johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Fomu hii namba 8A inatakiwa kujazwa na wagombea wa Urais mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu. Ni ya kuahidi kulinda, kuheshimu na kuzingatia maadili ya uchaguzi na taratibu zake.
Ukitenda kinyume cha maadili ya uchaguzi unaweza kuenguliwa kwenye uchaguzi wakati kampeni zikiendelea. Kwa hiyo wagombea wenye munkari, jazba na mizuka kama Ni Yeye wa CHADEMA hii ni spidi gavana.
Ni katika kukumbushana tu.
Maendeleo hayana vyama!