DOKEZO Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

DOKEZO Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hela zilishaliwa

Nchi kwa kula hela wajo njema

Rejea wale wafanyakazi wa jumuiya africa mashariki walichofanyiwa

Nchi imejaaa dhuluma

Ova
 
Uharamia wa Malipo ya watu hawa ambao wamefanyiwa kwa zaidi ya miaka 20 , si wa kawaida , unaambiwa wameanza kufanyiwa Tathmini ya eneo lao miaka 28 iliyopita , kwa madai ya eneo hilo kutumika kwa upanuzi wa Uwanja wa Ndege .

July 2022 wakafanyiwa tena Tathmini nyingine na kwamba walipaswa kulipwa kabla ya octoba 2023 , lakini hadi leo kimya ! kumbukeni kwamba kwa kipindi chote hicho hawaruhusiwi kuendeleza maeneo yao , Maana yake hutakiwi kupaka rangi wala kujenga Choo kipya hata kama kilichopo kimefurika .
Ccm mbere
Kwa mbere
 
naam mkuu na mimi ni mkazi wa kipunguni na huyo mama apo ulieweka picha ya kuhojiwa namjua kabisa mpaka jina lake na ni jirani yangu.
 
Mkuu ukitoka Kyela na kujenga kwa kuuziwa eneo na mzaramo mjanja matokeo yake ndiyo hayo.
Wengi wameingia huo mkenge, unauziwa sehemu kumbe mipangomiji walisha li zone hilo eneo kwa matumizi mengine.
Kuna mtu kauziwa eneo lile eneo la UDSM pembeni ya Mlimani City akaambiwa ni kiwanja. Ametoka zake Njombe huko na hela zake za miti akpigwa milioni 50.
 
Uharamia wa Malipo ya watu hawa ambao wamefanyiwa kwa zaidi ya miaka 20 , si wa kawaida , unaambiwa wameanza kufanyiwa Tathmini ya eneo lao miaka 28 iliyopita , kwa madai ya eneo hilo kutumika kwa upanuzi wa Uwanja wa Ndege .

July 2022 wakafanyiwa tena Tathmini nyingine na kwamba walipaswa kulipwa kabla ya octoba 2023 , lakini hadi leo kimya ! kumbukeni kwamba kwa kipindi chote hicho hawaruhusiwi kuendeleza maeneo yao , Maana yake hutakiwi kupaka rangi wala kujenga Choo kipya hata kama kilichopo kimefurika .
Wasubiri kwa sababu pesa tunaziingiza kwenye kampeni za teuzi ccm
 
Back
Top Bottom