The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Yaani CCM na Magufuli wao, taabu tupu...
Yaani nyie mnawaza namna ya kupata ushindi wa mezani tu....
Yaani 24hrs ni vikao vya MATAGA tu mkijaribu ku - sort number of options za kumuengua Tundu Lissu huku option ya kutumia jukwaa la kampeni mkijaribu kila njia kuiepuka...!!
Kwanini mnamgwaya sana Tundu Lissu nyie CCM? Kwanini mnamgwaya Benard Membe, Mbowe, Zitto Kabwe? Why, Why?
Yaani mmefanya siasa nyie tu miaka mitano huku bado mkiwa na SGR na Bombardier na Dreamliners na Ma - Stiglers, mabarabara, maumeme kila kijiji. Lakini cha ajabu CCM bado hawajiamini na waoga kupindukia hata wanajaribu kutaka kupewa taji la ushindi bila kushindana....!!
Kwanini mnaogopa ushindani? Au mnawadanganya tu wananchi kuwa mmefanya hiki ama kile huku kumbe ikiwa ni uongo tu??
Tuacheni majukwaa ya kampeni na kushindana kwa hoja yafanye kazi. Tuacheni wananchi wachague kati ya MABEBERU MEUSI - CCM au WAZUNGU...