Mwanamke kama anakupenda na ana hisia na wewe hawez kuwa stress, kipengele ni pale mwanamke hakupendi au amekupendea hela ndo lazima akuletee stressKwahiyo wanawake ni stress?
Nyie wanaume mna matatizo sana nyie [emoji848][emoji848]
Mimi nimewaza huyu mkuu yupo nchi gani, au kaamua tu tunywe chaiWanawake wote hawa mkuu, ina maana hakuna aliyekukubali kabisa? Au ulitaka Tu huo mpango
Niko dar es salaam TanzaniaMimi nimewaza huyu mkuu yupo nchi gani, au kaamua tu tunywe chai
Kama ipiÝaan una uwezo wa kulipa 70M kwa ajili ya huo upandikizaji afu unakataliwa na wanawake
Utakuwa na shida .
Daah mzee pole xanaa aisee yan huna tofauti xana na mimi historia yangu.Mpango wa kuoa nilikua nao na napenda sana ndoa Ila ndio hivyo huwezi Amini niliambulia vibuti
Huwezi amini hakuna hata mmoja yaani surrogate imenitibu moyo wangu uliokua umepondeka pondeka
Hilo sijalipinga. Sijasema watu hawana uhuru wa kuchagua.binadamu wote wamepewa uhuru wa kuchagua maisha atakayo kuishi, wewe kama mtoto sio kipaombele basi ni vizuri, sisi wengine watoto ni kipaumbele
Kwa nini hili swali ni muhimu?@kiranga we una watoto?
Kupanga ni kuchagua mkuu. Sii kila mtu ana mawazo ama fikra kama zako.Mimi bado sijaelewa, na huenda nisiweze kuelewa, sababu ya watu kulazimisha kuwa na watoto.
Yani watu wengine ni kama vile bila watoto wanakuwa hawaishi.
Sijakataa kupanga ni kuchagua na sijataka kila mtu awe na mawazo kama yangu.Kupanga ni kuchagua mkuu. Sii kila mtu ana mawazo ama fikra kama zako.
Waswahili wanasema "Tusipangiane Maisha"
We ishi unavyojua hutakaa uwajue wanadamu unaweza ukawatuhumu hawajui kujenga hoja lakin kila mtu anaishi anavyojua kikubwa hajavunja sheriaSijakataa kupanga ni kuchagua na sijataka kila mtu awe na mawazo kama yangu.
Na hujaongeza lolote katika kuelezea sababu za msingi kimantiki nje ya mumbo jumbo.
Hapa ndipo naishi ninavyojua, kwa kuuliza maswali ambayo huna majibu yake na huwezi kujenga hoja za kimantiki kuyajibu.We ishi unavyojua hutakaa uwajue wanadamu unaweza ukawatuhumu hawajui kujenga hoja lakin kila mtu anaishi anavyojua kikubwa hajavunja sheria
Hapa Tanzania au ?Alienda kupandikizwa
Sawa siwez kujenga hoja kimantiki unalingineHapa ndipo naishi ninavyojua, kwa kuuliza maswali ambayo huna majibu yake na huwezi kujenga hoja za kimantiki kuyajibu.
Unataka niishi ninavyojua mimi kwa kunipangia wewe?
Hakuna cha majibu ya mantiki na logic kila mtu ana uhuru wa kuishi maisha ayatakayo
NdioHapa Tanzania au ?
Ila huyo mama kama mayai ni yake ipo siku atataka wanae. Unless yeye kawekewa tu embryons hajachangia chochote zaidi ya uterus yake tu.Ndio