Finland tayari wamekatiwa gesi na umeme na Russia

Kweli kaka, ni nchi ndogo sana Finland yenye strategic plan kubwa na za muda mrefu.Pia moja kati ya Nchi zinangoza kwa kujali raia wake. Kuna kukurupuka kwenye kutoa mada
 
Japo sikubariani na Urusi kuvamia mataifa hayo mengine. Lakini nayaona hayo mataifa kama yanajiendesha kijinga kabisa. Iweje mpaka sasa hawajajipanga kwanza kuhusu hili? Ili-hali Nishati muhimu kama gesi na umeme mnategemea kutoka Taifa mnalopingana nalo kisera? . Ilikuwa kitambo sana toka wajichomoe kutoka Soviet wangeendelea na mipango wa kujitoa kutoka kutegemea gesi na umeme wa Urusi. Na hiyo gesi ndio kete yake Putin.

Kwanza badala ya kutegemea gesi ya kupitisha kwa bomba angalau wangeanza na ile gesi ya kubebwa hata kwa tren au kwa magari maalum. Hata nchi za ulaya zote wanaotegemea gesi toka urusi ilitakiwa kitambo sana angalau wangeanza kutumia hii njia. Mpaka kufikia sasa wangekuwa wamejirundikia gesi ya kutosha kwenye maghala yao. Kwa mtindo huo hata urusi wenyewe wasingefanya chochote dhidi yao ksbb biashara yao ingekuwa ni ile ya papo kwa papo
 
ikifika muda mtamkosoa tu Putin , km mzungu alifungua Afrika ili kutimiza mahitaji yao , amin hawawez kukosa solution kwenye hili , solution ikipatikana itakuwa ni mwendo wa kumsusia Urusi , waarabu wakipata akili tu basi Urusi hana chake
 
kwan USA hajaisogerea URUSI bado ? ( kwa mujibu wa hoja yako ) kuna muda tumieni akili kuliko mahaba
 
ikifika muda mtamkosoa tu Putin , km mzungu alifungua Afrika ili kutimiza mahitaji yao , amin hawawez kukosa solution kwenye hili , solution ikipatikana itakuwa ni mwendo wa kumsusia Urusi , waarabu wakipata akili tu basi Urusi hana chake
Unapokosea ni pale unapohisi West ndo wanaakili ya kuwaza hayo huku ukiwaacha West kuwa hawana uwezo wa kuwaza kesho yao.

Mmarekani bado anaangaika wapi atapata mafuta na juz karudi tena Venezuera kwa Maduro waondoe tofauti zao ili wapate mafuta yake, ila wanasahau kuwa walipiga vikwazo sana 2019 ili tu Maduro wamuangushe ila Urusi ndo ilienda kumsaidia Maduro kubaki Madarakan mpaka leo.

Marekani na washirika wake usikute kesho akaenda kwa Iran wazungumze ili apate mafuta na ikitokea kesho na kesho kutwa wakazozana akawatema akarudi kwa Russia! Kwaiyo zingatia mataifa ya Magharibi hayana rafiki wakudumu zaidi ya maslah yao tu.
 
Jana ilikuwa 52 rubles mkuu kwa mwendo huu itafika 30 kabla ya august.
 
Kila siku mnaleta hizi porojo. Urusi hawezi kusavaivu bila kuuza gesi ulaya.
Na ulaya haiwezi kusavaivu bila kununua gesi RUSSIA
Nandio maana kuthibitisha hilo mpaka sasa toka jamaa aamze kutoa kichapo mshakaa vikao vingapi EU ila vyooote mmeshindwa kufikia muafaka wakuachana na GAS ya RUSSIA?!?
Nanikwambie muafaka unashindwa kufikiwa sio kwabahatj mbaya nikwamakusudi sababu wanajua bila ya RUSSIA kuwapa GAS hao EU hawatoboi hata weeek
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaa kwa kutulia hata hao Zimbabwe walianza hivi hivi kwa kutunisha misuli kwl hadi Mgabe akamuita Obama shoga.
 
anachofanya Urusi ni mistake kubwa sana maana ana wa alert hata wanategemea bidhaa zake kwa > 60% basi waanze kujikwamua cos wanatambua ipo siku yatawakuta ya EU
Upo sahihi MKUU kama watu wanavyopambana dhidi ya dola
Nandio inatakiea iwe hvyo asitokee mpuuzi mmoja kukontrol mamia ama mamilioni ya watu niupuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasemaaa???? Mziki kamili wa Russia haujaingia Ukraine? Acha utani basi.
 
Ujue katundikwa
 
wanaingia kwenye situation mpy lazima bei zichange kwa muda mpk wakiwa stable hapo ndipo Urusi itakuja kumlaumu Putin kwa maamuzi ya ss hv
Sasa kama bei inapanda mnasemaje walijipanga!!?
Anaejipanga hua haathiriki namatokeo hasi yajambo fulani maana hua kaishajiandaa
Wanachofanya nikuwaumiza RAIA wao bila sababu zakimsingi nawakati huo huo hawatakaa waingie NATO
Mizungu sikuwahi kufahamu kama akili zao hazina akili kiasi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliki yako inakuambia only Europe ndio watumiaji wa oil na gasi?? Umeona vikwazo tu kidogo dunia ilivyotingishika na hapo bado anauza
Mchokolo, swali ni kina nani unaowafahamu wanaweza replace soko la gesi la ulaya? Mbona ni swali jepesi sana?
 
Wanafikiri finlanda ina vilaza kama hapa kwetu, nchi ina pesa ile. Kwa namna fulani ameshajiandaa.
 
hv kukatiwa umeme & gesi na kuharibika miji , kipi kigumu ku recover ?
Kukatiwa umeme hakuna uhusiano nakuharibiwa miji
Maana umeme wamekatiwa na kichapo wanaweza kula kama kawaida
Nabado NATO wasiwe nalakufanya lolote lile
Hata UKRAINE alidhania kuiacha CRIMEA kungemnusuru na kichapo ila leo huyo anakanywa na MZAZI WAKE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…