Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakuja na kutoka.Binafsi ni mtu niliyen’gatwa na nyoka wa ujasiriamali, nilienda kufungia baishara za maduka kwa nondo za JF nikaishia kuchoma 18M within 6 months tu SITOSAHAU.
Sitaki tena upuuzi wa uwekezaji, baada ya kufikisha 12M through saving nimeipeleka zangu UTT Amis kwny mfuko wa liquid.. kila mwezi hela inaingia.
Nina mpango October nikaweke 10M nyingine katika mfuko Bond fixed hapo hapo UtT (2 years fixed acc).
Lakini pia napambana kwny bishara nyingine lakini sio hii miradi ya JF ambayo ukienda kwny utekelezaji unaambulia kuchoma mtaji.
NB: DUNIANI KOTE MATAJIRI WANALINDA MITANI YAO, HIVYO NI MUHIMU KUPATA FAIDA KIDOGO ILA USIPOTEZE MTAJI .
Yaani uwe na uwezo wa kuweka fixed deposit au unayo 150 million halafu uanze kuendesha spacio kusomba abiria? Stupid. Why can't you find another lucrative business? Sasa dereva wa uber anakuwa afanye nininambaye hana hata mia?Salamu Waungwana.
Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida au tuseme wa kati. Kwa mda nimekuwa nikiweka pesa kwenye fixed deposits account za mabenk tofauti na hata UTT-Amis.
Nimeweka CRDB (Mzigo Flex) ambao wanatoa riba ya 9% annually, TCB ambao wanatoa 11% annually and UTT-Amis ambao wanatoa ~12%.
Hata hivyo baada ya kufanya critical evaluation nimegundua dhahiri kwamba TAASISI hizi siyo sehemu za kuwekeza pesa bali kuhifadhi pesa tu ili isiendelee kukatwa monthly otherwise.
Nitatoa mifano kadhaa, mosi; CRDB niliweka 100M kwa annual interest ya 9% sawa na 0.75%monthly kwa maana hiyo kwa mwezi napata 750,000/= (Laki saba na hamsini elfu) baada ya makato ya VAT huwa inabakia maximum 700,000/= wakati mwingine pungufu kabisa.
TCB nimeweka 50M kwa riba ya 11% annually sawa na 0.916%monthly kwa hiyo kila mwezi napata 450,000/= baada ya VAT nabakia na 405,000/= Kwa hiyo kwa mifano hii miwili tu utaona kwamba kwa mwezi mzima uwekezaji wa 150M faida nayoipata Ni 1.1M tu, yaani milioni moja na laki moja tu.
Sasa basi Kwanini nasema huu siyo uwekezaji mzuri; Chukua mfano ukichukua kigari mfano Spacio au Wish 7 seats, bei ina range between 15M-18M. Halafu kila asubuhi uwe unachukua abiria 8 tu kutoka Mbezi to Kariakoo, nauli inakuwa 4000/person. Single route utakuwa na 32,000/= Mafuta 2Lts sawa na 6600/= utabakia na 25,000/= jioni chukua abiria 8 from Kariakoo to Mbezi, nauli 3000/= au Manzese to Mbezi kuanzia saa12 usafiri shida sana, utapata 24,000/= route ya kwenda kulala Ni mafuta. Utaona walau kwa siku huwezi kukosa 40,000/= bila TRA wala PT. Kwa mwezi unapata siyo chini ya 1.2M kwa uwekezaji wa 15M tu. Huu ni uwekezaji.
Kuna watu watabeza kwamba hizi ni biashara za kwenye karatasi lakini ukweli ni kwamba binafsi NAIFANYA biashara hii na return hii siyo estimation bali ni uhalisia kabisa.
NB: Huu ni mtazamo wangu tu siyo lazima kuyabeba. Jumapili Njema na herini ya siku kuu ya Utatu Mtakatifu.
Jebel.
Nenda UTTKule umewekeza 150m na ushee cash na unapata hizo 1.1m bila wewe kufanya lolote zaidi yaani ni hizo faranga zako 150m zinakufanyia kazi....
Huku umewekeza 15M na nguvu na muda wako yaani faranga zako pamoja na wewe muda wako na usimamizi....
Kwahio utaona kwa wengi ambao mtaa ni mgumu na unpredictable achana na hio 1.2 hata 750k inayotiririka kila mwezi ni secure na better option...., haichelewi hio Spacio day two ikapigwa mzinga na hizo 15m zako kuteketea instantly.... Tukubaliane majority have neither discipline nor the nerves
To each their own....
Naomba na mm niweke neno kdg km nitaeleweka:-
1#. Fixed account and UTT amis ni vitu viwili tofauti na utofauti wake upo hapa fixed account haikuwi kithamani lkn UTT inakuwa kithaman kwa kupitia vipande maana bei za vipande zinaongezeka mfano ukinunua vipande vya 100M baada ya miaka mi3 hutauza kwa m100 itakuwa zaidi lakni bank fixed deposit km umeweka M100 utakuta hiyo hiyo 100M.
2#. Business and investment ni vitu viwili tofauti na kote unaweza kutoboa kutegemea na kiwango chako cha elimu ya fedha,uzoefu na risk appetite yako. Nije kwa mfano wako wa gari kupitia UTT
Mkuu nimependa maelezo yako. Yana vitu vya kujifunza.Naomba na mm niweke neno kdg km nitaeleweka:-
1#. Fixed account and UTT amis ni vitu viwili tofauti na utofauti wake upo hapa fixed account haikuwi kithamani lkn UTT inakuwa kithaman kwa kupitia vipande maana bei za vipande zinaongezeka mfano ukinunua vipande vya 100M baada ya miaka mi3 hutauza kwa m100 itakuwa zaidi lakni bank fixed deposit km umeweka M100 utakuta hiyo hiyo 100M.
2#. Business and investment ni vitu viwili tofauti na kote unaweza kutoboa kutegemea na kiwango chako cha elimu ya fedha,uzoefu na risk appetite yako. Nije kwa mfano wako wa gari kupitia UTT gawio lako la mwezi unaweza kuchukua mkopo wa 15M kwa riba ya 13% kwa miaka mitatu makato hayazidi 500K montly hiyo ndio ufanyie izo mishe zako za abiria na utapiga hela vizur tu na sio kuchukua cash yako kununua gari (PROTECT YOUR CASH). Hapa narudia kusema biashara na investment zote zinalipa swali je ww ni muekezaji na mfanyabiashara mzuri?? Binafsi kuna investment nimefanya since 2016 niliweka 7M now nina more than 30M na zinazidi kukua so ni ww na financial inteligence yako.
3#.Kuna mdau mmoja kazungumza vizur sana katika uwekezaji wako hakikisha unatrade with protection tena hasa hasa capital protection kitendo cha kuweka hela UTT basi umeprotect mtaji wako na utaendelea kuwa nao siku zote, risk faida yako na sio mtaji wako.
4#. Mambo ya gari sijui itapigwa mzinga hizo ni mentality za kimasikini biashara yoyote hakikisha inakuwa full protected kupitia BIMA na mambo mengine ili kujilinda na majanga kama hayo.
5#. Bank kuna opportunity kibao na za maana zaidi ya fixed deposit cha msingi ni kuwa curious katika kutafuta maarifa na elimu nikupe mfano mambo ya mortgage kama unataka kujenga apartment zenye thamani ya 200M ww ukiweka 10% liqudity cash or collateral equivalent pamoja na kukamilisha requirements zengine Bank wanalend rest amount ambayo ni 90% ya 200M.
6#. Net profit ya 1.1M ni hela nyingi sana bila ya jasho tena nasema ni hela nyingi mno hasa ukijua kumaximuze hiyo hela hiyo hela unapata more than 40M loan ambayo unalipa kupitia montly payment yako.
7#. 1.1M net profit (Passive income) = 0.73% Montly gaining ya 150M WHILE Tsh elf 40 daily ni = 6.4% Monthly gaining ya 15M lakini sio NET PROFIT.
8#. Know your self ni mtu wa aina gani
MCHAWI CALCULATOR (KIKOKOTOO)
Samahanini kwa usumbufu ingawaje nina mengi itoshe kuwasilisha hayo
Naomba na nipo tayari kurekebishwa na kupata maarifa zaidi
Nakubaliana na ww 100% kuhusu CODES maana kuna codes fulani nilipewa kuhusu biashara ya mchele nikaifanya tena kwa kujifunza nikaweka 2M now nina 4+m within a month tena trip moja tu nimefanya now ndio nataka nizame mazimaNenda UTT
Ukiwa na hela nyingi like 100M ukaweka UTT utapata, 12 M kwa mwaka that is fine Kama unahifadhia watoto. Yaani mtoto anazaliwa leo then unamfungulia Ac ya UTT kwa principal ya 100M , by the time anafika 15 years anakuwa na (12M mara 15 years ) . Hii mbinu wanatumia wahindi sana ndio maana mtoto unasoma nae Udaktari mkimaliza anakuajiri au hukutani nae kwenye kuhangaika na Bahasha.
Muhindi au Msomali anasoma aje kukabhiwa ofisi, blacks tunasoma kuja kupambana na utumishi matokeo yake unafika 50 bado hujapata maisha.
Aidha kwenye Investment, kuweka hela UTT , it is the worst idea unless hujui anything about business .
Kama una Mil 100, unaenda kuwekeza UTT, I think unatakiwa kujitafakari, maana 100M kwa mwezi unapata 1.2 M plus na kodi unaweza Baki na 1M , hiyo ni ndogo sana kwa investment ya 100M .
Investment ya 100M kwa mwezi as profit unatakiwa usikose 7to 10M on monthly basis.
Shida kubwa kwa sisi black tunafanya business kwa kusoma articles na mitandao, unaenda ku invest hela.
Business ina codes zake na wala haihitaji mambo ya shule, just codes . Ndio maana hata layperson can do better in business akisha uncode
The codes .
Siwezi kumshauri mtu fanya business fulan kwa sababu business ni CODES and codes varies . The same business iliyokushinda mwingine inamlipa.
Mtu ana 30M za mkopo anenda kufungua business , in 12 months biashara imeshakufa na hela hizo kuja kuzipata tena ni ishu….. dhambi ya umasikini inatambaa
CODES . ndio mpango mzima
Hakuna tajiri anaetoboa kwa kuchimbia pesa chini au kuiweka FIX . By the time hiyo pesa inakupa faida, you will be dead already .asilimia kubwa wanaoweka pesa UTT ni wasataafu au watumishi; a bright mind and business oriented hawezi kulaza pesa UTT unless ni saving ya watoto.
Mkuu usipangie watu maisha kila mtu ana motives zake mwingine peace of mind ndio mpango mzima na hizo pesa kwake anazopata riba kwa mwezi zinakidhi mahitaji yake na unaongelea matajiri unless hujui maana ya utajiri..., kwa mtu binafsi ambaye haishi maisha ya kupangiwa au kuangalia fulani anafanya nini....Nenda UTT
Ukiwa na hela nyingi like 100M ukaweka UTT utapata, 12 M kwa mwaka that is fine Kama unahifadhia watoto. Yaani mtoto anazaliwa leo then unamfungulia Ac ya UTT kwa principal ya 100M , by the time anafika 15 years anakuwa na (12M mara 15 years ) . Hii mbinu wanatumia wahindi sana ndio maana mtoto unasoma nae Udaktari mkimaliza anakuajiri au hukutani nae kwenye kuhangaika na Bahasha.
Muhindi au Msomali anasoma aje kukabhiwa ofisi, blacks tunasoma kuja kupambana na utumishi matokeo yake unafika 50 bado hujapata maisha.
Aidha kwenye Investment, kuweka hela UTT , it is the worst idea unless hujui anything about business .
Kama una Mil 100, unaenda kuwekeza UTT, I think unatakiwa kujitafakari, maana 100M kwa mwezi unapata 1.2 M plus na kodi unaweza Baki na 1M , hiyo ni ndogo sana kwa investment ya 100M .
Investment ya 100M kwa mwezi as profit unatakiwa usikose 7to 10M on monthly basis.
Shida kubwa kwa sisi black tunafanya business kwa kusoma articles na mitandao, unaenda ku invest hela.
Business ina codes zake na wala haihitaji mambo ya shule, just codes . Ndio maana hata layperson can do better in business akisha uncode
The codes .
Siwezi kumshauri mtu fanya business fulan kwa sababu business ni CODES and codes varies . The same business iliyokushinda mwingine inamlipa.
Mtu ana 30M za mkopo anenda kufungua business , in 12 months biashara imeshakufa na hela hizo kuja kuzipata tena ni ishu….. dhambi ya umasikini inatambaa
CODES . ndio mpango mzima
Hakuna tajiri anaetoboa kwa kuchimbia pesa chini au kuiweka FIX . By the time hiyo pesa inakupa faida, you will be dead already .asilimia kubwa wanaoweka pesa UTT ni wasataafu au watumishi; a bright mind and business oriented hawezi kulaza pesa UTT unless ni saving ya watoto.
Haya ndio naita kutaka kuweka mawazo yako kwenye maisha ya watu..., Kwahio kwa logic yako wote tukienda China then What ? (Nadhani wewe ndio unahitaji kujua msemo wa let your money work for you); Katika ulimwengu wote risk takers hawazidi 10% kwahio for their sake, safety na ustawi wa jamii low risk investments kwao ndio mpango mzima..., Waweze ku sustain their day to day life...,Kwa mawazo haya kuna siku watu wote hawatofanya Kazi kwasababu yakupenda kukaa bila kujishughulisha au kutokutaka kutake risk,Ndo mana kila Zile DESI na Mfano zikija madhara yanakuwa makubwa sababu Sisi watanzania tunapenda bure na kulalama,huwezi kuwa na M150 ukategemea Mbao WA 1.1m wakati huo NI bonge ya mtaji,ukienda china unasomba mzigo WA Maana na kuleta bongo,Mfano zile mnauziwa pvc board mnawekaga sebleni kama TV case,unajua ile bei yake china haizidi elf 20 ya kibongo?halafu bongo tunauziwa laki na thelathini,badilisheni mawazo tuache dezo
Japo sikubaliani na kila ulilosema LAKINI bila doubt yoyote niseme wewe UNA AKILI KUBWA SANA. Nashukuru kwa mchango wako Captain.Naomba na mm niweke neno kdg km nitaeleweka:-
1#. Fixed account and UTT amis ni vitu viwili tofauti na utofauti wake upo hapa fixed account haikuwi kithamani lkn UTT inakuwa kithaman kwa kupitia vipande maana bei za vipande zinaongezeka mfano ukinunua vipande vya 100M baada ya miaka mi3 hutauza kwa m100 itakuwa zaidi lakni bank fixed deposit km umeweka M100 utakuta hiyo hiyo 100M.
2#. Business and investment ni vitu viwili tofauti na kote unaweza kutoboa kutegemea na kiwango chako cha elimu ya fedha,uzoefu na risk appetite yako. Nije kwa mfano wako wa gari kupitia UTT gawio lako la mwezi unaweza kuchukua mkopo wa 15M kwa riba ya 13% kwa miaka mitatu makato hayazidi 500K montly hiyo ndio ufanyie izo mishe zako za abiria na utapiga hela vizur tu na sio kuchukua cash yako kununua gari (PROTECT YOUR CASH). Hapa narudia kusema biashara na investment zote zinalipa swali je ww ni muekezaji na mfanyabiashara mzuri?? Binafsi kuna investment nimefanya since 2016 niliweka 7M now nina more than 30M na zinazidi kukua so ni ww na financial inteligence yako.
3#.Kuna mdau mmoja kazungumza vizur sana katika uwekezaji wako hakikisha unatrade with protection tena hasa hasa capital protection kitendo cha kuweka hela UTT basi umeprotect mtaji wako na utaendelea kuwa nao siku zote, risk faida yako na sio mtaji wako.
4#. Mambo ya gari sijui itapigwa mzinga hizo ni mentality za kimasikini biashara yoyote hakikisha inakuwa full protected kupitia BIMA na mambo mengine ili kujilinda na majanga kama hayo.
5#. Bank kuna opportunity kibao na za maana zaidi ya fixed deposit cha msingi ni kuwa curious katika kutafuta maarifa na elimu nikupe mfano mambo ya mortgage kama unataka kujenga apartment zenye thamani ya 200M ww ukiweka 10% liqudity cash or collateral equivalent pamoja na kukamilisha requirements zengine Bank wanalend rest amount ambayo ni 90% ya 200M.
6#. Net profit ya 1.1M ni hela nyingi sana bila ya jasho tena nasema ni hela nyingi mno hasa ukijua kumaximuze hiyo hela hiyo hela unapata more than 40M loan ambayo unalipa kupitia montly payment yako.
7#. 1.1M net profit (Passive income) = 0.73% Montly gaining ya 150M WHILE Tsh elf 40 daily ni = 6.4% Monthly gaining ya 15M lakini sio NET PROFIT.
8#. Know your self ni mtu wa aina gani
Mwisho Sema hivi:-
fixed deposit and UTT amis ni njia nzur na kuhifadhi pesa lakini SIO UWEKEZAJI ABADAN KWANGU MIMI.
MCHAWI CALCULATOR (KIKOKOTOO)
Samahanini kwa usumbufu ingawaje nina mengi itoshe kuwasilisha hayo
Naomba na nipo tayari kurekebishwa na kupata maarifa zaidi
Lengo ni kueleweshana na kipeana madini hebu twende kipengele kwa kipengele ili nijifunze zaidi wapi hukubalian ?? Ili tuelekekezaneJapo sikubaliani na kila ulilosema LAKINI bila doubt yoyote niseme wewe UNA AKILI KUBWA SANA. Nashukuru kwa mchango wako Captain.
Hapo #1. Utt inakuwa wakati FDA haikui. Labda ungepitia aina zote za mifuko ya UTT ungetambua kwamba mifuko hii inatofautiana na hivyo suala la kukua kwa vipande inategemea na aina ya mfuko. Kuna mifuko ambayo inaathiriwa na DSE na ile ambayo ni independent yaani haiathiriwi na DSE upande wa kukua positively au kukua negatively. Ukumbuke vipande vinaweza kupanda thamani au kushuka thamani kama mfuko unaathiriwa na DSE. Natumaini nitakuwa nimeeleweka.Lengo ni kueleweshana na kipeana madini hebu twende kipengele kwa kipengele ili nijifunze zaidi wapi hukubalian ?? Ili tuelekekezane
Umemaliza kila kitu hapoKule umewekeza 150m na ushee cash na unapata hizo 1.1m bila wewe kufanya lolote zaidi yaani ni hizo faranga zako 150m zinakufanyia kazi....
Huku umewekeza 15M na nguvu na muda wako yaani faranga zako pamoja na wewe muda wako na usimamizi....
Kwahio utaona kwa wengi ambao mtaa ni mgumu na unpredictable achana na hio 1.2 hata 750k inayotiririka kila mwezi ni secure na better option...., haichelewi hio Spacio day two ikapigwa mzinga na hizo 15m zako kuteketea instantly.... Tukubaliane majority have neither discipline nor the nerves
To each their own....
Hapo ulikuwa unailinda hela yako na inflation ila sio uwekezaji huo chief...inflation kwa mwaka hii ha karibuni inaweza kuwa hata 15% hasa baada ya haya mambo ya Covid na vita za huko Duniani...mfano Mafuta yaliyokuwa yanauzwa 2200 sasa yanauzwa 3200CRDB niliweka kwa mda wa miaka mitatu. Annually interest ni 9% lakini napata monthly interest ambayo inaingia kwenye account kila mwezi
TCB niliweka kwa duration ya miaka 2, annual interest ni 11% lakini wakati naweka zaidi ya mwaka sasa walikuwa wanalipa interest monthly na hadi sasa napata interest kila mwezi(nasikia kwa sasa ni kila baada ya miezi3) lakini mie bado napata interest monthly.
I hope utakuwa umeelewa kama lengo lako ni kujifunza ila kama umelenga ubishi then I don’t trade it champ!
Hapo #1. Utt inakuwa wakati FDA haikui. Labda ungepitia aina zote za mifuko ya UTT ungetambua kwamba mifuko hii inatofautiana na hivyo suala la kukua kwa vipande inategemea na aina ya mfuko. Kuna mifuko ambayo inaathiriwa na DSE na ile ambayo ni independent yaani haiathiriwi na DSE upande wa kukua positively au kukua negatively. Ukumbuke vipande vinaweza kupanda thamani au kushuka thamani kama mfuko unaathiriwa na DSE. Natumaini nitakuwa nimeeleweka.
Mkuu sikupingi ,umefafanua vizuriNaomba na mm niweke neno kdg km nitaeleweka:-
1#. Fixed account and UTT amis ni vitu viwili tofauti na utofauti wake upo hapa fixed account haikuwi kithamani lkn UTT inakuwa kithaman kwa kupitia vipande maana bei za vipande zinaongezeka mfano ukinunua vipande vya 100M baada ya miaka mi3 hutauza kwa m100 itakuwa zaidi lakni bank fixed deposit km umeweka M100 utakuta hiyo hiyo 100M.
2#. Business and investment ni vitu viwili tofauti na kote unaweza kutoboa kutegemea na kiwango chako cha elimu ya fedha,uzoefu na risk appetite yako. Nije kwa mfano wako wa gari kupitia UTT gawio lako la mwezi unaweza kuchukua mkopo wa 15M kwa riba ya 13% kwa miaka mitatu makato hayazidi 500K montly hiyo ndio ufanyie izo mishe zako za abiria na utapiga hela vizur tu na sio kuchukua cash yako kununua gari (PROTECT YOUR CASH). Hapa narudia kusema biashara na investment zote zinalipa swali je ww ni muekezaji na mfanyabiashara mzuri?? Binafsi kuna investment nimefanya since 2016 niliweka 7M now nina more than 30M na zinazidi kukua so ni ww na financial inteligence yako.
3#.Kuna mdau mmoja kazungumza vizur sana katika uwekezaji wako hakikisha unatrade with protection tena hasa hasa capital protection kitendo cha kuweka hela UTT basi umeprotect mtaji wako na utaendelea kuwa nao siku zote, risk faida yako na sio mtaji wako.
4#. Mambo ya gari sijui itapigwa mzinga hizo ni mentality za kimasikini biashara yoyote hakikisha inakuwa full protected kupitia BIMA na mambo mengine ili kujilinda na majanga kama hayo.
5#. Bank kuna opportunity kibao na za maana zaidi ya fixed deposit cha msingi ni kuwa curious katika kutafuta maarifa na elimu nikupe mfano mambo ya mortgage kama unataka kujenga apartment zenye thamani ya 200M ww ukiweka 10% liqudity cash or collateral equivalent pamoja na kukamilisha requirements zengine Bank wanalend rest amount ambayo ni 90% ya 200M.
6#. Net profit ya 1.1M ni hela nyingi sana bila ya jasho tena nasema ni hela nyingi mno hasa ukijua kumaximuze hiyo hela hiyo hela unapata more than 40M loan ambayo unalipa kupitia montly payment yako.
7#. 1.1M net profit (Passive income) = 0.73% Montly gaining ya 150M WHILE Tsh elf 40 daily ni = 6.4% Monthly gaining ya 15M lakini sio NET PROFIT.
8#. Know your self ni mtu wa aina gani
Mwisho Sema hivi:-
fixed deposit and UTT amis ni njia nzur na kuhifadhi pesa lakini SIO UWEKEZAJI ABADAN KWANGU MIMI.
MCHAWI CALCULATOR (KIKOKOTOO)
Samahanini kwa usumbufu ingawaje nina mengi itoshe kuwasilisha hayo
Naomba na nipo tayari kurekebishwa na kupata maarifa zaidi
😂😂😂😂 huyu jamaa uliye mtag huku sio sehemu yake hana cha kuchangia
[emoji23][emoji23][emoji23] jamii forums projects business ideas...on paperBinafsi ni mtu niliyen’gatwa na nyoka wa ujasiriamali, nilienda kufungia baishara za maduka kwa nondo za JF nikaishia kuchoma 18M within 6 months tu SITOSAHAU.