Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

 
Reactions: 511
Kwani majini si ndugu zenu na mnaswali nayo?
 
Selemani fc ni janga lingine hapa nchini kwakweli 😁😁 sasa jamaa aliwakosea nini πŸ€”πŸ€” alifanya mkawa mnatikisa matiti na makalio mchana kutwa alafu leo mnamgeuka πŸ€”πŸ€” kwenye hili la majini yule mzungu pori ashura cheupe hakosi kabisa 😁😁
 
Kwani wewe uliambiwa Majini ni viumbe vibaya? Unataja taja maka unadhani Sis Waislamu tuna ugomvi na majini kama ninyi Makafir? Majini ninyi ndo mnaona mabaya. Hadi Macca yapo na msikitini yana Swali vizuri tu kwa Allah. Acha ujinga dogo.
 
Reactions: 511
Sasa Mumroge na Kumtupia majini mnataka akae kimya..
Mmesahau ana familia inayomuhitaji
 
Ndio maana nilikuwa nashangaa huu mpira yanga wameutoa wapi kumbe wanawachezesha majini sisi tunajua wakina pakome na the like..πŸ˜€πŸ€£πŸ€£
Teh teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ noma sana
 
Hv yanga uchawi mmeupataje mbna naona km ni ubunifu mkubwa
 
mayele kakwama,na nyie mambumbu mmekwama...yaani wote mmekwama nani atamsaidia mwenzie!!!
atupostie hayo majini tuyaone ili tumwamini...
 
Yanga ni wachawi...full stop.
Zile kauli za kusema mtu akiondoka Yanga hafanikiwi na wanaona rahaa..mara timu ikiifunga inashuka daraja..ndo mjue ni majini matupu yapo pale jangwani..
 
Tuweke ushabiki pembeni ila ni ujinga kuwaza mambo ya giza kwenye soka.

Sema uzuri vyura watabatizwa jina jipya.
"Majini Football Club".
 
Itakuwa Chuki Za Mashabiki Wa Simba Kwa Kukandwa.

Dar Young Africans Tulimalizana Nae Kwa Wema Kabisa.
Yaani viongozi wenu na mashabiki wenu ndio kawataja.Na zeruzeru Haji Manara kamuomba afute posti yake kagoma.Wewe unakurupuka eti ni Simba.Wafanye hivyo ili wafaidike nini?
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…