Fomu anazotaka Odinga kwanini musimpe?

Fomu anazotaka Odinga kwanini musimpe?

Naona tangu alipotangaza kuyakataa hasa kuanzia saa sita mchana, kasi ya UHURU kumzidi imepungua sana. Kiganja cha yule jamaa kimefanya kazi nzuri
Matokeo ni kama yamesitishwa kutangazwa mubashara, ila Raila mwenyewe alisema matokeo ya kura yarushwe moja kwa moja.
 
Hizo fomu za 34A's wakizipakua (Upload) Raila anashinda kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Kenya kwa sababu Ezra Chiloba, CEO wa IEBC pia ni Afisa Usalama ndie anashirikiana na NIS wenzie kuhariri Matokeo ya Uchaguzi kisha wanatuma kwenye Kanzi Data ya IEBC ndio maana hayo Matokeo hayana Fomu 34!
Si tume ni huru ?? Mapovu ya nini sasa?

Sent From Kisana Kiki Iphone
 
Si tume ni huru ?? Mapovu ya nini sasa?

Sent From Kisana Kiki Iphone
Tume bado ni dhaifu ina mikono za Serikali maana haiwezekani Mtu kuingia (kulog in) kwenye akaunti ya Chris Msando ambaye alifariki hii inasadifu ambavyo Tume haiko huru!!
 
Asante m
Majority of kenyans can understand English, so ukutumia Kingereza Kenya wakenya wengi wataelewa unachokisema. Wengi wanaskia but speaking it can be hard to a good number of Kenyans. But kuzungumza I guess every Kenyan can speak in Kiswahili. Almost every Kenyan
Asante mkuu
 
Matokeo ni kama yamesitishwa kutangazwa mubashara, ila Raila mwenyewe alisema matokeo ya kura yarushwe moja kwa moja.
yanatangazwa lakini hayaoneshi tofauti yoyote. kama ni kupigwa,alipigwa asubuhi asubuhi
 
Haya mazombi yatulie kwanza na kusubiri, tayari fomu zinakusanywa na atapewa Raila na Wakenya wote, sasa yameanza kuwasha moto Kisumu, huwa yanachukiza balaa.

1613282_0.jpg

A supporter of Opposition leader Raila Odinga, burns tyres during a protest in Kisumu after their political leader claimed massive fraud in the election, August 9, 2017. /REUTERS
MK254 angalia kauli zako ndugu zisiwe na ukakasi sana na kuendelea kuwakasirisha watu ambao pengine wameanza kuwa na wasi wasi!

Kuwaita wakenya wenzio mazombi wakati huu wa sintofaham inaweza kuamsha mori wa hao unaowaita mazombi!

Ni hayo tu!
 
Huu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo fomu zote na kumpa Odinga na pia kuzianika hadharani ili ushindi huu ukubalike vizuri.

Maana Raila akianza kuimba imba na kutaja wizi, wafuasi wake wanamskiliza sana na wanaweza kukinukisha.
Odinga akubali tu matokeo aende nyumbani.
 
Haya mazombi yatulie kwanza na kusubiri, tayari fomu zinakusanywa na atapewa Raila na Wakenya wote, sasa yameanza kuwasha moto Kisumu, huwa yanachukiza balaa.

1613282_0.jpg

A supporter of Opposition leader Raila Odinga, burns tyres during a protest in Kisumu after their political leader claimed massive fraud in the election, August 9, 2017. /REUTERS

Hii lugha uliyoitumia hapa, inaonyesha chuki ya ndani kabisa kwa jamii hiyo wa Wakisumu (Luo)
 
acha kinuke tu,hatutaki wizi sisi.

Si mgawe nchi sasa?, Jirani zenu Sudan na Ethiopia wote wameweza bado nyie tu, huko Nyanza-Kisumu kuwe na nchi yake na Pwani -Lamu, Malindi na Mombasa juwe na nchi zingine
 
Back
Top Bottom