Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
- Thread starter
-
- #61
Nikola Tesla huyo jamaa ni NomaKwenye kufaulu unaweza ukakomaa ukayafaulu hata kama uwezo wako ni wa kawaida. Cha muhimu zaidi ni application yake, hapo ndo unachuja chujio la mwisho la wale magenius. Kinacholeta tabu ni application tu, lazima uwe na uwezo wa juu na mazingira wezeshi kuweza hili. Nadhani wenzetu wametushinda hapo.
Imagine tu ni imagination au visualization ya namna walizokuwa nazo wenzetu kwenye haya mambo. Leo tungechelewa au tusingekuwa hapa kama Tesla asingefanya imagination zake kichwani.
Hayo mambo yanahitaji real application na kichwa kizuri.
Yeah na ukizubaa kidogo tu lazima uachwe na hapo ndio unajikuta unaanza kuchagua vyakusoma, na ukishaona umefikia hatua hiyo jua tayari jahazi limezama😂😂😂Network inahama🤣
Yeah na ukizubaa kidogo tu lazima uachwe na hapo ndio unajikuta unaanza kuchagua vyakusoma, na ukishaona umefikia hatua hiyo jua tayari jahazi limezama😂😂😂
Unaanza kuubetia mtihani.
Masomo ya sayansi ukiwa unayaweza hasa yanayohusisha hesabu na kufikiria Kwa kina huwa kuna raha yake wakati wa kusov unajikuta unaflow kwenye karatas mpka pen inaisha huku muda unaenda tu ndomana mnaonaga vipanga wa sayansi kama vile wanakesha class Kwa kupenda la hasha ni kama kaulevi flani unakuwa unaflow mpka raha na ukikaa mda bila kusov unakosa rahaHayo masomo yangekuwa marahisi watu wa PCM wasingekuwa wanasoma karibu usiku mzima huku watu wa Arts wakisoma kidogo tu na kutandika division one. Hayo masomo sio mchezo ndo maana watu wake wapo wachache.
Masomo ya sayansi ukiwa unayaweza hasa yanayohusisha hesabu na kufikiria Kwa kina huwa kuna raha yake wakati wa kusov unajikuta unaflow kwenye karatas mpka pen inaisha huku muda unaenda tu ndomana mnaonaga vipanga wa sayansi kama vile wanakesha class Kwa kupenda la hasha ni kama kaulevi flani unakuwa unaflow mpka raha na ukikaa mda bila kusov unakosa raha
Mzee Likud kwanini unapenda kufanya maisha yako kuwa magumu bila sababu?Nimeanza kusoma upya Hesabu, Physics, Chemistry na biology, miaka Kumi baada ya kumaliza chuo.
( Niligraduate mwaka 2011)
Chuo nilisoma kozi ambayo haihusiani na hayo masomo.
Form one na form two nilikuwa napenda Sana Physics, Chemistry na Biology plus Geography na nilikuwa nayafaulu vizuri Sana.
Hesabu nilikuwa najilazimisha kuielewa though nilikuwa sifaulu vizuri kwa sababu hatukuwa na mwalimu mzuri wa Hesabu.
Form 3 nikachukua mchepuo wa sayansi.
Paper la form 4 nilifaulu zaidi masomo ya Arts so Advance nikaenda HKL ( can u imagine/ comby ya mademu)
To cut story short. Miaka Kumi baada ya kumaliza chuo kuna research nilitaka kuifanya( Bado naifanya)
Research hiyo inanitaka kuwa na uelewa mpana sana wa ( Each and every kind of Art and Science)
Ndio maana nimerudi kusoma Hesabu, chemistry, Biology, Geography and Physics plus Quantum Physics.
I thank God ninakwenda vizuri sana. Na ninayaelewa vizuri sana .
Na ninakuwa motivated kusoma zaidi kwa sababu kila nikisoma ninapata vitu vingi zaidi vinavyo proof research yangu na vinavyo elezea research yangu kwa lugha ya kitaalamu.
Isack Newton baada ya kudodondokewa na apple, alikosa lugha ya kitaalamu ya kulielezea hilo tukio, so ilimlazimu kufanya research zaidi kwenye Mathematics kwa miaka Kumi, that's why ten years later aliweza kupublish kitabu chake na ndani ya kitabu hicho ali lielezea tukio la Apple kwa lugha ya kitaalamu iliyo eleweka na alikuja pia na Hesabu za Calculus.
Hesabu ni nzuri sana.
N. B : Sisomi vitabu vya Hesabu na science pekee. Nasoma hadi vitabu vya arts like : Psychology, Vitabu vya masuala Security and Intelligence etc.
Mkuu unaongea kujifurahisha hapa.Masomo ya sayansi ukiwa unayaweza hasa yanayohusisha hesabu na kufikiria Kwa kina huwa kuna raha yake wakati wa kusov unajikuta unaflow kwenye karatas mpka pen inaisha huku muda unaenda tu ndomana mnaonaga vipanga wa sayansi kama vile wanakesha class Kwa kupenda la hasha ni kama kaulevi flani unakuwa unaflow mpka raha na ukikaa mda bila kusov unakosa raha
Ndo ugumu wenyewe sasa.PCM lazima usome usiku mzima kwasababu kuna vitu vingi ambavyo haviendani na muda ambao mmepewa (muda mdogo kuliko mavitu yaliyopo)
Kwamfano kwenye physics nadhani ile miaka miwili watu walitakiwa waishie kwenye mechanics pekee
Nope nasoma kawaida sana. Nasoma kwa furaha kama Shaaban Roberts only 10 to 20 pages per day.Mzee Likud kwanini unapenda kufanya maisha yako kuwa magumu bila sababu?
🤣🤣🤣🤣Masomo ya sayansi ukiwa unayaweza hasa yanayohusisha hesabu na kufikiria Kwa kina huwa kuna raha yake wakati wa kusov unajikuta unaflow kwenye karatas mpka pen inaisha huku muda unaenda tu ndomana mnaonaga vipanga wa sayansi kama vile wanakesha class Kwa kupenda la hasha ni kama kaulevi flani unakuwa unaflow mpka raha na ukikaa mda bila kusov unakosa raha
Watu tunatofautiana elewa hilo kama wewe ni mkali wa history kuna mwingine hatak hata kuiskiaMkuu unaongea kujifurahisha hapa.
Mkuu GB zimejaza Simba na YangaHakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎.
Namshukuru Mungu alinipa siri yake
Nikawa nafaulu
Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics
Kila kitu kinawezekana
Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe .
Watu waliopewa uwezo na Mungu
Kuyavumbua na kuelezea vitu mbalimbali. Akili tunazo , Uwezo mkubwa tunao
Kujifunza uumbaji wa Mungu. Bado na mengi hatuyajui. Mungu ni zaidi ya Physics na Math
Je tungesema Angetoa kitabu kinachoelezea Kila kitu kinachohusu
Uumbaji wake .(Science) Yote
Isingekuwa na mwisho
Na bado tena yaliyoelezewa na binadamu tena mwenzio
Unasema ni Magumu
Wanafunzi wanafeli , Wanasema ni ngumu , wanakata tamaa
Unakuta mtu ukimwambia kuhus Physics au Math anasema sitaki hata kuyasikia
Mwingine ukimwonyesha kitabu tu
View attachment 3376491
Anasema kichwa kina burst 💥
Hataki hata kuyaona
Ni kwa nini ?
Asilimia ya Watu wengi wanaona
Physics na Math ni ngumu
Shida ni nini?
Wachache haiwasumbui
Kwa wanaojua watuambie wanaonaje Physics ni rahisi?
Na mnaosema ni Ngumu
Ni kwa nini iwe Ngumu?
Kuna raha gani kusoma Nelkon, Chand au Roger Muncaster?Nope nasoma kawaida sana. Nasoma kwa furaha kama Shaaban Roberts only 10 to 20 pages per day.
I love reading a lot
Umegonga pale pale kwetu watu wa kitaa!Hakuna hesabu kali kama kuzichanga pesa kitaa bwashee , hizo za 1+1 hazina ishu ni kuchosha ubongo tu
Kujipa stress tu😆Kuna raha gani kusoma Nelkon, Chand au Roger Muncaster?
Kuna raha gani kusoma Nelkon, Chand au Roger Muncaster?
Mm hapa sitak kuiskiaWatu tunatofautiana elewa hilo kama wewe ni mkali wa history kuna mwingine hatak hata kuiskia