Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mwambie huyo Erythrocyte wa Mwakaleli😆😆😆😆Mkuu ukitoka Kyela na kujenga kwa kuuziwa eneo na mzaramo mjanja matokeo yake ndiyo hayo.
Wengi wameingia huo mkenge, unauziwa sehemu kumbe mipangomiji walisha li zone hilo eneo kwa matumizi mengine.
Sina nyumba KipunguniMkuu ukitoka Kyela na kujenga kwa kuuziwa eneo na mzaramo mjanja matokeo yake ndiyo hayo.
Wengi wameingia huo mkenge, unauziwa sehemu kumbe mipangomiji walisha li zone hilo eneo kwa matumizi mengine.
Sijawahi kumiliki nyumba KipunguniMwambie huyo Erythrocyte wa Mwakaleli😆😆😆😆
Eneo la Mwakaleli haliko Kyela, liko Busokelo mashariki ya wilaya ya RungweMwambie huyo Erythrocyte wa Mwakaleli😆😆😆😆
Karibu na Uwanja wa Ndege ukipitia BananaKipunguni iko wapi
Noma sanakwa kipindi chote hicho hawaruhusiwi kuendeleza maeneo yao , Maana yake hutakiwi kupaka rangi wala kujenga Choo kipya hata kama kilichopo kimefurika
Walipeni basiWatalipwa fidia tu, bilioni 147 ndogo sana, uwanja wa ndege kwa mwaka utaingiza mapato mara kumi ya hizo.
Halafu kama inapita muda fulani, kwa mujibu wa sheria ya uthamini, uthamini wa awali unafutwa
Na Kagongwa IPO wapi?Eneo la Mwakaleli haliko Kyela, liko Busokelo mashariki ya wilaya ya Rungwe
Hata kama wanachelewa miaka 100 kulipwa siyo mbaya kama yule DIKTETA Mwendazake alivyowafanyoa wakazi wa Kimara- Kibaha ambapo aliputisha barabara ya njia 6 bila kuwafidia wakazi waliokuwapo.
Uharamia wa Malipo ya watu hawa ambao wamefanyiwa kwa zaidi ya miaka 20 , si wa kawaida , unaambiwa wameanza kufanyiwa Tathmini ya eneo lao miaka 28 iliyopita , kwa madai ya eneo hilo kutumika kwa upanuzi wa Uwanja wa Ndege .
July 2022 wakafanyiwa tena Tathmini nyingine na kwamba walipaswa kulipwa kabla ya octoba 2023 , lakini hadi leo kimya ! kumbukeni kwamba kwa kipindi chote hicho hawaruhusiwi kuendeleza maeneo yao , Maana yake hutakiwi kupaka rangi wala kujenga Choo kipya hata kama kilichopo kimefurika .
Bila kuona damu hamuhisi kama ni unyama !Headline inasema "unyama"..nikajua labda watu wanauwawa au kuvunjiwa nyumba na kutupwa nje..kumbe wamefanyiwa tathmini na malipo yamechelewa
Hizo porojo umetoa wapi ?Hata kama wanachelewa miaka 100 kulipwa siyo mbaya kama yule DIKTETA Mwendazake alivyowafanyoa wakazi wa Kimara- Kibaha ambapo aliputisha barabara ya njia 6 bila kuwafidia wakazi waliokuwapo.
Naamini hawa watu WATAFIDIWA kabla ya Juni 2024, na hicho ndicho kielelezo cha utawala bora chini ya Rais Samia