Fomu anazotaka Odinga kwanini musimpe?

Naona tangu alipotangaza kuyakataa hasa kuanzia saa sita mchana, kasi ya UHURU kumzidi imepungua sana. Kiganja cha yule jamaa kimefanya kazi nzuri
Matokeo ni kama yamesitishwa kutangazwa mubashara, ila Raila mwenyewe alisema matokeo ya kura yarushwe moja kwa moja.
 
Si tume ni huru ?? Mapovu ya nini sasa?

Sent From Kisana Kiki Iphone
 
Si tume ni huru ?? Mapovu ya nini sasa?

Sent From Kisana Kiki Iphone
Tume bado ni dhaifu ina mikono za Serikali maana haiwezekani Mtu kuingia (kulog in) kwenye akaunti ya Chris Msando ambaye alifariki hii inasadifu ambavyo Tume haiko huru!!
 
Asante m
Asante mkuu
 
Matokeo ni kama yamesitishwa kutangazwa mubashara, ila Raila mwenyewe alisema matokeo ya kura yarushwe moja kwa moja.
yanatangazwa lakini hayaoneshi tofauti yoyote. kama ni kupigwa,alipigwa asubuhi asubuhi
 
MK254 angalia kauli zako ndugu zisiwe na ukakasi sana na kuendelea kuwakasirisha watu ambao pengine wameanza kuwa na wasi wasi!

Kuwaita wakenya wenzio mazombi wakati huu wa sintofaham inaweza kuamsha mori wa hao unaowaita mazombi!

Ni hayo tu!
 
Odinga akubali tu matokeo aende nyumbani.
 

Hii lugha uliyoitumia hapa, inaonyesha chuki ya ndani kabisa kwa jamii hiyo wa Wakisumu (Luo)
 
acha kinuke tu,hatutaki wizi sisi.

Si mgawe nchi sasa?, Jirani zenu Sudan na Ethiopia wote wameweza bado nyie tu, huko Nyanza-Kisumu kuwe na nchi yake na Pwani -Lamu, Malindi na Mombasa juwe na nchi zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…