Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
- Thread starter
- #61
Nikola Tesla huyo jamaa ni NomaKwenye kufaulu unaweza ukakomaa ukayafaulu hata kama uwezo wako ni wa kawaida. Cha muhimu zaidi ni application yake, hapo ndo unachuja chujio la mwisho la wale magenius. Kinacholeta tabu ni application tu, lazima uwe na uwezo wa juu na mazingira wezeshi kuweza hili. Nadhani wenzetu wametushinda hapo.
Imagine tu ni imagination au visualization ya namna walizokuwa nazo wenzetu kwenye haya mambo. Leo tungechelewa au tusingekuwa hapa kama Tesla asingefanya imagination zake kichwani.
Hayo mambo yanahitaji real application na kichwa kizuri.
Kati ya wanasayansi Wenye ubunifu ni huyo