Uchaguzi 2020 Fomu namba 8A ndiyo itakayombana Tundu Antipas Lissu, ni ya Maadili ya Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Fomu namba 8A ndiyo itakayombana Tundu Antipas Lissu, ni ya Maadili ya Uchaguzi

Vyama mbadala vya Tanzania hasa mashabiki wao hawaijui vizuri CCM Sie tunaoijua tulishaongea sana tukakala nje sana tukajivika ukamanda sana pia tuliiona Ikulu hii hapo ila maajabu yaliyotokea kujikoroga sie wenyewe tokea siku hyo ndo nikajiweka mbali na siasa YAN KAMA NI UPINZANI KUSHINDA ILKUA NI 2015 SAIZ NI KUMSUMBUA TU MMEO WAKATI UKIJUA KABISA HAWEZI LALA BILA YA KUKUPIGA BAO
Jinga wewe. Umekata tamaa halafu unatufundisha ujinga wako.
Kama Kijana Daudi angekata tamaa kama mfalme Sauli, Israel wote wangekuwa watumwa wa Wafilisti!!? Alijitoa muhanga dhidi ya Goliath. Akamuua!!!
Magufuli amewafanya Watanzania watumwa wake kwa miaka mitano, inatosha. Ni muda muafaka arudi Kijijini Chato "akawafokee" Wanakijiji wenzake.
After all he has reached a retired age.
 
Fomu hii namba 8A inatakiwa kujazwa na wagombea wa urais mbele ya Jaji wa mahakama kuu.

Ni ya kuahidi kulinda, kuheshimu na kuzingatia maadili ya uchaguzi na taratibu zake.

Ukitenda kinyume cha maadili ya uchaguzi unaweza kuenguliwa kwenye uchaguzi wakati kampeni zikiendelea.

Kwa hiyo wagombea wenye munkari, jazba na mizuka kama Ni Yeye wa CHADEMA hii ni spidi gavana.

Ni katika kukumbushana tu.

Maendeleo hayana vyama!
It is among the rubbish documents!
 
Nini mahindi.....hata mtori tutakunywa sana tu!
Ha haha, hayo "Indian to burn" mtakula sana mwaka huu!
IMG-20200806-WA0007.jpg
 
Wagombea uraisi TZA
0.Hashim rungwe spunda
1.Lissu
2.Makufuli
3.lissu na member
 
Fomu hii namba 8A inatakiwa kujazwa na wagombea wa Urais mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu. Ni ya kuahidi kulinda, kuheshimu na kuzingatia maadili ya uchaguzi na taratibu zake.

Ukitenda kinyume cha maadili ya uchaguzi unaweza kuenguliwa kwenye uchaguzi wakati kampeni zikiendelea. Kwa hiyo wagombea wenye munkari, jazba na mizuka kama Ni Yeye wa CHADEMA hii ni spidi gavana.

Ni katika kukumbushana tu.

Maendeleo hayana vyama!

Unajaribu kutulisha upepo na maneno tupu...

Iko wapi hiyo fomu 8A...?
 
Fomu hii namba 8A inatakiwa kujazwa na wagombea wa Urais mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu. Ni ya kuahidi kulinda, kuheshimu na kuzingatia maadili ya uchaguzi na taratibu zake.

Ukitenda kinyume cha maadili ya uchaguzi unaweza kuenguliwa kwenye uchaguzi wakati kampeni zikiendelea. Kwa hiyo wagombea wenye munkari, jazba na mizuka kama Ni Yeye wa CHADEMA hii ni spidi gavana.

Ni katika kukumbushana tu.

Maendeleo hayana vyama!
Mnaota kuweka pingamizi tu, hizi ni dalili mbaya kabisa kwa chama chakavu
 
Fomu hii namba 8A inatakiwa kujazwa na wagombea wa Urais mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu. Ni ya kuahidi kulinda, kuheshimu na kuzingatia maadili ya uchaguzi na taratibu zake.

Ukitenda kinyume cha maadili ya uchaguzi unaweza kuenguliwa kwenye uchaguzi wakati kampeni zikiendelea. Kwa hiyo wagombea wenye munkari, jazba na mizuka kama Ni Yeye wa CHADEMA hii ni spidi gavana.

Ni katika kukumbushana tu.

Maendeleo hayana vyama!
Vipi na huyo mwingine yeye habanwi na maadili sio
 
Chunga sana hili bandiko sio la mzaha[emoji116]

Tulisha yaona mengi sana kama haya. Kwanza can somebody tell us who are these!? Wanamtaja Lissu kama 'client" wao, hawa ni mawakili wake wapya au ni akina nani?

Halafu hawa mabeberu hawabadiliki, they cannot go with time, hivi wanadhani bado kuna nchi za Kiafrika zinawezwa kutishwa na upuuzi kama huu?

This is just a cheapacademic exercise done by unchanging neocolonialists who still think they can intimidate and direct us what to do.

Sasa wamwambie hyo "client" wao kuwa akivunja sheria za nchi hii, haijarishi ni mgombea au mgombewa, atashughulikiwa tu na halafu tuone hao watetezi wake watafanya nini.

Halafu hebu waambieniau waulizeni mbona kwenye hiyo orodha ya walengwa Gen. Mabeyo hayumo? KULIKONI?
 
Tulisha yaona mengi sana kama haya. Kwanza can somebody tell us who are these!? Wanamtaja Lissu kama 'client" wao, hawa ni mawakili wake wapya au ni akina nani? Halafu hawa mabeberu hawabadiliki, they cannot go with time, hivi wanadhani bado kuna nchi za Kiafrika zinawezwa kutishwa na upuuzi kama huu? This is just a cheapacademic exercise done by unchanging neocolonialists who still think they can intimidate and direct us what to do. Sasa wamwambie hyo "client" wao kuwa akivunja sheria za nchi hii, haijarishi ni mgombea au mgombewa, atashughulikiwa tu na halafu tuone hao watetezi wake watafanya nini. Halafu hebu waambieniau waulizeni mbona kwenye hiyo orodha ya walengwa Gen. Mabeyo hayumo? KULIKONI?
mabeyo yupo ndugu soma vizuri
1596724457812.png
 
Back
Top Bottom