Ukishaanza kudai Physics ni rahisi, basi hakuna unachoelewa kwenye physics bali unakariri.Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎.
Namshukuru Mungu alinipa siri yake
Nikawa nafaulu
Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics
Kila kitu kinawezekana
Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe .
Watu waliopewa uwezo na Mungu
Kuyavumbua na kuelezea vitu mbalimbali. Akili tunazo , Uwezo mkubwa tunao
Kujifunza uumbaji wa Mungu. Bado na mengi hatuyajui. Mungu ni zaidi ya Physics na Math
Je tungesema Angetoa kitabu kinachoelezea Kila kitu kinachohusu
Uumbaji wake .(Science) Yote
Isingekuwa na mwisho
Na bado tena yaliyoelezewa na binadamu tena mwenzio
Unasema ni Magumu
Wanafunzi wanafeli , Wanasema ni ngumu , wanakata tamaa
Unakuta mtu ukimwambia kuhus Physics au Math anasema sitaki hata kuyasikia
Mwingine ukimwonyesha kitabu tu
View attachment 3376491
Anasema kichwa kina burst 💥
Hataki hata kuyaona
Ni kwa nini ?
Asilimia ya Watu wengi wanaona
Physics na Math ni ngumu
Shida ni nini?
Wachache haiwasumbui
Kwa wanaojua watuambie wanaonaje Physics ni rahisi?
Na mnaosema ni Ngumu
Ni kwa nini iwe Ngumu?
Ukishaanza kudai Physics ni rahisi, basi hakuna unachoelewa kwenye physics bali unakariri.
Ilichukuwa almost 20 Years kutokea mtu wa kwanza aliyekuja kuelewa completely equations za Maxwell achilia mbali hizo, unazifahamu Navier-Stokes equations?
Haya, The general Unified Field Theory ambayo haijasolviwa mpaka sasa na almost ni miaka 100 imepita tangu iwe proposed, unalifahamu hilo?
Kwenye Math, ushawahi kusikia Kepler Conjecture? Ilichukuwa miaka zaid ya mia nne kuja kuwa solved. Kama upo kwenye field ya Engineering bila shaka unamfahamu David Hilbert na utakuwa unafahamu juu ya Hilbert's Problems Guess how many have been solved? Unaifahamu Riemann Hypothesisi? Has it been solved?
Nashangaa ni physics na Math ipi unayoizungumzia na kuiita rahisi, eti nilikuwa napata 97% yani wewe hizo logarithms na classical mechanics zako za form 2 ama 6 ndo zikufanye ujimalize hapa physics rahisi??
Huwezi kucare kwasababu hakuna kitu unafahamu Young man.I don’t care
“Illichukua almost 20 years kutoka mtu wa kwanza kuelewa equations za Maxwell... achilia mbali Navier-Stokes...”
“Ambayo haijasulikiwa kwa almost miaka 100…”
“Has it been solved?”
“Unaizungumzia physics ipi... logaritms na classical mechanics form 2 mpaka 6?”
Heri yenu mmepiga shule wakati Vitabu vya Muhindi S.CHAND vilivyorahisishwa viko sokoni nakumbuka enzi hizi kuna UP, ROGER MUNCASTER chepesi kidogo ilikuwa NELKON hivi vyote vya mzunguMimi hayo masomo ya notes nyingi sikuwahi kuyaelewa kabisa, hasa hilo somo la kuitwa biology mavitu kibao, ukichwnganya na michand ya physics lazima uchangamke kidogo😂😂😂
Ila kiswahili (somo) ni gumu, haya kwenye uchambuzi wa vitabu, jamani full heka heka.Unakumbuka Kirai na Kishazi?
Tungo kirai ni kipashio cha kimuundo chenye neno moja au zaidi lakini kisicho na muundo wa kiima - kiarifu
Ety kuthibitisha ugumu wa somo hiloUjumbe huu unaoonekana kwenye JamiiForums unajibu hoja ya mtu aliyedai kuwa Physics ni rahisi, jambo ambalo mtoa maoni (Marco Seth) analikataa kwa nguvu na anatoa mifano ya kisayansi na kihistoria kuthibitisha ugumu wa somo hilo. Hebu tuchambue kwa upana hoja zake:
1. Uelewa wa Equation za Maxwell & Navier-Stokes
Anasema:
- Maxwell’s equations ni kanuni nne zinazoeleza jinsi umeme na sumaku vinavyofanya kazi pamoja. Zilichukua muda mrefu kueleweka kwa kina na zina umuhimu mkubwa kwenye teknolojia ya kisasa (mawasiliano, redio, nk.).
- Navier-Stokes equations zinahusu mienendo ya vimiminika (fluids). Mpaka sasa, suluhisho la jumla la equation hizi bado ni tatizo lisilotatuliwa kabisa katika hisabati — ni sehemu ya Millennium Prize Problems (malipo ya $1,000,000 kwa anayesuluhisha).
2. General Unified Field Theory
- Hii ni ndoto ya wanasayansi kama Einstein, waliotaka kuunganisha nguvu zote za asili (umeme, sumaku, uvutano n.k.) kuwa nadharia moja — haijafanikiwa hadi leo.
3. Kepler Conjecture & Hilbert's Problems
Kepler Conjecture: Ilizungumzia upakiaji bora wa mipira kwenye nafasi. Ilichukua zaidi ya miaka 400 kuthibitishwa kikamilifu hadi ilipothibitishwa na Thomas Hales mwaka 1998.
- Hilbert's Problems: Zilikuwa changamoto 23 zilizotolewa mwaka 1900; hadi sasa, baadhi bado hazijatatuliwa, ikiwa ni pamoja na Riemann Hypothesis — mojawapo ya maswali makuu ya karne hii.
4. Riemann Hypothesis
- Jibu ni hapana. Hili ni tatizo kubwa la nadharia ya namba (number theory) ambalo linahusiana na usambazaji wa namba za kwanza (prime numbers). Halijatatuliwa tangu 1859.
5. Kebehi kwa Wanaosema Physics ni Rahisi
Anahoji:
- Hapa anaonyesha dharau kwa watu wanaosema physics ni rahisi kwa sababu walifaulu mitihani ya shule ya sekondari. Anasisitiza kuwa physics ya kitaaluma (advanced) si rahisi hata kidogo.
Hitimisho
Mtoa maoni anasisitiza kuwa:
- Mafanikio ya darasani hayalingani na uelewa wa kina wa taaluma.
- Physics na Math ni ngumu, zinahitaji miaka mingi ya tafakari, utafiti, na uelewa wa kina — si suala la kufaulu kwa alama nzuri tu.
- Anapinga dhana yoyote ya “urahisi” wa masomo haya kwa kutumia hoja nzito na mifano ya kihistoria na kisayansi.
MTOA MADA NI MTU WA KUKARIRI HANA UELEWA WOWOTE ULE
Sawa Ni mtazamo wakoUjumbe huu unaoonekana kwenye JamiiForums unajibu hoja ya mtu aliyedai kuwa Physics ni rahisi, jambo ambalo mtoa maoni (Marco Seth) analikataa kwa nguvu na anatoa mifano ya kisayansi na kihistoria kuthibitisha ugumu wa somo hilo. Hebu tuchambue kwa upana hoja zake:
1. Uelewa wa Equation za Maxwell & Navier-Stokes
Anasema:
- Maxwell’s equations ni kanuni nne zinazoeleza jinsi umeme na sumaku vinavyofanya kazi pamoja. Zilichukua muda mrefu kueleweka kwa kina na zina umuhimu mkubwa kwenye teknolojia ya kisasa (mawasiliano, redio, nk.).
- Navier-Stokes equations zinahusu mienendo ya vimiminika (fluids). Mpaka sasa, suluhisho la jumla la equation hizi bado ni tatizo lisilotatuliwa kabisa katika hisabati — ni sehemu ya Millennium Prize Problems (malipo ya $1,000,000 kwa anayesuluhisha).
2. General Unified Field Theory
- Hii ni ndoto ya wanasayansi kama Einstein, waliotaka kuunganisha nguvu zote za asili (umeme, sumaku, uvutano n.k.) kuwa nadharia moja — haijafanikiwa hadi leo.
3. Kepler Conjecture & Hilbert's Problems
Kepler Conjecture: Ilizungumzia upakiaji bora wa mipira kwenye nafasi. Ilichukua zaidi ya miaka 400 kuthibitishwa kikamilifu hadi ilipothibitishwa na Thomas Hales mwaka 1998.
- Hilbert's Problems: Zilikuwa changamoto 23 zilizotolewa mwaka 1900; hadi sasa, baadhi bado hazijatatuliwa, ikiwa ni pamoja na Riemann Hypothesis — mojawapo ya maswali makuu ya karne hii.
4. Riemann Hypothesis
- Jibu ni hapana. Hili ni tatizo kubwa la nadharia ya namba (number theory) ambalo linahusiana na usambazaji wa namba za kwanza (prime numbers). Halijatatuliwa tangu 1859.
5. Kebehi kwa Wanaosema Physics ni Rahisi
Anahoji:
- Hapa anaonyesha dharau kwa watu wanaosema physics ni rahisi kwa sababu walifaulu mitihani ya shule ya sekondari. Anasisitiza kuwa physics ya kitaaluma (advanced) si rahisi hata kidogo.
Hitimisho
Mtoa maoni anasisitiza kuwa:
- Mafanikio ya darasani hayalingani na uelewa wa kina wa taaluma.
- Physics na Math ni ngumu, zinahitaji miaka mingi ya tafakari, utafiti, na uelewa wa kina — si suala la kufaulu kwa alama nzuri tu.
- Anapinga dhana yoyote ya “urahisi” wa masomo haya kwa kutumia hoja nzito na mifano ya kihistoria na kisayansi.
MTOA MADA NI MTU WA KUKARIRI HANA UELEWA WOWOTE ULE
Ukiacha kupata 97 shuleni ushafanya kitu gani Cha maana kupitia hyo fizikia kutatua changamoto yeyote au kuongeza thamani au ujuzi wowote katika jamii Yako?Sawa Ni mtazamo wako
Na mm na mtazamo Wangu
Wanaosema ni ngumu aya
ni mtazamo wao
Ukiangalia tu jinsi anavyojibu hoja zako utagundua una-argue na mtu wa aina gani.Ukiacha kupata 97 shuleni ushafanya kitu gani Cha maana kupitia hyo fizikia kutatua changamoto yeyote au kuongeza thamani au ujuzi wowote katika jamii Yako?
KabsaUkiangalia tu jinsi anavyojibu hoja zako utagundua una-argue na mtu wa aina gani.
Unaweza kupoteza nguvu kumbe unabishana na mtoto wa form-4.
Umemuelewesha na bado amepinga bila kuja na hoja za msingi. Ni Ego na utoto ndo unamsumbua
Roger ninayo hadi leo kwenye kalibrary langu thou si kitabu ambacho nilikisolve sana.Heri yenu mmepiga shule wakati Vitabu vya Muhindi S.CHAND vilivyorahisishwa viko sokoni nakumbuka enzi hizi kuna UP, ROGER MUNCASTER chepesi kidogo ilikuwa NELKON hivi vyote vya mzungu
ChaiWakati huo mimi nasema bios na chemistry ni maji ya mtungini, advance mimi nilikuwa nawaandalia walimu marking schemes yani walikuwa wanatumia karatas yangu ya majibu kama reference kusahihishia za wengine.
leta mkate tushushie mkuuChai
We inaonekana hayo masomo yamekupiga kwenye mshono, tupe ushahidi, tupia picha ya mitihani yako humuHakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎.
Namshukuru Mungu alinipa siri yake
Nikawa nafaulu
Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics
Kila kitu kinawezekana
Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe .
Watu waliopewa uwezo na Mungu
Kuyavumbua na kuelezea vitu mbalimbali. Akili tunazo , Uwezo mkubwa tunao
Kujifunza uumbaji wa Mungu. Bado na mengi hatuyajui. Mungu ni zaidi ya Physics na Math
Je tungesema Angetoa kitabu kinachoelezea Kila kitu kinachohusu
Uumbaji wake .(Science) Yote
Isingekuwa na mwisho
Na bado tena yaliyoelezewa na binadamu tena mwenzio
Unasema ni Magumu
Wanafunzi wanafeli , Wanasema ni ngumu , wanakata tamaa
Unakuta mtu ukimwambia kuhus Physics au Math anasema sitaki hata kuyasikia
Mwingine ukimwonyesha kitabu tu
View attachment 3376491
Anasema kichwa kina burst 💥
Hataki hata kuyaona
Ni kwa nini ?
Asilimia ya Watu wengi wanaona
Physics na Math ni ngumu
Shida ni nini?
Wachache haiwasumbui
Kwa wanaojua watuambie wanaonaje Physics ni rahisi?
Na mnaosema ni Ngumu
Ni kwa nini iwe Ngumu?
Ni rahisi kuyafaulu kweHakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎.

Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎.

Ni kwa nini
Ni rahisi kuyafaulu kwenye karatasi. Ugumu upo kwenye kuapply hizo theories, laws na principles kuweza kubuni au kuunda kitu ambacho kitakua applicable kwenye real life.Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎.