Fizikia na Hesabu ni rahisi, kwanini watu wanaona ni ngumu?
Napenda kusoma vitabu. Napenda kuandika vitabu.
Ni jambo nzuri mno mimi kwa sasa ni mpenzi wa riwaya tu naona kama zinanipa motivation mpya kabisa za maisha , ila kusema ukweli hesabu za pesa na jinsi ya kwenda na bajeti sio mchezo na mtu akiweza kumudi hizi maisha yanakua rahisi sana kwake🤔
 
Inakuaje uweze mahesabu na fizikia ushindwe🤔
Haha
Hesabu unakuta mtu anajua formula
Ila kwenye physics unakuta mtu akishasoma Formula anajua ndio hivyo
Kumbe Kuna sheria labda hiyo formula itabadilika kama kuna vitu fulani
Na mtu akiingia kwenye swal anakuta swal linamtego yani mtego ndani ya mtego ndani ya mtego anakosa kirahis
 
Haha
Hesabu unakuta mtu anajua formula
Ila kwenye physics unakuta mtu akishasoma Formula anajua ndio hivyo
Kumbe Kuna sheria labda hiyo formula itabadilika kama kuna vitu fulani
Na mtu akiingia kwenye swal anakuta swal linamtego yani mtego ndani ya mtego ndani ya mtego
Yani ukishajua hesabu na jinsi ya kuichakata kikanuni , kwenye fizikia akili inakua haraka sana katika namna ya kufumbua mambo ya kiasili na kuyapima katika nadharia ya kifizikia, ndio maana watu wanasoma pcb na pcm , wengi wa pcm wanaimudi kwa ustadi mkubwa fizikia kuliko wale wa pcb.
 
Ni jambo nzuri mno mimi kwa sasa ni mpenzi wa riwaya tu naona kama zinanipa motivation mpya kabisa za maisha , ila kusema ukweli hesabu za pesa na jinsi ya kwenda na bajeti sio mchezo na mtu akiweza kumudi hizi maisha yanakua rahisi sana kwake🤔
Facts
 
Back
Top Bottom