Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Yes kawafunga mtu na Dada yakeJamaa analijua lango, so far kashawafunga Simba na Azam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes kawafunga mtu na Dada yakeJamaa analijua lango, so far kashawafunga Simba na Azam
Tofauti ipo, Mayele kafunga magoli wachezaji wakiwa kamili lakini Kagere kafungo goli wachezaji wakiwa pungufu wa dodoma jiji.
Enzi za Kagere zilishapita kitambo. Kwa sasa habari ya mjini ni Fiston Mayele.
Roho inakuuma sana mafundo mafundo yamekukaba kooniLuc hakukosea kabisa
Roho inakuuma sana mafundo mafundo yamekukaba kooni
Dalili ya mvua ni mawingu.Ligi imeisha hongereni kwa ubingwa
Dalili ya mvua ni mawingu.
Hatufurahii matokeo ya kushinda bali performance ya timu. Sisi tunafurahishwa na timu inavyozidi kuimarika kwa kucheza soka zuri wala hata hatuna haja na matokeo maana tupo kwenye utengenezaji wa timu. Vipi nyie mlioenda Morocco mwezi mzima na kambi ya Arusha, na nyie mnatengeneza timu?Umesahau msimu uliopita raundi ya kwanza hamkufungwa mkajinasibu nyie na Baca ndio hamjafungwa duniani [emoji3]jitulize ligi bado mbichi
Daah😂Kwa yanga hii sioni haja ya kuwa na mpenzi
[emoji16][emoji16][emoji16]Kwa yanga hii sioni haja ya kuwa na mpenzi
Je kwa sasa una la kusema tena kuhusu mayele?Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!
Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana pasi za upendo, ana utulivu wa hali ya juu sana! Huyu akiwa As Vita ndio alikuwa akimuweka benchi Mukoko kwenye nafasi ya kiungo mkabaji.
Mchezaji mwingine mwenye kitu cha ziada ni Heritier Ebenezer Makambo atafunga magoli ya kutosha hasa ukizingatia udhaifu wa mabeki wetu katika ligi ya bongo.
Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu-Me-Pi-Gwa