DOKEZO Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

DOKEZO Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
img_20240112_132654-jpg.2869641
 

Attachments

  • IMG_20240112_132654.jpg
    IMG_20240112_132654.jpg
    117.4 KB · Views: 19
  • IMG_20240112_133203.jpg
    IMG_20240112_133203.jpg
    34.3 KB · Views: 6
Sio huko tu kuna kijiji cha Nyatwali huko Bunda wamefanyiwa tathimin lkn malipo ni hadith,wananchi maisha yao yamekua ya ovyo maana hawajui kesho yao.Serekali hawajali kabisa maisha ya watu.
 
Malipo ya Fidia Kupunguni yamechukua muda mrefu sana kwa visingizio mbalimbali. sasa hivi ni miezi 8 tangu tathmini ifanyike tunaomba suala hili lihitimishwe kwa vile uhakiki umekwishafanyika kuhusu waliochukua viwanja na TAA majina wanayo tangu mwaka 2023. Rais ingilia kati kuondoa sintafahamu na mwendelezo wa ahadi hewa za serikali. usiku mwema. Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
 
Back
Top Bottom