Fisi aliyeuawa kwa risasi 49, wananchi wagawana nyama

Fisi anakwepa risasi au alikuwa anakosa shabaha,ngoja nitafakari kwanza...
 
huyo jamaa ni mtata sana!

kuna siku moja gari ilichomoka exaust ikabidi nishuke ili niifunge na kamba.

niko chini ya gari naskia mtu anacheka..nikajua ni msela kwenye gari kule ndo anacheka!

nikawa namuuliza wee fala unacheka nini??!!nikaona anazidi tu.

nikatoka chini ya gari na tochi yangu!kumulika hivi pembeni wako fisi wawili nyuma yao wanakuja fisi wengine km 7 hivi..mahali kioo cha gari kilibaki nilipita pale..maana lile fala kule lililoki milango ya gari!!siku zote usisafiri na mtu muoga kabisa nahisi huyu fala angekuwa anajua kuendesha gari angeacha niliwe siku ile..nilipita sehemu ambayo hata kuku hawezi kupita.

kumbe ile kucheka walikuwa wanaitana ukoo mzima ili wapate dinner ya pamoja(dinner ndio mimi).sitasahau hiyo siku

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fisi walivyo na sifa za woga imekwaje huyo hadi avamie nyumba na kujeruhi watu na kuuwa mtoto
 
Haukumzaba na vibao?
 
Fisi walivyo na sifa za woga imekwaje huyo hadi avamie nyumba na kujeruhi watu na kuuwa mtoto
Usijidaganganye bro kwamba fisi ni muoga...fisi ni second top predator after the lion..

Powerful bite with strongest jaws..
Kwamba anaweza kuuvunja mguu wa twiga with a single bite!!

He is forged to kill in nasty way!!wanakukula ukiwa mzima tofauti na simba mwenye huruma ambae anakubana pumzi ukifa then ndio anakutafuna!!

Fisi eats you alive bro!chops flesh from ur fuvckin body while u still breathing..
 
Technically huwezi kukwepa risasi kutokana na acceleration yake.
Bali anayekupiga ndio anakukwepa wewe.
Hivyo huyo jamaa amemkwepa fisi kwa kutumia risasi 49.

Hapo kwenye kula mnyama anayekula mizoga tena hapohapo mnajua ametoka kula mtoto mchanga ni eidha umasikini na njaa au ushirikina.

Addition ni kukosa Akili.
 
huyo jamaa ni mtata sana!

kuna siku moja gari ilichomoka exaust ikabidi nishuke ili niifunge na kamba.

niko chini ya gari naskia mtu anacheka..nikajua ni msela kwenye gari kule ndo anacheka!

nikawa namuuliza wee fala unacheka nini??!!nikaona anazidi tu.

nikatoka chini ya gari na tochi yangu!kumulika hivi pembeni wako fisi wawili nyuma yao wanakuja fisi wengine km 7 hivi..mahali kioo cha gari kilibaki nilipita pale..maana lile fala kule lililoki milango ya gari!!siku zote usisafiri na mtu muoga kabisa nahisi huyu fala angekuwa anajua kuendesha gari angeacha niliwe siku ile..nilipita sehemu ambayo hata kuku hawezi kupita.

kumbe ile kucheka walikuwa wanaitana ukoo mzima ili wapate dinner ya pamoja(dinner ndio mimi).sitasahau hiyo siku
Mzee namna wangekugawana acha kabisa

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom