Umesoma vizuri uzi wa jamaa???Mi nnachoona ushoga unashamiri kwa kasi sana maana mtu anajisifia kabisa kuchukia wanawake, kwa kigezo cha kwamba ni stress mara fyoko fyoko sasa ndg ukichukia wanawake manake unapenda wanaume wenzio wakupe kampani na wakufirimbe,, huu uzi una mashoga wengi kinoma
Wengine wanashadadia ooh ndo dawa yao,, [emoji23][emoji23][emoji23] surrogate sio matako eti, hela mnazo au mnabwata tu
Women are ruthless kwa wanaume wasio na hisia nao.. sio kama wanaume, mwanaume demu anaeza kukuzimikia na we humuelewi ila uez kumshit km takataka ila wanawake sasa[emoji23]Nionyeshe huo uzi au comment ambao ninaponda ndoa sababu nikama unanlisha maneno
Hao wanawake wanaowapa mahari Wanaume wawaoe wana-hisia nao, mwanamke kama hana hisia na wewe hawezi kukupa mahari ukamuoe
Mfano reality ya maisha kila ukitaka kufanya jambo flani linagoma solution ni kuangalia plan b, uwezi stick na plan ambayo it ain't working
Umesoma comments zilizofuata kabla ya kunukuu hii ya kwanguUmesoma vizuri uzi wa jamaa???
Hajasema hana hisia na mademu isipokua mademu ndo hawana hisia nae ndo maana kaamua kufanya ivo..
Kila chanzo kina chanzo mkuu
Hakuna kitu kinachoitwa damu ya kunguni,hata kunguni wanazaa na kunguni wenzao,kwanini asingetafuta kunguni mwenzake,kwenye huu uzi tu kuna Dada kaomba amlelee na kumzalia mapacha,unadhani angeaamua kuleta Uzi wa kutafuta mwanamke wa kuo angekosa?Kwani una tatizo gani bro mpaka ukataliwr namna hiyo..maana siamini Kama una damu ya kunguni
That's my point modern women kama hawana hisia na wewe kaa nao mbali ukilazimisha utajuta majuto makuu uko nae lakin paap amekutana na crush wake huna chakoWomen are ruthless kwa wanaume wasio na hisia nao.. sio kama wanaume, mwanaume demu anaeza kukuzimikia na we humuelewi ila uez kumshit km takataka ila wanawake sasa[emoji23]
Hawa wanawake wa jf mostly wanafanya joking sio wa kuwachukulia serious maisha hayawez kuwa marahisi hivyo alafu sijaanzisha uzi ili kutafuta wanawake mim kufanya hivyo sio smartHakuna kitu kinachoitwa damu ya kunguni,hata kunguni wanazaa na kunguni wenzao,kwanini asingetafuta kunguni mwenzake,kwenye huu uzi tu kuna Dada kaomba amlelee na kumzalia mapacha,unadhani angeaamua kuleta Uzi wa kutafuta mwanamke wa kuo angekosa?
💯Mkuu nguvu za kiume unazo kweli?
Naomba nikuulize swali hivi unaweza ingia mahusiano na mwanaume usiyekua na hisia naye nimekuuliza kistaarabu na kwa nia nzuriUmesoma comments zilizofuata kabla ya kunukuu hii ya kwangu
We bhana weee, uzae peke yako, uzalie kwenye incubator, uzae na mwanamke au wanawake uzae na nyau au ngedere, uzalishwe na wanaume wenzio utajiju, usijitafutishe huruma sikuzai eboooNaomba nikuulize swali hivi unaweza ingia mahusiano na mwanaume usiyekua na hisia naye nimekuuliza kistaarabu na kwa nia nzuri
Mim sitafuti huruma dada ndo maana nimeleta uzi baada ya kupata watoto kwa njia ya surrogate hii ni forum nimeona ni share na watu kitu ambacho sio kosaWe bhana weee, uzae peke yako, uzalie kwenye incubator, uzae na mwanamke au wanawake uzae na nyau au ngedere, uzalishwe na wanaume wenzio utajiju, usijitafutishe huruma sikuzai ebooo
Hata mimi nimemuuliza swali kama hilo hakunipa majibu ya kueleweka.Acha uongo mkuu kama una uwezo wa kugharamia hiyo huduma kwa milion 70 hivi Ni mwanamke gan hapa mjini atakukataa la sivyo utuambie hizo pesa hazijatoka mfukoni kwako umefadhiliwa.
Nani kakudanganya kwamba unawapata bila kuwatongoza hata ukiwa na hela kukataliwa kupo pale paleHata mimi nimemuuliza swali kama hilo hakunipa majibu ya kueleweka.
Ukishakuwa na pesa wanawake wanajilengesha wenyewe tu bila hata kuwatongoza.
Kukataliwa kupo hatukatai na inategemea viwango vya huyo mwanamke uliyemtongoza akakukataa,kama level yake ni kubwa kukuzidi kuna probarbility ya kukataliwa.Nani kakudanganya kwamba unawapata bila kuwatongoza hata ukiwa na hela kukataliwa kupo pale pale
Nimeshajaribu almost kila mwanamke nikimaanisha sampuli zote mpaka beki tatu mambo yalikua magumu,Kukataliwa kupo hatukatai na inategemea viwango vya huyo mwanamke uliyemtongoza akakukataa,kama level yake ni kubwa kukuzidi kuna probarbility ya kukataliwa.
Ila kwenye mada yako umeandika kila mwanamke uliyemtongoza alikataa,hapa ndio imeleta sintofahamu.
Mimi naongea kwa uzoefu mkuu nilishawahi kuishi maisha ya chini,baadae nikaja kuishi maisha ya pesa kuna utofauti mkubwa sana niliuona kati ya maisha ya pesa na ya kutokuwa na pesa.
Ukiwa na pesa automatically utapata wapambe,hao wapambe watakuletea mademu wa kila sampuli ili mradi uchukue mmoja.
Ukiwa na pesa hata ukienda bar au restaurant kupata kiburudisho wanawake watapigana vikumbo kutaka kuikaribia meza yako ili mradi uwatongoze.
Sasa ukituambia haya mambo huyajui na una uwezo wa kutumia milioni 70 kwa ajili ya hiyo huduma inatushangaza.
Basi nishajua kinachokusumbua,kuna aina fulani ya watu kutokana na malezi aliyopitia hushindwa kuendana na mazingira au kujichanganya na watu.Kila mwanamke nikimaanisha sampuli zote mpaka beki tatu mambo yalikua magumu, sio mim tu nawajua baadhi ya watu wana hela na bado wana-struggle kwenye mapenzi
Wewe umeshaonaga wapi introvert anajichanganya na watu, haimaanishi shiishi na watu vizuri naishi nao vizuriBasi nishajua kinachokusumbua,kuna aina fulani ya watu kutokana na malezi aliyopitia hushindwa kuendana na mazingira au kujichanganya na watu.
Athari yake ndio kama hiyo huja baadae.
Na katumia 70m kwa njia ya surrogate kwa huo mkwanja asingekosa demu wa kumzaliaWanawake wote hawa mkuu, ina maana hakuna aliyekukubali kabisa? Au ulitaka Tu huo mpango