Fixed Deposits Account, UTT-Amis ni njia nzuri za kutunza pesa LAKINI SIYO uwekezaji abadani

Fixed Deposits Account, UTT-Amis ni njia nzuri za kutunza pesa LAKINI SIYO uwekezaji abadani

Una ubishi wa Kizamani sana kwenye dunia ambayo kila taarifa ni rahisi kuipata. Jaribu kufanya utafiti mkuu utachekwa na watoto wadogo.
Kwanini kila mtazamo unautazama kama wa kubishana, unahisi wewe peke tako umewekeza katika hizo taasisi, nina uzoefu na huo uwekezaji ndiyo maana nimeinua hoja, but anyway isiwe tabu ni kubadilusha elimu tu, unaogopa kuchekwa na watoto wewe utaweza kuwa mfanyabiasha sasa si utaogopa hata kuzikabili risk, labda ndiyo maana unafurahia easy money isio na risk
 
Approach yako nimeona kama umelenga ubishi unapotoa conclusion kwamba hicho kitu “hakipo”. Hili ni kosa kwa mtu anayetaka kujifunza. Mimi kila mwezi napata interest ndugu, ni vema ufanye utafiti kabla hujatoa hitimisho la hivyo.
NB. Nakuheshimu sana mkuu, naomba tusitofautiane sote daima tunajifunza.
 
Kule umewekeza 150m na ushee cash na unapata hizo 1.1m bila wewe kufanya lolote zaidi yaani ni hizo faranga zako 150m zinakufanyia kazi....

Huku umewekeza 15M na nguvu na muda wako yaani faranga zako pamoja na wewe muda wako na usimamizi....

Kwahio utaona kwa wengi ambao mtaa ni mgumu na unpredictable achana na hio 1.2 hata 750k inayotiririka kila mwezi ni secure na better option...., haichelewi hio Spacio day two ikapigwa mzinga na hizo 15m zako kuteketea instantly.... Tukubaliane majority have neither discipline nor the nerves

To each their own....
Mkuu huo ni mfano tu wa jinsi matumizi ya fedha kwenye biashara yanavyolipa kuliko kuweka fixed deposit.

Pili, hizo route alizosema haimaniishi kuwa anatumia gari kama taxi bali anabeba abiria anapoenda na kurudi kazini tu.

Kama wewe utaona kuwa gari ni risk, kwamba inaweza kupiga mzinga wakati wowote, basi fanya kitu kingine lakini sio kuweka fixed deposit. Are we together?
 
Approach yako nimeona kama umelenga ubishi unapotoa conclusion kwamba hicho kitu “hakipo”. Hili ni kosa kwa mtu anayetaka kujifunza. Mimi kila mwezi napata interest ndugu, ni vema ufanye utafiti kabla hujatoa hitimisho la hivyo.
NB. Nakuheshimu sana mkuu, naomba tusitofautiane sote daima tunajifunza.
Inawezekana kumbe kupokea kwa mwezi imenibidi niulizie moja wapo ya bank ulizotaja maana kila bank zina utaratibu wake wa kiuendeshaji,kumbe unaweza kupokea kila mwezi hata kama account yako ita mature baada ya miaka mitatu,
 
Mkuu huo ni mfano tu wa jinsi matumizi ya fedha kwenye biashara yanavyolipa kuliko kuweka fixed deposit.

Pili, hizo route alizosema haimaniishi kuwa anatumia gari kama taxi bali anabeba abiria anapoenda ma kurudi kazini tu.

Kama wewe utaona kuwa gari ni risk, kwamba inaweza kupiga mzinga wakati wowote, basi fanya kitu kingine lakini sio kuweka fixed deposit. Are we together?
Wala mimi point yangu kuu sio Pesa as resource bali muda as a resource (Yaani kitu ambacho unasahau na kufumba macho) Mtaji sio Pesa pekee mkuu mbona mtu unaweza hata ukatengeneza matrilioni bila hata senti moja - Ila huenda hapo utahitaji skills fulani kwahio advantage ya kitu kama hiki sio ngapi unapata bali ni low risk as well as hands free
 
Kama ni hivyo sawa mkuu
 
Kwanini kila mtazamo unautazama kama wa kubishana, unahisi wewe peke tako umewekeza katika hizo taasisi, nina uzoefu na huo uwekezaji ndiyo maana nimeinua hoja, but anyway isiwe tabu ni kubadilusha elimu tu, unaogopa kuchekwa na watoto wewe utaweza kuwa mfanyabiasha sasa si utaogopa hata kuzikabili risk, labda ndiyo maana unafurahia easy money isio na risk
Mkuu anachosema Jebel ni sahihi, kwa mfano TCB unapofungua ac ya fxd deposit unachagua kama upate interest monthly, quarterly semi annually au annually.
Lakini wadau mnachokosea ni kufananisha kati ya business na investment, hizo ni avenues mbili tofauti. Unapaswa kulinganisha business na business au investment na investment.
 
Hapo uko sawa sana mkuu! Nami hapa nilitaka kuonyesha tofauti hiyo hiyo, fixed ni investment na siyo business kabisa.
 
CRDB niliweka kwa mda wa miaka mitatu. Annually interest ni 9% lakini napata monthly interest ambayo inaingia kwenye account kila mwezi
TCB niliweka kwa duration ya miaka 2, annual interest ni 11% lakini wakati naweka zaidi ya mwaka sasa walikuwa wanalipa interest monthly na hadi sasa napata interest kila mwezi(nasikia kwa sasa ni kila baada ya miezi3) lakini mie bado napata interest monthly.
I hope utakuwa umeelewa kama lengo lako ni kujifunza ila kama umelenga ubishi then I don’t trade it champ!
Hiyo sio fixed account ni FLEXI ACCOUNT.

#YNWA
 
Kwanini kila mtazamo unautazama kama wa kubishana, unahisi wewe peke tako umewekeza katika hizo taasisi, nina uzoefu na huo uwekezaji ndiyo maana nimeinua hoja, but anyway isiwe tabu ni kubadilusha elimu tu, unaogopa kuchekwa na watoto wewe utaweza kuwa mfanyabiasha sasa si utaogopa hata kuzikabili risk, labda ndiyo maana unafurahia easy money isio na risk
Anafananisha fixed na flexi account.

#YNWA
 
Kuna watu wanafanya hiyo kitu??
Yaani anaweka zaidi ya 50M UTT au benki akitegemea awe anapata gawio na huo anauita uwekezaji akitegemea kukua zaidi au??

Mi nadhani ni wanahifadhi huku wakiwa na ishu zao nyingine wanafanya hiyo ni extra tu. Yaani huna mbishe ndo umepata 100M unaisokomeza yote huko.. alooo.
 
Binafsi ni mtu niliyen’gatwa na nyoka wa ujasiriamali, nilienda kufungia baishara za maduka kwa nondo za JF nikaishia kuchoma 18M within 6 months tu SITOSAHAU.

Sitaki tena upuuzi wa uwekezaji, baada ya kufikisha 12M through saving nimeipeleka zangu UTT Amis kwny mfuko wa liquid.. kila mwezi hela inaingia.

Nina mpango October nikaweke 10M nyingine katika mfuko Bond fixed hapo hapo UtT (2 years fixed acc).

Lakini pia napambana kwny bishara nyingine lakini sio hii miradi ya JF ambayo ukienda kwny utekelezaji unaambulia kuchoma mtaji.

NB: DUNIANI KOTE MATAJIRI WANALINDA MITANI YAO, HIVYO NI MUHIMU KUPATA FAIDA KIDOGO ILA USIPOTEZE MTAJI .
 
Hakuna bank wanakupa riba kila mwezi wakati wewe fixed account yako umeweka ndani ya mwaka, yani uweke milioni 100 riba ni ya annually then ulipwe monthly kuna kitu hujakiweka sawa, bank watakulipa riba pesa yako iki mature kama ni miezi mitatu kama ni mwaka then ikimatua unachukua principal na interest pamoja na zina makato ya kodi
Ameidadavua tu upne ni kiasi gani kwa mwezi,sio kwamba wanalipa kwa mwezi.
 
Kwa mawazo haya kuna siku watu wote hawatofanya Kazi kwasababu yakupenda kukaa bila kujishughulisha au kutokutaka kutake risk,Ndo mana kila Zile DESI na Mfano zikija madhara yanakuwa makubwa sababu Sisi watanzania tunapenda bure na kulalama,huwezi kuwa na M150 ukategemea Mbao WA 1.1m wakati huo NI bonge ya mtaji,ukienda china unasomba mzigo WA Maana na kuleta bongo,Mfano zile mnauziwa pvc board mnawekaga sebleni kama TV case,unajua ile bei yake china haizidi elf 20 ya kibongo?halafu bongo tunauziwa laki na thelathini,badilisheni mawazo tuache dezo
MDF sio pvc,maoni yako nayaafiki.
 
Back
Top Bottom