Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,966
Ulijichanganya tu kwenye kuandikaNdungulile ndio wa vifurush au nimechanganya???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulijichanganya tu kwenye kuandikaNdungulile ndio wa vifurush au nimechanganya???
HafaiSi kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa!
Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu?
Sifa zake kuu ni zipi? Umahiri na udhaifu wake kwa Nafasi hiyo ni upi?
Keep in mind ni uzi tu wa kumfikiria JM katika nafasi hiyo na ikitokea lolote ichukuliwe ni coincidence tu
Mmeanza sasa [emoji23][emoji23], ila jamanii mpaka 2025 bi mkubwa sijuiiiSi kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa!
Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu?..
Havana may wa hovyo kama huyu....lete hoja za msingi nduguSi kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa!
Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu?...
Hoja yako Ni nzito Sana mkuu tungetoka huko sasa ili tupate maendeleo halisi haya ya sasa yamekuwa Kama hisani na kulipana fadhilaIfike mahali nchi iwe huru kutoka tawala za kifamilia. Sioni lolote hapa zaidi ya tawala za kifamilia jambo ambalo ni hatari sana. Tutoke huko. Wapo watu wengi tu wazuri ikiwa mamlaka zinaangalia “nchi na utaifa”...
Hoja yako ni nzito Sana mkuu tungetoka huko sasa ili tupate maendeleo halisi haya ya sasa yamekuwa Kama hisani na kulipana fadhilaIfike mahali nchi iwe huru kutoka tawala za kifamilia. Sioni lolote hapa zaidi ya tawala za kifamilia jambo ambalo ni hatari sana. Tutoke huko. Wapo watu wengi tu wazuri ikiwa mamlaka zinaangalia “nchi na utaifa”...
Mwanasiasa gani asiye na tamaa ya madaraka?Huyo hata hawezi fikriwa maana ana tamaa ya madaraka
January wampe tu hata urais, uhuru wa watu uongezeke kama Marekani. Hadi Porns zilizofungiwa zitafunguliwa. Atakuwa mzee Ruksa wa pili, wa kwanza alikuwa Mwinyi.Si kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa!
Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu?...
Acha wivu wa kikeYaani JM wanamuona watu yuko smart amavyoongea ila kwa taarifa yenu huyo mi empty set hana utendaji wowote kabebwa tu na mazingira ya baba yake kuwa kwenye system! Maneno mengi vitendo sifuri!
Yaan mwizi wa mitihani. Kweli Tanzania kichwa cha mwendawazimu.Kwenye upinzani tunaona ,waliofeli mitihani hata ya form four wanadai ndio viongozi.Si kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa!
Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu?...
Sasa January ni mtendaji?Serious😂😂😂Kama alipita kwenye chujio la wagombea urais mpaka kufika 5 bora hata kwenye Uwaziri mkuu ana sifa na vigezo vyote.
Sa hivi Nchi inahitaji watendaji sio watu wa blah blah blah tuu huku miaka ikikatika.
Naona wanataka kutengeneza wakina Hamza wengi nchiniHafai uongozi huyo. Maneno mengi na porojo kama baba yake ila ni wapigaji tu.
Igweeeeee [emoji120][emoji120][emoji120].... Pamoja na mapungufu yake, ambayo kila binadamu anayo, huyu hata akipewa sasa ataupiga mwingi sanaaaaa...January Makamba alikuwa katika ofisi ya Makamu wa Rais(Samia)
Kwa hiyo it is possible kwamba anaweza kuchaguliwa kuwa Waziri Mkuu. In which case swali la vigezo linakuwa irrelevant.