Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎.
Namshukuru Mungu alinipa siri yake
Nikawa nafaulu
Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics
Kila kitu kinawezekana
Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe .
Watu waliopewa uwezo na Mungu
Kuyavumbua na kuelezea vitu mbalimbali. Akili tunazo , Uwezo mkubwa tunao
Kujifunza uumbaji wa Mungu. Bado na mengi hatuyajui. Mungu ni zaidi ya Physics na Math
Je tungesema Angetoa kitabu kinachoelezea Kila kitu kinachohusu
Uumbaji wake .(Science) Yote
Isingekuwa na mwisho
Na bado tena yaliyoelezewa na binadamu tena mwenzio
Unasema ni Magumu
Wanafunzi wanafeli , Wanasema ni ngumu , wanakata tamaa
Unakuta mtu ukimwambia kuhus Physics au Math anasema sitaki hata kuyasikia
Mwingine ukimwonyesha kitabu tu
Anasema kichwa kina burst 💥
Hataki hata kuyaona
Ni kwa nini ?
Asilimia ya Watu wengi wanaona
Physics na Math ni ngumu
Shida ni nini?
Wachache haiwasumbui
Kwa wanaojua watuambie wanaonaje Physics ni rahisi?
Na mnaosema ni Ngumu
Ni kwa nini iwe Ngumu?