Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

Bila kuwatupia majini wachezaji wa timu pinzani utopolo mngekuwa mnashikilia mkia NBC PL
 
Mijitu ya yanga ushamba tuuu,kwani mnataka mchezaji acheze kwenu milele???mbona leo baleke katupia na klabu yake mpya huko libya,na wanasimba tumemfata insta kumpongeza kwa kazi nzuri,aseee acheni USHAMBA
 
Kakutana na wajuzi zaidi Misri anatafuta pa kutokea. Hata ukiangalia aina ya wachezaji wa team ya DRC AFCON hafui dafu. Awe mpole tu alilewa sifa sasa sifa zinamtafuna!!
 
Kwani wewe uliambiwa Majini ni viumbe vibaya? Unataja taja maka unadhani Sis Waislamu tuna ugomvi na majini kama ninyi Makafir? Majini ninyi ndo mnaona mabaya. Hadi Macca yapo na msikitini yana Swali vizuri tu kwa Allah. Acha ujinga dogo.
Kwa hyo ndo mmeamua kwenda ku order kutoka Macca kuja kuharibu kiwango cha huyu kijana?
 
Ndio maana nilikuwa nashangaa huu mpira yanga wameutoa wapi kumbe wanawachezesha majini sisi tunajua wakina pakome na the like..😀[emoji1787][emoji1787]
Na yameanza kuisha nguvu Sasa hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Leo unasema umechoka na majini. Kipindi kile yanakusaidia hukuchoshwa nayo? Waulize wenzio sasa. Muulize Feisal si una namba yake. Waulize wengi tu ambao wamepita Yanga wakatengenezwa wakajifanya wajuaji. Uliza wapo wapi mbwa wewe. Sisi ndo tumekujenga.

View attachment 2901484View attachment 2901485
Nadhani hizi lugha zingine ulizozileta hapa, wala sio za mpira, ni za kujiona ni miungu watu. Unataka iwe kama kwenye mafanikio ya Mayele hakuna kabisa nguvu yake.

Kama ninyi ni mabingwa wa hicho unachoita ni kutengeneza watu, ni kwanini hamkuwatengeneza watoto zenu, mkaenda kumfuata Mayele huko DRC?

Kama ninyi mnavyoona mnahitaji heshima, ndivyo Mayele naye pia anaihitaji heshima hiyo. Ukimvunjia heshima naye atakuvunjia. Hana sababu ya kunyenyekea dharau.

Ova
 
Acha ushamba wewe mtoto wa watu ametoka zake Kongo Kaja kacheza kwa bidii mkamfurahia, leo mnasema mmemjenga

Nijibu yafuatayo kama kweli ulishiriki kumjenga

1.Nyie Ndio mlimshauri kuanza kucheza mpira?

2.Akiwa Kongo kabla hajaja Tz aliwaomba kuja Au nyie mlimfuata kupitia kwa wakala wake?

3.Yanga alikua analipwa Mshahara Au mlikua mnampa msaada?

4.Kama mmemtengeneza nmashindwa nini kumbomoa?
 
Nadhani hizi lugha zingine ulizozileta hapa, wala sio za mpira, ni za kujiona ni miungu watu. Unataka iwe kama kwenye mafanikio ya Mayele hakuna kabisa nguvu yake.

Kama ninyi ni mabingwa wa hicho unachoita ni kutengeneza watu, ni kwanini hamkuwatengeneza watoto zenu, mkaenda kumfuata Mayele huko DRC?

Kama ninyi mnavyoona mnahitaji heshima, ndivyo Mayele naye pia anaihitaji heshima hiyo. Ukimvunjia heshima naye atakuvunjia. Hana sababu ya kunyenyekea dharau.

Ova
B… twende taratibu.
Kwa jinsi unavyotufahamu wapenzi/viongozi & mashabiki wa Yanga kuna mchezaji miaka ya hivi karibuni tulimpenda na kumhusudu kama Mayele?

Heshima? Ni lini tumewahi kumvunjia heshima Mayele? Tulimpenda na kumheshimu sana ndio maana alipoleta huu upuuzi wake na kiuhalisia yeye ndio katuvunjia heshima tumehamaki.

Ili kuweka mzania sawa, haya mambo kayaanzisha mwenyewe. Huwezi kuivunjia heshima taasisi (Yanga) tena kwa tuhuma za kipuuzi ambazo hawezi kuzithibitisha halafu sisi tumlipe heshima.

Tafadhali fuatilia clip & posts ambazo ameongelea hili, ametukosea sana.
 
Viongozi wetu na mashabiki wanatuma ujumbe kwake mbona huelewi ushahidi anao
 
Mimi kama Mwanayanga damu kabisa wala sina habari na Mayele.

Mchezaji kama mpenzi, akienda mwache aende na umtakie heri kabisa.
Hatokaa akuumize.
Hapa sidhani kama kuna mtu anashida nae mpaka anaondoka wanayanga wengi walikuwa wanamkubali na walimtakia mema, na ndio maana club ilimuuza kwa makubaliano hakukataliwa

Hapa kuna stori inatengenezwa tu hakuna kingine majini gani katupiwa? Ni kawaida ya watu wenye exposure ndogo(sisemi mayele ana exposure ndogo) kila anapofeli anahisi kulogwa
 
Back
Top Bottom