min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mifumo ya elimu kwao ipo vizuriAlf nashangaa Wakenya wanatengeneza Kamusi ya Kiswahi
Mifumo ya elimu kwao ipo vizuriAlf nashangaa Wakenya wanatengeneza Kamusi ya Kiswahi
Yeah watu wengi wa pcb wakishaanza kukomaa na ma chandi na Zile Bs fizikia inapewa mda mdogo sana
PCM lazima usome usiku mzima kwasababu kuna vitu vingi ambavyo haviendani na muda ambao mmepewa (muda mdogo kuliko mavitu yaliyopo)Hayo masomo yangekuwa marahisi watu wa PCM wasingekuwa wanasoma karibu usiku mzima huku watu wa Arts wakisoma kidogo tu na kutandika division one. Hayo masomo sio mchezo ndo maana watu wake wapo wachache.
Mimi kitu kilinisaidia olevel kwenye fizikia nilianza kupambana na Abbott mapema sana , hivyo nikajenga uwezo wa kuyamudi yale mabiblia mengine😅Mkate wa BS sio mchezo asikwambie mtu, unahitaji utulivu wa hali ya juu na kichwa kinachoshika...
Physics na Adv. Maths zinahitaji uwezo wa kutafakari, kuzitambua na jinsi ya kuzitumia kanuni...
🤣🤣🤣 Sitaki
KabisaYani ukishajua hesabu na jinsi ya kuichakata kikanuni , kwenye fizikia akili inakua haraka sana katika namna ya kufumbua mambo ya kiasili na kuyapima katika nadharia ya kifizikia, ndio maana watu wanasoma pcb na pcm , wengi wa pcm wanaimudi kwa ustadi mkubwa fizikia kuliko wale wa pcb.
🤣🤣😁😁😁 hapa nilikua nachangnyikiwa kabisa nilikua naishia kumpenda madam tu
DahPCM lazima usome usiku mzima kwasababu kuna vitu vingi ambavyo haviendani na muda ambao mmepewa (muda mdogo kuliko mavitu yaliyopo)
Kwamfano kwenye physics nadhani ile miaka miwili watu walitakiwa waishie kwenye mechanics pekee
Thibitisha Mungu yupo kwa mantiki na sayansi.Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎.
Namshukuru Mungu alinipa siri yake
Nikawa nafaulu
Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics
Kila kitu kinawezekana
Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe .
Watu waliopewa uwezo na Mungu
Kuyavumbua na kuelezea vitu mbalimbali. Akili tunazo , Uwezo mkubwa tunao
Kujifunza uumbaji wa Mungu. Bado na mengi hatuyajui. Mungu ni zaidi ya Physics na Math
Je tungesema Angetoa kitabu kinachoelezea Kila kitu kinachohusu
Uumbaji wake .(Science) Yote
Isingekuwa na mwisho
Na bado tena yaliyoelezewa na binadamu tena mwenzio
Unasema ni Magumu
Wanafunzi wanafeli , Wanasema ni ngumu , wanakata tamaa
Unakuta mtu ukimwambia kuhus Physics au Math anasema sitaki hata kuyasikia
Mwingine ukimwonyesha kitabu tu
View attachment 3376491
Anasema kichwa kina burst 💥
Hataki hata kuyaona
Ni kwa nini ?
Asilimia ya Watu wengi wanaona
Physics na Math ni ngumu
Shida ni nini?
Wachache haiwasumbui
Kwa wanaojua watuambie wanaonaje Physics ni rahisi?
Na mnaosema ni Ngumu
Ni kwa nini iwe Ngumu?
huku Tz sijui liniMifumo ya elimu kwao ipo vizuri
Hapo chachaThobitisha Mungu yupo kwa mantiki na sayansi.
Physics huwa inaishia kwenye hesabu na watu wa pcb wengi hawapendi hesabu, ingawa kuna binti mmoja alikua anainyoosha physics licha ya kwamba alikua pcb hadi nilikua namkwepa😂😂😂.Yani ukishajua hesabu na jinsi ya kuichakata kikanuni , kwenye fizikia akili inakua haraka sana katika namna ya kufumbua mambo ya kiasili na kuyapima katika nadharia ya kifizikia, ndio maana watu wanasoma pcb na pcm , wengi wa pcm wanaimudi kwa ustadi mkubwa fizikia kuliko wale wa pcb.
Physics ni kisanga mkuu, na sio kisanga eti kwasababu ngumu sana ila ni kwamba iko na vitu vingi halafu muda hautoshi.Dah
Yani kati ya mtihani ambao silali ni wa Physics
Binafsi pia nilichaguliwa pcm ila nikajitia kiherehere cha kwenda pcb , Biology ikanishangaza nikaona nitemane na MD tu 😅Physics huwa inaishia kwenye hesabu na watu wa pcb wengi hawapendi hesabu, ingawa kuna binti mmoja alikua anainyoosha physics licha ya kwamba alikua pcb hadi nilikua namkwepa😂😂😂.
Ilikua kila tukikutana pale mwenge lazima anitupie swali ambalo amelisove jana yake limemshinda.
Mimi hayo masomo ya notes nyingi sikuwahi kuyaelewa kabisa, hasa hilo somo la kuitwa biology mavitu kibao, ukichwnganya na michand ya physics lazima uchangamke kidogo😂😂😂Binafsi pia nilichaguliwa pcm ila nikajitia kiherehere cha kwenda pcb , Biology ikanishangaza nikaona nitemane na MD tu 😅
Physics ni kisanga mkuu, na sio kisanga eti kwasababu ngumu sana ila ni kwamba iko na vitu vingi halafu muda hautoshi.
Mimi hayo masomo ya notes nyingi sikuwahi kuyaelewa kabisa, hasa hilo somo la kuitwa biology mavitu kibao, ukichwnganya na michand ya physics lazima uchangamke kidogo😂😂😂