sio kukopi. Ishu ni kwanini akikopi hatoi credit kwa mhusika???? We ka unajua umetoa mstari flani wa mtu , toa credit kwa huyo uliesampo kazi yake, hii tumeiona kwa wasanii wengi wa nje akichukua mstari flani hata kama ni zama za kale atatoa credit, ila jamaa anavunga kama ya kwake kumbe limekopi tu.
 
Kopi na wewe utafsirii[emoji28][emoji28][emoji28]Akili za kimaskinii
 
akiipumzisha itaota kutu wakati hii kitu sio ufunguo,anamuomba mungu amsitiri zaidi ya mwili wake na nguo-hii kakopi wapi!!?
 
akiipumzisha itaota kutu wakati hii kitu sio ufunguo,anamuomba mungu amsitiri zaidi ya mwili wake na nguo-hii kakopi wapi!!?
Na we usiwe kama popoma kwani hujui kuwa kukopi sio mpaka wimbo mzima, hata kipengele kinatosha. Hivyo usiwe shobodundo mwambie huyo mwanao akisampo atoe credit
 
Na we usiwe kama popoma kwani hujui kuwa kukopi sio mpaka wimbo mzima, hata kipengele kinatosha. Hivyo usiwe shobodundo mwambie huyo mwanao akisampo atoe credit
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha hayapo hivyoo hakuba mstari mpya chini ya jua..Tupe mistari mitatu at lst aliyokopi!
 
Na we usiwe kama popoma kwani hujui kuwa kukopi sio mpaka wimbo mzima, hata kipengele kinatosha. Hivyo usiwe shobodundo mwambie huyo mwanao akisampo atoe credit
kikowapi kipengere!?..anza na fid q.com,chagua moja,namba nane,propaganda,agosti 13
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha hayapo hivyoo hakuba mstari mpya chini ya jua..Tupe mistari mitatu at lst aliyokopi!
Hii ni baadhi ya mistari aliyo iiba mchizi

True friends are quick to sit in the beginning of all trouble, and when your bankroll doubles/ - Teacha

Vs

Kupata washkaji ukiwa na pesa ni rahisi, Kuwapata na hauna kitu ujue umefanikiwa kichizi / - Fid

'Cause don't nobody care about us, all they do is doubt us/ Until we blow the spot then they all wanna crowd us , and wanna shout us/ but you my man from way back' - Teacha

vs

'sihitaji urafiki na usupastaa / ukihit ndo unang'aa.. upishwe useat kwenye bar,upewe beat na Jr../ kitu ambacho haikuwa rahisi kipindi fid ni underground' - Fid '/


I'm not a yes man and none of my friends are yes men or women/' - Teacha

Vs '

sikia fid q anamsifia fareed ni bandidu sio Yes man/'- Fid

'Whether at the bar with superstars'- Teacha

Vs '

sihitaji urafiki na usupastaa / ukihit ndo unang'aa.. upishwe useat kwenye bar ,' - Fid


Pitia hii link hapa....

Internet.org
 


Si yeye tu ila wasanii wote wa bongo fleva ndivyo walivyo, si wanamuziki ni wasanii kama wanavyojulikana. Wanakopi kazi za watu wengine kisha wanalazimisha serikali eti itetee kazi zao, kazi zipi hizo za kukopi na kupaste kazi za wengine? Mimi kama ningekuwa waziri wa wizara husika ningefutilia mbali bongo fleva hapa nchini na kuwafunga wasanii wake kwa wizi wa kazi za wengine. Kuna mdada anajifanya Beyoncé wa Tanzania kwa kuiga kila kitu isipokuwa hajuwi hata kucheza, kazi kukata mauno tu na aendani na Beats. Alikuwa mtangazaji wa TV huko nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…