Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

Huna cha kuniongoza kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa uchawi. Huna. Kwenye hilo mind your business
Nikuongoze ili iweje kwa mfano?
I'm calling you out, that's all. I've been minding my busineess na mojawapo ni kuwatabainsha waamini uchawi kama wewe.
Pathetic.
 
Ndio maana nilikuwa nashangaa huu mpira yanga wameutoa wapi kumbe wanawachezesha majini sisi tunajua wakina pakome na the like..😀[emoji1787][emoji1787]
Majini ndio yanacheza mkuu..wanayanunua huko arabuni
 
MAJINI FC.....MATAULO MEUPE FC...
 
Mtanzania maskin( shabiki utopolo) asie na uhakika na kula yake ana pata pesa ya kununua majini na kumrushia mchezaji mwenye uhakika na kula yake na mshahara minono sabab tu aliondoka kwenye timu yake..foolish.
 
Kumbe majini yao ndo huwatuma wakatoe vitaulo....aisee hawa wameshindikana
Mashabiki wema wapenda mpira wataogopa kwenda uwanjani kwenye mechi zao, mana majini yametapakaa kila kona
 
Lakini haya majini si ndugu zao na vijana wa mnyazi Mungu imekuaje tena wanayasema vibaya [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…