Fifa XI 2015, kulikoni wachezaji EPL?

vipi kuhusu bale,suarez,ronaldo,modric
 
Hujishangai upo mwenyewe unayetetea??
 
coutinho,sanchez,ozil,hazard,willian..halafu hao wanaocheza la liga wanatokea wapi?
 
vipi,umemaliza matusi?
Hizi nguvu za ubishi ziweke kwenye kutafuta pesa.. Miaka 28 kukaa siku nzima unabisha jambo moja inaonekana huna shughuli ya kufanya... Jitahidi shemeji anakereka na uwepo wako usio na faida hapo kwake
 
Haya sasa mahaba yamezidi baada ya messi ronaldo anafuata suarez halafu neymar so usimfananishe huyo jamaa yako na suarez maana Ana safari ndefu kumfikia. Weka stats za coutinho na suarez halafu tulinganishe.
stats zipi unataka?..magoli,assist au work rate
 
Hizi nguvu za ubishi ziweke kwenye kutafuta pesa.. Miaka 28 kukaa siku nzima unabisha jambo moja inaonekana huna shughuli ya kufanya... Jitahidi shemeji anakereka na uwepo wako usio na faida hapo kwake
labda kama unataka nikuajiri,unadhan kila mtu inabid aamke mapema kila siku na kurudi usiku kwa ajili ya kutafuta fedha?..nilipokua na miaka 28 nilikua nafanya masters
 
labda kama unataka nikuajiri,unadhan kila mtu inabid aamke mapema kila siku na kurudi usiku kwa ajili ya kutafuta fedha?..nilipokua na miaka 28 nilikua nafanya masters
JF bana kila mtu kajiajiri na kila mtu ana elimu zaidi ya kadegree hehehehehe
 
Njoo basi huku duniani tufahamiane mkuu.. Labda nitapata kibarua cha kukata Majani kwako
sifahamiani na watu waliopata malezi yenye mapungufu,siku ukiwa na busara ukajifunza kua kutukana watu na hasa usiowajua ni jambo baya..tutatafuta nafasi tufahamiane
 
Hata mgao wa pesa ya matangazo ya television ni real mad na barca ndo team zinapata mgao mkubwa kuliko team zingine..ligi bora team mbili? Hapa nasubiri bonge ya match..liverpool vs Arsenal.
Timu zenu zote kubwa zime draw...maanake zote ni dhoofir hal...walianza Man juzi sasa na hao wengine mechi kali iko wapi? Hebu subiria Arsenal na Barcelona hivi karibuni mfundishwe soccer
 
Timu zenu zote kubwa zime draw...maanake zote ni dhoofir hal...walianza Man juzi sasa na hao wengine mechi kali iko wapi? Hebu subiria Arsenal na Barcelona hivi karibuni mfundishwe soccer
timu gan haijawah kudroo?
 
Ku draw kawaida ila kwa uk timu zenu hasa hizo kubwa zimeshuka sana ungesikia maoni ya Rio ferdinand juzi kuhusu soka la uk la sasa wala usingebisha
 
Timu zenu zote kubwa zime draw...maanake zote ni dhoofir hal...walianza Man juzi sasa na hao wengine mechi kali iko wapi? Hebu subiria Arsenal na Barcelona hivi karibuni mfundishwe soccer
Nilimaanisha game zitakua na ushindani mkubwa sana...nadhani umeshuhudia mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…