Fizikia na Hesabu ni rahisi, kwanini watu wanaona ni ngumu?
A detective is interested in finding the depth of a well where he believes a criminal has
hidden a gun. The detective drops a stone into the well, and measures the time before a
splash is heard. The total time t consists of the time it takes for the stone to hit the water
t1 and the time it takes for the sound to travel from the surface of the water to the
detectives’ ear t2. If g is acceleration due to gravity, d the depth of the well and c the
speed of sound in air,
find a sensible solution for the depth of the well given that
the detective counts 2.5 seconds before hearing the splash
Take g as 9.81 m/ s2 and c as the speed of sound in air at atmospheric pressure and 20°C is the temperature of the water
 
Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎.
Namshukuru Mungu alinipa siri yake
Nikawa nafaulu
Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics
Kila kitu kinawezekana

Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe .
Watu waliopewa uwezo na Mungu
Kuyavumbua na kuelezea vitu mbalimbali. Akili tunazo , Uwezo mkubwa tunao
Kujifunza uumbaji wa Mungu. Bado na mengi hatuyajui. Mungu ni zaidi ya Physics na Math
Je tungesema Angetoa kitabu kinachoelezea Kila kitu kinachohusu
Uumbaji wake .(Science) Yote
Isingekuwa na mwisho
Na bado tena yaliyoelezewa na binadamu tena mwenzio
Unasema ni Magumu

Wanafunzi wanafeli , Wanasema ni ngumu , wanakata tamaa
Unakuta mtu ukimwambia kuhus Physics au Math anasema sitaki hata kuyasikia
Mwingine ukimwonyesha kitabu tu
View attachment 3376491

Anasema kichwa kina burst 💥
Hataki hata kuyaona

Ni kwa nini ?

Asilimia ya Watu wengi wanaona
Physics na Math ni ngumu
Shida ni nini?
Wachache haiwasumbui

Kwa wanaojua watuambie wanaonaje Physics ni rahisi?
Na mnaosema ni Ngumu

Ni kwa nini iwe Ngumu?
Ukishaanza kudai Physics ni rahisi, basi hakuna unachoelewa kwenye physics bali unakariri.
Ilichukuwa almost 20 Years kutokea mtu wa kwanza aliyekuja kuelewa completely equations za Maxwell achilia mbali hizo, unazifahamu Navier-Stokes equations?
Haya, The general Unified Field Theory ambayo haijasolviwa mpaka sasa na almost ni miaka 100 imepita tangu iwe proposed, unalifahamu hilo?
Kwenye Math, ushawahi kusikia Kepler Conjecture? Ilichukuwa miaka zaid ya mia nne kuja kuwa solved. Kama upo kwenye field ya Engineering bila shaka unamfahamu David Hilbert na utakuwa unafahamu juu ya Hilbert's Problems Guess how many have been solved? Unaifahamu Riemann Hypothesisi? Has it been solved?
Nashangaa ni physics na Math ipi unayoizungumzia na kuiita rahisi, eti nilikuwa napata 97% yani wewe hizo logarithms na classical mechanics zako za form 2 ama 6 ndo zikufanye ujimalize hapa physics rahisi??
 
I don’t care

Huwezi kucare kwasababu hakuna kitu unafahamu Young man.
Nikupe tu a little story, in Engineering watu wanaface lots of problems ambazo simply no matter how strong our Math skills we can't solve them analytically badala yake we let Numerical computations and Computer to help us estimate the solution halafu wewe unaleta ngonjera saivi, Maaan!
 
Ujumbe huu unaoonekana kwenye JamiiForums unajibu hoja ya mtu aliyedai kuwa Physics ni rahisi, jambo ambalo mtoa maoni (Marco Seth) analikataa kwa nguvu na anatoa mifano ya kisayansi na kihistoria kuthibitisha ugumu wa somo hilo. Hebu tuchambue kwa upana hoja zake:

1. Uelewa wa Equation za Maxwell & Navier-Stokes
Anasema:
“Illichukua almost 20 years kutoka mtu wa kwanza kuelewa equations za Maxwell... achilia mbali Navier-Stokes...”

  • Maxwell’s equations ni kanuni nne zinazoeleza jinsi umeme na sumaku vinavyofanya kazi pamoja. Zilichukua muda mrefu kueleweka kwa kina na zina umuhimu mkubwa kwenye teknolojia ya kisasa (mawasiliano, redio, nk.).
  • Navier-Stokes equations zinahusu mienendo ya vimiminika (fluids). Mpaka sasa, suluhisho la jumla la equation hizi bado ni tatizo lisilotatuliwa kabisa katika hisabati — ni sehemu ya Millennium Prize Problems (malipo ya $1,000,000 kwa anayesuluhisha).

2. General Unified Field Theory
“Ambayo haijasulikiwa kwa almost miaka 100…”

- Hii ni ndoto ya wanasayansi kama Einstein, waliotaka kuunganisha nguvu zote za asili (umeme, sumaku, uvutano n.k.) kuwa nadharia moja — haijafanikiwa hadi leo.

3. Kepler Conjecture & Hilbert's Problems
Kepler Conjecture: Ilizungumzia upakiaji bora wa mipira kwenye nafasi. Ilichukua zaidi ya miaka 400 kuthibitishwa kikamilifu hadi ilipothibitishwa na Thomas Hales mwaka 1998.
- Hilbert's Problems: Zilikuwa changamoto 23 zilizotolewa mwaka 1900; hadi sasa, baadhi bado hazijatatuliwa, ikiwa ni pamoja na Riemann Hypothesis — mojawapo ya maswali makuu ya karne hii.

4. Riemann Hypothesis
“Has it been solved?”

- Jibu ni hapana. Hili ni tatizo kubwa la nadharia ya namba (number theory) ambalo linahusiana na usambazaji wa namba za kwanza (prime numbers). Halijatatuliwa tangu 1859.

5. Kebehi kwa Wanaosema Physics ni Rahisi
Anahoji:
“Unaizungumzia physics ipi... logaritms na classical mechanics form 2 mpaka 6?”

- Hapa anaonyesha dharau kwa watu wanaosema physics ni rahisi kwa sababu walifaulu mitihani ya shule ya sekondari. Anasisitiza kuwa physics ya kitaaluma (advanced) si rahisi hata kidogo.

Hitimisho
Mtoa maoni anasisitiza kuwa:
  • Mafanikio ya darasani hayalingani na uelewa wa kina wa taaluma.
  • Physics na Math ni ngumu, zinahitaji miaka mingi ya tafakari, utafiti, na uelewa wa kina — si suala la kufaulu kwa alama nzuri tu.
  • Anapinga dhana yoyote ya “urahisi” wa masomo haya kwa kutumia hoja nzito na mifano ya kihistoria na kisayansi.

MTOA MADA NI MTU WA KUKARIRI HANA UELEWA WOWOTE ULE
 
Mimi hayo masomo ya notes nyingi sikuwahi kuyaelewa kabisa, hasa hilo somo la kuitwa biology mavitu kibao, ukichwnganya na michand ya physics lazima uchangamke kidogo😂😂😂
Heri yenu mmepiga shule wakati Vitabu vya Muhindi S.CHAND vilivyorahisishwa viko sokoni nakumbuka enzi hizi kuna UP, ROGER MUNCASTER chepesi kidogo ilikuwa NELKON hivi vyote vya mzungu
 
Japo Phys nimesoma level zote, itoshe kusema, ilinitoa jasho na kuniburuza vilivyo, lakini nilipambana kadri ya uwezo wangu, nashukuru haikuniangusha kihivyo.

Maths hii nilikua naiweza japo ikataka kuniletea ka mgomo level fulani, nikasema wee usinitanie, ikatulia,

Chem hii haikua shida kwangu, japo ilikua na vikash kash vya hapa na pale, ila sio kivilee.

Ahsantee haya masomo kwa kuniheshimisha na kuniweka ktk daraja fulani, kila nikitazama vyeti vyangu, Moyo unasuuzika na kukunjuka kwa bashasha muruaa mnoo.

Ahsante kwa wote walioshiriki ktk safari ya Elimu yangu, hakika wabarikiwe sana, sina cha kuwalipa, kushukuru kwangu kuwe chanya ya wao kuendelea kusaidia na wengine.

Leo najivunia hiki nilichokua nacho, 🙏🙏🙏
 
Unakumbuka Kirai na Kishazi?

Tungo kirai ni kipashio cha kimuundo chenye neno moja au zaidi lakini kisicho na muundo wa kiima - kiarifu
Ila kiswahili (somo) ni gumu, haya kwenye uchambuzi wa vitabu, jamani full heka heka.

😂😂😂😂😂
 
Ujumbe huu unaoonekana kwenye JamiiForums unajibu hoja ya mtu aliyedai kuwa Physics ni rahisi, jambo ambalo mtoa maoni (Marco Seth) analikataa kwa nguvu na anatoa mifano ya kisayansi na kihistoria kuthibitisha ugumu wa somo hilo. Hebu tuchambue kwa upana hoja zake:

1. Uelewa wa Equation za Maxwell & Navier-Stokes
Anasema:

  • Maxwell’s equations ni kanuni nne zinazoeleza jinsi umeme na sumaku vinavyofanya kazi pamoja. Zilichukua muda mrefu kueleweka kwa kina na zina umuhimu mkubwa kwenye teknolojia ya kisasa (mawasiliano, redio, nk.).
  • Navier-Stokes equations zinahusu mienendo ya vimiminika (fluids). Mpaka sasa, suluhisho la jumla la equation hizi bado ni tatizo lisilotatuliwa kabisa katika hisabati — ni sehemu ya Millennium Prize Problems (malipo ya $1,000,000 kwa anayesuluhisha).

2. General Unified Field Theory

- Hii ni ndoto ya wanasayansi kama Einstein, waliotaka kuunganisha nguvu zote za asili (umeme, sumaku, uvutano n.k.) kuwa nadharia moja — haijafanikiwa hadi leo.

3. Kepler Conjecture & Hilbert's Problems
Kepler Conjecture: Ilizungumzia upakiaji bora wa mipira kwenye nafasi. Ilichukua zaidi ya miaka 400 kuthibitishwa kikamilifu hadi ilipothibitishwa na Thomas Hales mwaka 1998.
- Hilbert's Problems: Zilikuwa changamoto 23 zilizotolewa mwaka 1900; hadi sasa, baadhi bado hazijatatuliwa, ikiwa ni pamoja na Riemann Hypothesis — mojawapo ya maswali makuu ya karne hii.

4. Riemann Hypothesis

- Jibu ni hapana. Hili ni tatizo kubwa la nadharia ya namba (number theory) ambalo linahusiana na usambazaji wa namba za kwanza (prime numbers). Halijatatuliwa tangu 1859.

5. Kebehi kwa Wanaosema Physics ni Rahisi
Anahoji:

- Hapa anaonyesha dharau kwa watu wanaosema physics ni rahisi kwa sababu walifaulu mitihani ya shule ya sekondari. Anasisitiza kuwa physics ya kitaaluma (advanced) si rahisi hata kidogo.

Hitimisho
Mtoa maoni anasisitiza kuwa:
  • Mafanikio ya darasani hayalingani na uelewa wa kina wa taaluma.
  • Physics na Math ni ngumu, zinahitaji miaka mingi ya tafakari, utafiti, na uelewa wa kina — si suala la kufaulu kwa alama nzuri tu.
  • Anapinga dhana yoyote ya “urahisi” wa masomo haya kwa kutumia hoja nzito na mifano ya kihistoria na kisayansi.

MTOA MADA NI MTU WA KUKARIRI HANA UELEWA WOWOTE ULE
Ety kuthibitisha ugumu wa somo hilo
 
Sawa Ni mtazamo wako
Na mm na mtazamo Wangu
Wanaosema ni ngumu aya
ni mtazamo wao
 
Sawa Ni mtazamo wako
Na mm na mtazamo Wangu
Wanaosema ni ngumu aya
ni mtazamo wao
Ukiacha kupata 97 shuleni ushafanya kitu gani Cha maana kupitia hyo fizikia kutatua changamoto yeyote au kuongeza thamani au ujuzi wowote katika jamii Yako?
 
Ukiangalia tu jinsi anavyojibu hoja zako utagundua una-argue na mtu wa aina gani.
Unaweza kupoteza nguvu kumbe unabishana na mtoto wa form-4.
Umemuelewesha na bado amepinga bila kuja na hoja za msingi. Ni Ego na utoto ndo unamsumbua
 
Kabsa
 
Heri yenu mmepiga shule wakati Vitabu vya Muhindi S.CHAND vilivyorahisishwa viko sokoni nakumbuka enzi hizi kuna UP, ROGER MUNCASTER chepesi kidogo ilikuwa NELKON hivi vyote vya mzungu
Roger ninayo hadi leo kwenye kalibrary langu thou si kitabu ambacho nilikisolve sana.
 
Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎.
Namshukuru Mungu alinipa siri yake
Nikawa nafaulu
Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics
Kila kitu kinawezekana

Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe .
Watu waliopewa uwezo na Mungu
Kuyavumbua na kuelezea vitu mbalimbali. Akili tunazo , Uwezo mkubwa tunao
Kujifunza uumbaji wa Mungu. Bado na mengi hatuyajui. Mungu ni zaidi ya Physics na Math
Je tungesema Angetoa kitabu kinachoelezea Kila kitu kinachohusu
Uumbaji wake .(Science) Yote
Isingekuwa na mwisho
Na bado tena yaliyoelezewa na binadamu tena mwenzio
Unasema ni Magumu

Wanafunzi wanafeli , Wanasema ni ngumu , wanakata tamaa
Unakuta mtu ukimwambia kuhus Physics au Math anasema sitaki hata kuyasikia
Mwingine ukimwonyesha kitabu tu
View attachment 3376491

Anasema kichwa kina burst 💥
Hataki hata kuyaona

Ni kwa nini ?

Asilimia ya Watu wengi wanaona
Physics na Math ni ngumu
Shida ni nini?
Wachache haiwasumbui

Kwa wanaojua watuambie wanaonaje Physics ni rahisi?
Na mnaosema ni Ngumu

Ni kwa nini iwe Ngumu?
We inaonekana hayo masomo yamekupiga kwenye mshono, tupe ushahidi, tupia picha ya mitihani yako humu
 
Haya masomo hayahitaji watu wanaochukulia vitu poa poa kwa lugha nyingine Kila unachokisoma Leo utakitimia mbeleni
 
Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎.
Namshukuru Mungu alinipa siri yake
Nikawa nafaulu
Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics
Kila kitu kinawezekana

Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe .
Watu waliopewa uwezo na Mungu
Kuyavumbua na kuelezea vitu mbalimbali. Akili tunazo , Uwezo mkubwa tunao
Kujifunza uumbaji wa Mungu. Bado na mengi hatuyajui. Mungu ni zaidi ya Physics na Math
Je tungesema Angetoa kitabu kinachoelezea Kila kitu kinachohusu
Uumbaji wake .(Science) Yote
Isingekuwa na mwisho
Na bado tena yaliyoelezewa na binadamu tena mwenzio
Unasema ni Magumu

Wanafunzi wanafeli , Wanasema ni ngumu , wanakata tamaa
Unakuta mtu ukimwambia kuhus Physics au Math anasema sitaki hata kuyasikia
Mwingine ukimwonyesha kitabu tu
View attachment 3376491

Anasema kichwa kina burst 💥
Hataki hata kuyaona

Ni kwa nini ?

Asilimia ya Watu wengi wanaona
Physics na Math ni ngumu
Shida ni nini?
Wachache haiwasumbui

Kwa wanaojua watuambie wanaonaje Physics ni rahisi?
Na mnaosema ni Ngumu

Ni kwa nini iwe Ngumu?
Ni rahisi kuyafaulu kwe

Ni kwa nini

Ni rahisi kuyafaulu kwenye karatasi. Ugumu upo kwenye kuapply hizo theories, laws na principles kuweza kubuni au kuunda kitu ambacho kitakua applicable kwenye real life.
 
Back
Top Bottom