Fisi aliyeuawa kwa risasi 49, wananchi wagawana nyama

Fisi anakwepa risasi au alikuwa anakosa shabaha,ngoja nitafakari kwanza...
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fisi walivyo na sifa za woga imekwaje huyo hadi avamie nyumba na kujeruhi watu na kuuwa mtoto
 
Haukumzaba na vibao?
 
Fisi walivyo na sifa za woga imekwaje huyo hadi avamie nyumba na kujeruhi watu na kuuwa mtoto
Usijidaganganye bro kwamba fisi ni muoga...fisi ni second top predator after the lion..

Powerful bite with strongest jaws..
Kwamba anaweza kuuvunja mguu wa twiga with a single bite!!

He is forged to kill in nasty way!!wanakukula ukiwa mzima tofauti na simba mwenye huruma ambae anakubana pumzi ukifa then ndio anakutafuna!!

Fisi eats you alive bro!chops flesh from ur fuvckin body while u still breathing..
 
Technically huwezi kukwepa risasi kutokana na acceleration yake.
Bali anayekupiga ndio anakukwepa wewe.
Hivyo huyo jamaa amemkwepa fisi kwa kutumia risasi 49.


Hapo kwenye kula mnyama anayekula mizoga tena hapohapo mnajua ametoka kula mtoto mchanga ni eidha umasikini na njaa au ushirikina.

Addition ni kukosa Akili.
 
Mzee namna wangekugawana acha kabisa

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…