Yeah watu wengi wa pcb wakishaanza kukomaa na ma chandi na Zile Bs fizikia inapewa mda mdogo sana

Mkate wa BS sio mchezo asikwambie mtu, unahitaji utulivu wa hali ya juu na kichwa kinachoshika...

Physics na Adv. Maths zinahitaji uwezo wa kutafakari, kuzitambua na jinsi ya kuzitumia kanuni...
 
Hayo masomo yangekuwa marahisi watu wa PCM wasingekuwa wanasoma karibu usiku mzima huku watu wa Arts wakisoma kidogo tu na kutandika division one. Hayo masomo sio mchezo ndo maana watu wake wapo wachache.
PCM lazima usome usiku mzima kwasababu kuna vitu vingi ambavyo haviendani na muda ambao mmepewa (muda mdogo kuliko mavitu yaliyopo)

Kwamfano kwenye physics nadhani ile miaka miwili watu walitakiwa waishie kwenye mechanics pekee
 
Mkate wa BS sio mchezo asikwambie mtu, unahitaji utulivu wa hali ya juu na kichwa kinachoshika...

Physics na Adv. Maths zinahitaji uwezo wa kutafakari, kuzitambua na jinsi ya kuzitumia kanuni...
Mimi kitu kilinisaidia olevel kwenye fizikia nilianza kupambana na Abbott mapema sana , hivyo nikajenga uwezo wa kuyamudi yale mabiblia mengine😅
 
Kabisa
 
PCM lazima usome usiku mzima kwasababu kuna vitu vingi ambavyo haviendani na muda ambao mmepewa (muda mdogo kuliko mavitu yaliyopo)

Kwamfano kwenye physics nadhani ile miaka miwili watu walitakiwa waishie kwenye mechanics pekee
Dah
Yani kati ya mtihani ambao silali ni wa Physics
 
Thibitisha Mungu yupo kwa mantiki na sayansi.
 
Physics huwa inaishia kwenye hesabu na watu wa pcb wengi hawapendi hesabu, ingawa kuna binti mmoja alikua anainyoosha physics licha ya kwamba alikua pcb hadi nilikua namkwepa😂😂😂.

Ilikua kila tukikutana pale mwenge lazima anitupie swali ambalo amelisove jana yake limemshinda.
 
Binafsi pia nilichaguliwa pcm ila nikajitia kiherehere cha kwenda pcb , Biology ikanishangaza nikaona nitemane na MD tu 😅
 
Binafsi pia nilichaguliwa pcm ila nikajitia kiherehere cha kwenda pcb , Biology ikanishangaza nikaona nitemane na MD tu 😅
Mimi hayo masomo ya notes nyingi sikuwahi kuyaelewa kabisa, hasa hilo somo la kuitwa biology mavitu kibao, ukichwnganya na michand ya physics lazima uchangamke kidogo😂😂😂
 
Wengi wao logic gate ndani ya mbongo zao imezima. Phys na Number ni full concepts, logic, and a high level of decoding mathematical problems->uelewa wa kwa nini iko hivi au vile.
Bila hivyo hata kuprove au kusimplify trig expressions/equation ubongo unazima data.
 
Kwenye kufaulu unaweza ukakomaa ukayafaulu hata kama uwezo wako ni wa kawaida. Cha muhimu zaidi ni application yake, hapo ndo unachuja chujio la mwisho la wale magenius. Kinacholeta tabu ni application tu, lazima uwe na uwezo wa juu na mazingira wezeshi kuweza hili. Nadhani wenzetu wametushinda hapo.

Imagine tu ni imagination au visualization ya namna walizokuwa nazo wenzetu kwenye haya mambo. Leo tungechelewa au tusingekuwa hapa kama Tesla asingefanya imagination zake kichwani.

Hayo mambo yanahitaji real application na kichwa kizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…