Malipo ya Fidia Kupunguni yamechukua muda mrefu sana kwa visingizio mbalimbali. sasa hivi ni miezi 8 tangu tathmini ifanyike tunaomba suala hili lihitimishwe kwa vile uhakiki umekwishafanyika kuhusu waliochukua viwanja na TAA majina wanayo tangu mwaka 2023. Rais ingilia kati kuondoa sintafahamu na mwendelezo wa ahadi hewa za serikali. usiku mwema. Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.