Hawa sio shida kubwa kama wanaume kuoana hawa wote wawil unawezakuwapelekea moto kama kamaMarekani imelazimishwa droo ya 0-0 dhidi ya Ureno. Forward line ya Marekani mwaka huu ni dhaifu sana kwa vile ilikuwa inashindwa kumalizia mipira ya wazi kabisa. Nimeshaikatia tamaa kabisa timu ya Marekani mwaka huu ingawa kwenye grupu lake imeshika nafasi ya pili na hivyo itaendelea katika round of 16 pamoja na Uholanzi. Inaonyesha kuwa wakati mwalimu alipokuwa mwanamke (Jill Ellis) timu ilipanda sana, lakini tangu mwalimu awe mwnaume (Vlatko Andonovski) naona timu imerudi nyuma sana; wachezaji wake wengi walipewa Yellow cards ambapo Rose Ravelle kapewa Yellow card ya pili kwa hiyo atakosa mechi ya kwanza kwenye group of 16. Nadhani wanawake wanajua kuongea na kuwafundisha wanawake wenzao vizuri ya wanaume.
Haya sasa wapinga ushoga eleweni kuwa Jill ameoana na mwanamke mwenzake Betsy Stephenson. Kwa nchi za kwetu, uwezo wake wa kufundisha mpira hadi kupata makombe mengio ya world cup ungetepwa jalalani akanyongwa kama sheria ya Uganda invyosema.
View attachment 2705661
Ukifuatilia maisha yao utagundua kuwa unawatafsiri vibaya. Wengi wanadhani kuwa wanaume Gay maana yake ni kuwa mmoja anamf*ra mwingine lakini ukweli siyo huo. Uhusiano wao ni tofauti sana na dhana hiyo. Wanaume unaosikia kuwa ni gay ni kwa sababu hawana nguvu za kiume. Wao kutokuwa na nguvu za kiume kiasi kuwa hawawezi kumtamani mwanamke siyo kosa lao bali ni muundo wa mwili wao ambao hawakuchagua wenyewe. Kumbuka kuwa mwanamme mwenye nguvu kamili hawezi kuacha sketi ikampita bila kuifunua; kwa hiyo yule asiyeweza kufunua sketi haina maana kuwa hastahili kuishi. Ukishaharamisha watu wasiokuwa na uwezo huo basi unakuwa umeharamisha kilema chochote hata wale wasioona na ambao hawawezi kutrembea bila kutumia magongo.Hawa sio shida kubwa kama wanaume kuoana hawa wote wawil unawezakuwapelekea moto kama kama
OkKuna michezo miwili inayofuata leo. Kwanza, Spain Vs Switzerland unaaza katika dakika 50 zijazo (yaani saa 2 asubuhi saa za Tanzania), halafu Japan na Norway watakutana baada ya masaa matatu (saa 5 asubuhi za Tanzania).
ngoja nizitafute. Nikizipata nitaziweka. Mimi ninatazama moja kwa moja kwenye TV. Kwa marekani free live streams zimekuwa blocked kwa sababu ya rights za Fox. Nimempigia rafiki yangu mmoja huko Phillipines anitafutia kama huko wana live streams anitumie link nishee na ndugu zangu walioko Afrika.
Kifurushi cha shs 10,000 DSTV kinaonyesha mechi hizi...ngoja nizitafute. Nikizipata nitaziweka. Mimi ninatazama moja kwa moja kwenye TV. Kwa marekani free live streams zimekuwa blocked kwa sababu ya rights za Fox. Nimempigia rafiki yangu mmoja huko Phillipines anitafutia kama huko wana live streams anitumie link nishee na ndugu zangu walioko Afrika.