Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
- Thread starter
-
- #21
Kuna watu hata Kiswahili (somo) ni gumu kwao
Kabisa na kiswahili ni kigumu kweli , kwa nimejikita kusoma riwaya za kiswahili kuna maneno ni hatari sana
Ni jambo nzuri mno mimi kwa sasa ni mpenzi wa riwaya tu naona kama zinanipa motivation mpya kabisa za maisha , ila kusema ukweli hesabu za pesa na jinsi ya kwenda na bajeti sio mchezo na mtu akiweza kumudi hizi maisha yanakua rahisi sana kwake🤔Napenda kusoma vitabu. Napenda kuandika vitabu.
Math ni nyepesi sana nyepesi sana. ila Physics ni 🤬🤬
Kabisa kwa sasa na vutiwa na kujifunza kiswahili upya 🤔Na kiswahili ukikosea neno
Unakuta mengn yanakua tusi Tayar tofauti na English
Lugha yetu ya TaifaKabisa kwa sasa na vutiwa na kujifunza kiswahili upya 🤔
Inakuaje uweze mahesabu na fizikia ushindwe🤔Math ni nyepesi sana nyepesi sana. ila Physics ni 🤬🤬🤬
Na hatuijui vizuri karibu 80% 🤔Lugha yetu ya Taifa
HahaInakuaje uweze mahesabu na fizikia ushindwe🤔
Alf nashangaa Wakenya wanatengeneza Kamusi ya KiswahiliNa hatuijui vizuri karibu 80% 🤔
Inakua kama nilivyoweza Wakati naisoma na Addition math, nilipoisoma na Bios na Chemia ndio nikaona ni 🤬🤬Inakuaje uweze mahesabu na fizikia ushindwe🤔
PoleInakua kama nilivyoweza Wakati naisoma na Addition math, nilipoisoma na Bios na Chemia ndio nikaona ni 🤬🤬
🤣🤣🤣 Uelewa wa ndani upi wewe kwa Elimu zetuPhysics inahitaji uelewa wa ndani sana
🤣🤣🤣 SitakiPole
Unakumbuka Kirai na Kishazi?Kabisa na kiswahili ni kigumu kweli , kwa nimejikita kusoma riwaya za kiswahili kuna maneno ni hatari sana
Yani ukishajua hesabu na jinsi ya kuichakata kikanuni , kwenye fizikia akili inakua haraka sana katika namna ya kufumbua mambo ya kiasili na kuyapima katika nadharia ya kifizikia, ndio maana watu wanasoma pcb na pcm , wengi wa pcm wanaimudi kwa ustadi mkubwa fizikia kuliko wale wa pcb.Haha
Hesabu unakuta mtu anajua formula
Ila kwenye physics unakuta mtu akishasoma Formula anajua ndio hivyo
Kumbe Kuna sheria labda hiyo formula itabadilika kama kuna vitu fulani
Na mtu akiingia kwenye swal anakuta swal linamtego yani mtego ndani ya mtego ndani ya mtego
😁😁😁 hapa nilikua nachangnyikiwa kabisa nilikua naishia kumpenda madam tuUnakumbuka Korai na Koshazi?
Tungo kirai ni kipashio cha kimuundo chenye neno moja au zaidi lakini kisicho na muundo wa kiima - kiarifu
Yeah watu wengi wa pcb wakishaanza kukomaa na ma chandi na Zile Bs fizikia inapewa mda mdogo sanaInakua kama nilivyoweza Wakati naisoma na Addition math, nilipoisoma na Bios na Chemia ndio nikaona ni 🤬🤬
FactsNi jambo nzuri mno mimi kwa sasa ni mpenzi wa riwaya tu naona kama zinanipa motivation mpya kabisa za maisha , ila kusema ukweli hesabu za pesa na jinsi ya kwenda na bajeti sio mchezo na mtu akiweza kumudi hizi maisha yanakua rahisi sana kwake🤔