Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?

Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?

Si kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa!

Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu?

Sifa zake kuu ni zipi? Umahiri na udhaifu wake kwa Nafasi hiyo ni upi?

Keep in mind ni uzi tu wa kumfikiria JM katika nafasi hiyo na ikitokea lolote ichukuliwe ni coincidence tu
Hafai
Amekaa kisho... no kirafiki rafiki hivi.
 
Si kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa!

Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu?..
Mmeanza sasa [emoji23][emoji23], ila jamanii mpaka 2025 bi mkubwa sijuiii
 
Ifike mahali nchi iwe huru kutoka tawala za kifamilia. Sioni lolote hapa zaidi ya tawala za kifamilia jambo ambalo ni hatari sana. Tutoke huko. Wapo watu wengi tu wazuri ikiwa mamlaka zinaangalia “nchi na utaifa”...
Hoja yako Ni nzito Sana mkuu tungetoka huko sasa ili tupate maendeleo halisi haya ya sasa yamekuwa Kama hisani na kulipana fadhila
 
Ifike mahali nchi iwe huru kutoka tawala za kifamilia. Sioni lolote hapa zaidi ya tawala za kifamilia jambo ambalo ni hatari sana. Tutoke huko. Wapo watu wengi tu wazuri ikiwa mamlaka zinaangalia “nchi na utaifa”...
Hoja yako ni nzito Sana mkuu tungetoka huko sasa ili tupate maendeleo halisi haya ya sasa yamekuwa Kama hisani na kulipana fadhila
 
Atakuwa waziri Mkuu wa Jamuhuri ya tweeter.
 
nyie vigogo forteen ,mbona mnawashwawashwa jmn! hakuna kazi nyingine zinazolipa za kujipatia kipato mpaka uongozi tu wa juu!???.hiki kizazi mbona kina la.....a....nnnna Sana!!
 
Si kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa!

Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu?...
January wampe tu hata urais, uhuru wa watu uongezeke kama Marekani. Hadi Porns zilizofungiwa zitafunguliwa. Atakuwa mzee Ruksa wa pili, wa kwanza alikuwa Mwinyi.
 
Yaani JM wanamuona watu yuko smart amavyoongea ila kwa taarifa yenu huyo mi empty set hana utendaji wowote kabebwa tu na mazingira ya baba yake kuwa kwenye system! Maneno mengi vitendo sifuri!
Acha wivu wa kike
 
Nasema hivi mtu greedy hatakiwi kupewa nafasi na akipewa basi iwe ya below, Makamba Makamba Makamba, nyinyi sio wapanga baraza na mnataka kufufua mengine ambayo mtajutia vizazi na vizazi. Anything involving our Country sovereignty is of no gist.
 
Si kila lisemwalo lazima liwe ila kila liwalo lazima lilisemwa!

Unamfikiria vipi mtu senior kama Makamba kupata nafasi ya Uwaziri Mkuu?...
Yaan mwizi wa mitihani. Kweli Tanzania kichwa cha mwendawazimu.Kwenye upinzani tunaona ,waliofeli mitihani hata ya form four wanadai ndio viongozi.
 
Kama alipita kwenye chujio la wagombea urais mpaka kufika 5 bora hata kwenye Uwaziri mkuu ana sifa na vigezo vyote.

Sa hivi Nchi inahitaji watendaji sio watu wa blah blah blah tuu huku miaka ikikatika.
Sasa January ni mtendaji?Serious😂😂😂
 
Hahaha, Sasa Nani anafaa comrades?, Tz viongozi wakuu wanakuaga ni suprise au kulipana fadhila, hakuna nje ya hapa comrades...
 
January Makamba alikuwa katika ofisi ya Makamu wa Rais(Samia)

Kwa hiyo it is possible kwamba anaweza kuchaguliwa kuwa Waziri Mkuu. In which case swali la vigezo linakuwa irrelevant.
Igweeeeee [emoji120][emoji120][emoji120].... Pamoja na mapungufu yake, ambayo kila binadamu anayo, huyu hata akipewa sasa ataupiga mwingi sanaaaaa...
 
Back
Top Bottom