Flemu nyingi za biashara huku mitaani kwa asilimia kubwa zimejaa watu wa namna hii

Kumfungulia wife biashara home akiuza na watoto kuna shida gani?

Nimetoka chuo nikajiunga na machinga hatimae nikapata kiflem kuna shida gani? N.k

Hayo ya kutoa huduma mbovu ni tabia ya mtu tu hata angefungua kwa motivation zingine zaidi ya hizo
Shida ipo Kwa sababu ukipata kazi utaacha hiyo biashara.

Unafanya sio Kwa vile una passion Bali huna option nyingine ndio maana watu weusi tunakuwa maskini hatuna Cha kuridhisha Watoto kinacho generate pesa.

Haya huyo wife wako anafanya hiyo biashara Kwa mgongo wa kipato chake ,hawezi kukomaa Ili biashara ilishe familia na ikue.Unamuweka hapo Ili awe busy asiliwe na Vijana wa mtaani
 
Hii ni changamoto, yaani utoke chuo usifanye mambo kilegevu au huku unaona noma. Kuna graduqte mmoja mtaani kwetu alifungua duka, anaideas nyingi sana. Akaanza kutuuzia juice ameweka na udambwiudamwi flani. Cha ajabu yeye leo ipo kesho haipo, sababu haipo matunda yamejaa sokoni. Anajiona kama hastahiri anachokifanya, anatakiwa kuwa juu kuliko hapo.

Wakati huo mama anayetuuzia mchicha miaka sita hii kila siku atapita muda uleule iwe mvua iwe jua. Anaconsistency ya kimataifa. Huyu wa flemu qnashindwa nini huyu?
 
Shida ipo Kwa sababu ukipata kazi utaacha hiyo biashara.

Unafanya sio Kwa vile una passion Bali huna option nyingine ndio maana watu weusi tunakuwa maskini hatuna Cha kuridhisha Watoto kinacho generate pesa.

Haya huyo wife wako anafanya hiyo biashara Kwa mgongo wa kipato chake ,hawezi kukomaa Ili biashara ilishe familia na ikue.Unamuweka hapo Ili awe busy asiliwe na Vijana wa mtaani
Hizo ni changamoto tu katika kuanza lakini akizoea na akawa expert hata hiyo ajira hataitamani wengi huwa dilema baada ya kuona biashara inalipa na huku ana sifa za kupata ajira ambayo zogo ni jingi kwenye ajira hizi za kitumwa
 
Hii ni changamoto, yaani utoke chuo usifanye mambo kilegevu au huku unaona noma. Kuna graduqte mmoja mtaani kwetu alifungua duka, anaideas nyingi sana. Akaanza kutuuzia juice ameweka na udambwiudamwi flani. Cha ajabu yeye leo ipo kesho haipo, sababu haipo matunda yamejaa sokoni.

Wakati huo mama anayetuuzia mchicha miaka sita hii kila siku atapita muda uleule iwe mvua iwe jua. Anaconsistency ya kimataifa. Huyu wa flemu qnashindwa nini huyu?
Mwanzo mgumu mkuu hata huyo mama unaemsifia hakuanza hivyo alivyo sasa
 
moja kwa moja...

1: Watu wanaofanya biashara kwa sababu hawana option nyingine ila wakiipata wanakimbia.

2: Ndugu za hao mabosi wamiliki wa hizo biashara. Ndugu mwema sio lazima awe mwema kwenye kusimamia mambo yako ya msingi. Ndugu hawa wengi hawana morali na hiyo kazi na wengine wengi wanawaonea wivu wamiliki.

3: Watu walianza biashara kubwa kwa nguvu kidogo sana kiasi kwamba hata akae miaka 60 hawezi kupqnda levo inayofuata.

4: Wanafunzi waliomaliza vyuo ambao wanafanya lakini wanajiona wao ni bora kuliko hicho wanachokifanya na wateja wao.

5: Wake za watu ambao hawana ajira, au mume hataki mkewe akawe officewife wa mtu, hivyo mama anafubguliwa biashara kwenye flemu kwa ili asiboreke nyumbani au apate sehemu ya kumuweka bize.

6: Watu walioiga ndugu na marafiki wanaoshinda nao kimaisha waliposikia wamefungua biashara. Angalau na yeye asionekane yuko nyuma.

7: Watu wanaoogopa kupiga hesabu kama wanapata faida au wanapata hasara kwa kuchukua kinachoingia na matumizi yote (kodi,luku,nauli,chakula,vinjwaji, michango mbailmbali, kodi ya pango, ushuru wa uchafu etc.)

Kimsingi mimi sio mfanya biashara, ila katika kupita flemu nyingi ambazo zitafeli na kufungwa hapo baadae hizo ndio sifa nyingi za niliowakuta humo.

My take. Yesu alitoa amri, "Fanyeni biashara hadi nitakapokuja". Inabidi biashara zifanywe kwa mikakati mikubwa, kwa kumaanisha na kwa uvumilivu mkubwa ili zilete matokeo kusudiwa.

Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi.
Huyo Yesu ,uliyemnukuu ni yupi,wa Nazareti au yule alikuwa Arsenal.
 
moja kwa moja...

1: Watu wanaofanya biashara kwa sababu hawana option nyingine ila wakiipata wanakimbia.

2: Ndugu za hao mabosi wamiliki wa hizo biashara. Ndugu mwema sio lazima awe mwema kwenye kusimamia mambo yako ya msingi. Ndugu hawa wengi hawana morali na hiyo kazi na wengine wengi wanawaonea wivu wamiliki.

3: Watu walianza biashara kubwa kwa nguvu kidogo sana kiasi kwamba hata akae miaka 60 hawezi kupqnda levo inayofuata.

4: Wanafunzi waliomaliza vyuo ambao wanafanya lakini wanajiona wao ni bora kuliko hicho wanachokifanya na wateja wao.

5: Wake za watu ambao hawana ajira, au mume hataki mkewe akawe officewife wa mtu, hivyo mama anafubguliwa biashara kwenye flemu kwa ili asiboreke nyumbani au apate sehemu ya kumuweka bize.

6: Watu walioiga ndugu na marafiki wanaoshinda nao kimaisha waliposikia wamefungua biashara. Angalau na yeye asionekane yuko nyuma.

KWANI KABLA YAKE WATU WALIKUA HAWAFANYI BIASHARA?
 
Back
Top Bottom