Finally nimepata watoto mapacha kwa njia ya surrogate

Kamwe siwezi juta na wakikua nitawaambia ukweli
 
Unahela lakini au ndo tia maji unataka ulelewe
 
Swala la vigezo nilishaliweka pembeni lakin still mambo yakawa magumu kwenye maisha tunaweza lazimishwa kutafuta ela tukafanikiwa lakin sio kwenye mapenzi Yale hayalazimishwi msingi wake umejengwa kwenye hisia
Nimewaza sana kiasi nilitamani nisichangie.
Mkuu una udhaifu gani haswa?
Je una misimamo mikali?
Nini haswa ukakosa wa kuoa?
Nimeuliza hili kwasababu mara nyingi nikiwa na ukaribu na binti mwanzoni kabisa ananiuliza si utanioa?

Mbona kama wanawake wengi wana kiu na ndoa kiasi kwamba hata ukimsalimia siku 2 ya tatu anatamani umtakie kuwa utamuoa?😂
 
Swala la vigezo nilishaliweka pembeni lakin still mambo yakawa magumu kwenye maisha tunaweza lazimishwa kutafuta ela tukafanikiwa lakin sio kwenye mapenzi Yale hayalazimishwi msingi wake umejengwa kwenye hisia

Ipo kasoro mkuu sio bure
 
Nina INTJ personality
 
Life is good kama ukikubali ukweli kwamba love relationship is not for everyone
Mimi bhana, sina damu ya kunguni lakini dah, hakuna jambo ninaloona gumu kama kuishi na mwanamke!

I'm too old now but sijawahi kabisa kuishi na mwanamke kwa staili ya kupika na kupakua! Sipendi kabisa kitu kinachoitwa stress maishani mwangu, na hususani stress za kitu kinachoitwa mapenzi.

Nahisi mwili wangu umegoma hata kuzeeka kwa sababu upo free from useless stresses!

Uzi wako ni muhimu sana kwa watu tusiotaka makorogesheni ya kitu kinachoitwa mapenzi!!
 
yaani wewe kila ukiona movie, unajiposition kuwa ni wewe kisha unaibuka na story!!
 
Haya mambo yanafanyika ugaibuni TI sasa kama umekosa mwanamke ughaibuni basi utakuwa na gundu maana huko wamejaa tele
 
Umenihuzunisha
Ila hongera Sana..Mungu akukuzie watoto wako.
 
Kwani una tatizo gani bro mpaka ukataliwr namna hiyo..maana siamini Kama una damu ya kunguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…