Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasema yeye sio Mtanzania hataki shobo😂😂😂Mayele ndo kawatengenza nyie
Hao si ndo wabeba tunguli?Na hilo suala la kumshobokea linanikera sana basi tu.
Mchezaji ambaye akiondoka Yanga nitahaha ni Diarra, na kiasi Aziz Ki.
Kwa hyo ndo mmeamua kwenda ku order kutoka Macca kuja kuharibu kiwango cha huyu kijana?Kwani wewe uliambiwa Majini ni viumbe vibaya? Unataja taja maka unadhani Sis Waislamu tuna ugomvi na majini kama ninyi Makafir? Majini ninyi ndo mnaona mabaya. Hadi Macca yapo na msikitini yana Swali vizuri tu kwa Allah. Acha ujinga dogo.
Na yameanza kuisha nguvu Sasa hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]Ndio maana nilikuwa nashangaa huu mpira yanga wameutoa wapi kumbe wanawachezesha majini sisi tunajua wakina pakome na the like..😀[emoji1787][emoji1787]
Onana alikua anaona mishale golini [emoji1787][emoji1787][emoji2]Afcon itazua mengi.......bado Osimhen na yeye aseme alichotwa unyayo, ikitoka hapo Mane atasema alichukuliwa msukule.
Nadhani hizi lugha zingine ulizozileta hapa, wala sio za mpira, ni za kujiona ni miungu watu. Unataka iwe kama kwenye mafanikio ya Mayele hakuna kabisa nguvu yake.Leo unasema umechoka na majini. Kipindi kile yanakusaidia hukuchoshwa nayo? Waulize wenzio sasa. Muulize Feisal si una namba yake. Waulize wengi tu ambao wamepita Yanga wakatengenezwa wakajifanya wajuaji. Uliza wapo wapi mbwa wewe. Sisi ndo tumekujenga.
View attachment 2901484View attachment 2901485
Aaaaaaah tukauchukue wa usukumani Shem au unaonajeShem ya Yanga makali 🤣
B… twende taratibu.Nadhani hizi lugha zingine ulizozileta hapa, wala sio za mpira, ni za kujiona ni miungu watu. Unataka iwe kama kwenye mafanikio ya Mayele hakuna kabisa nguvu yake.
Kama ninyi ni mabingwa wa hicho unachoita ni kutengeneza watu, ni kwanini hamkuwatengeneza watoto zenu, mkaenda kumfuata Mayele huko DRC?
Kama ninyi mnavyoona mnahitaji heshima, ndivyo Mayele naye pia anaihitaji heshima hiyo. Ukimvunjia heshima naye atakuvunjia. Hana sababu ya kunyenyekea dharau.
Ova
C:C Haji Manara-Kwa utekelezaji.Kama amechoka majini mtumieni hata popobawa
Yanga huyu Mayele amewakosea nini hadi mnataka kumuua?Leo unasema umechoka na majini. Kipindi kile yanakusaidia hukuchoshwa nayo? Waulize wenzio sasa. Muulize Feisal si una namba yake. Waulize wengi tu ambao wamepita Yanga wakatengenezwa wakajifanya wajuaji. Uliza wapo wapi mbwa wewe. Sisi ndo tumekujenga.
View attachment 2901484View attachment 2901485
B… twende taratibu.
Kwa jinsi unavyotufahamu wapenzi/viongozi & mashabiki wa Yanga kuna mchezaji miaka ya hivi karibuni tulimpenda na kumhusudu kama Mayele?
Heshima? Ni lini tumewahi kumvunjia heshima Mayele? Tulimpenda na kumheshimu sana ndio maana alipoleta huu upuuzi wake na kiuhalisia yeye ndio katuvunjia heshima tumehamaki.
Ili kuweka mzania sawa, haya mambo kayaanzisha mwenyewe. Huwezi kuivunjia heshima taasisi (Yanga) tena kwa tuhuma za kipuuzi ambazo hawezi kuzithibitisha halafu sisi tumlipe heshima.
Tafadhali fuatilia clip & posts ambazo ameongelea hili, ametukosea sana.
Hapa sidhani kama kuna mtu anashida nae mpaka anaondoka wanayanga wengi walikuwa wanamkubali na walimtakia mema, na ndio maana club ilimuuza kwa makubaliano hakukataliwaMimi kama Mwanayanga damu kabisa wala sina habari na Mayele.
Mchezaji kama mpenzi, akienda mwache aende na umtakie heri kabisa.
Hatokaa akuumize.
Huyo anataka kwenda Azam tu anatumia trik ya feitotoViongozi wetu na mashabiki wanatuma ujumbe kwake mbona huelewi ushahidi anao