Uchaguzi 2020 Fomu namba 8A ndiyo itakayombana Tundu Antipas Lissu, ni ya Maadili ya Uchaguzi

Uchaguzi 2020 Fomu namba 8A ndiyo itakayombana Tundu Antipas Lissu, ni ya Maadili ya Uchaguzi

Atafika tu kwa mapenzi ya Mungu. Na kwa mapenzi yake Mungu, wewe unaweza kutangulia kabla yake. Kuna wangapi wameaga Dunia, wengine kwa kuanguka tu, lakini Lisu wa risasi 18 yu hai mpaka leo. Na atakuwa hai kwa siku zake zote ambazo Mungu kampangia kuishi Duniani.

Na wale ibilisi wote wanaodhani wana uwezo wa kuamua nani aishi na nani asiishi watatangulia wao, na wengine watalemaa na kutojiweza, wakati Tundu Lisu akizidi kuwa imara zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lowassa anadunda hadi leo!
 
Hofu ya Jiwe juu ya Lissu imeshuka Mpaka chini kwa Vibaraka wake wa Lumumba.
Kila Mwana Lumumba anamuogopa Lissu
Yaani ni Kama Baba wa Nyumba aoneshe hofu Mahala Familia nzima itakuwa na hofu

Ni kweli mkuu. Lumumba wamejaa hofu hadi matakoni. Yaani wanaomba balaa lolote limwangukie Lisu kabla hata Kampeni hazijaanza.

Nimemtazama Polepole jana. Ni ushahidi usio na shaka wa kuchanganyikiwa kwa Lumumba team. Sasa wanatafuta cheap propaganda. Hawataweza.

Onyo kwa Wanalumumba kwamba kama huyo "Mwanakijiji" wenu hauziki, don't try any monkey's buiseness. Haitakuwa heri kwenu. To tell you the truth: Only God will intervene this time after bloodbath.
 
Fomu hii namba 8A inatakiwa kujazwa na wagombea wa urais mbele ya Jaji wa mahakama kuu.

Ni ya kuahidi kulinda, kuheshimu na kuzingatia maadili ya uchaguzi na taratibu zake.

Ukitenda kinyume cha maadili ya uchaguzi unaweza kuenguliwa kwenye uchaguzi wakati kampeni zikiendelea.

Kwa hiyo wagombea wenye munkari, jazba na mizuka kama Ni Yeye wa CHADEMA hii ni spidi gavana.

Ni katika kukumbushana tu.

Maendeleo hayana vyama!
Mmeamua kuja na 'risasi za aina nyingine'? Zinakwenda kushindwa kama zile za awali.
 
Fomu hii namba 8A inatakiwa kujazwa na wagombea wa urais mbele ya Jaji wa mahakama kuu.

Ni ya kuahidi kulinda, kuheshimu na kuzingatia maadili ya uchaguzi na taratibu zake.

Ukitenda kinyume cha maadili ya uchaguzi unaweza kuenguliwa kwenye uchaguzi wakati kampeni zikiendelea.

Kwa hiyo wagombea wenye munkari, jazba na mizuka kama Ni Yeye wa CHADEMA hii ni spidi gavana.

Ni katika kukumbushana tu.

Maendeleo hayana vyama!
Labda hamumfahamu Lissu, Nasema mnajifariji! Wait and see
 
Vyama mbadala vya Tanzania hasa mashabiki wao hawaijui vizuri CCM Sie tunaoijua tulishaongea sana tukakala nje sana tukajivika ukamanda sana pia tuliiona Ikulu hii hapo ila maajabu yaliyotokea kujikoroga sie wenyewe tokea siku hyo ndo nikajiweka mbali na siasa YAN KAMA NI UPINZANI KUSHINDA ILKUA NI 2015 SAIZ NI KUMSUMBUA TU MMEO WAKATI UKIJUA KABISA HAWEZI LALA BILA YA KUKUPIGA BAO
 
Chadema mmechemka mno ni yeye ana mdomo jamani mtu anakaa kumbukana kiongozi ati hajui kiswahili wala kiingereza wakati amechaguliwa na wananchi anaoenda kuwaomba kura
 
Fomu hii namba 8A inatakiwa kujazwa na wagombea wa urais mbele ya Jaji wa mahakama kuu.

Ni ya kuahidi kulinda, kuheshimu na kuzingatia maadili ya uchaguzi na taratibu zake.

Ukitenda kinyume cha maadili ya uchaguzi unaweza kuenguliwa kwenye uchaguzi wakati kampeni zikiendelea.

Kwa hiyo wagombea wenye munkari, jazba na mizuka kama Ni Yeye wa CHADEMA hii ni spidi gavana.

Ni katika kukumbushana tu.

Maendeleo hayana vyama!

Kwanini mnataka kumuengua badala ya kwenda nae kwenye sanduku la kura, safari hii mtu ataruka kichura badala ya push up ngoja muda wa kampeni ufike
 
Kwanini mnataka kumuengua badala ya kwenda nae kwenye sanduku la kura, safari hii mtu ataruka kichura badala ya push up ngoja muda wa kampeni ufike
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]zinatafutwa kila aina ya Mbinu Chama tawala miaka 60 kinaogopa Act ina miezi tu
 
Kugombea Urais ndio political suicide ya jamaa, itafika mahali watu watazoea kelele zake hata kuwa na jipya tena, let him enjoy the ride while it lasts.
 
Huo ushindi wa mezani msahau! Na kibano kutoka kwa Lissu kiko palepale!
Nimeona mgombea wenu anaonyesha magorofa. Hope dodoma wagogo wamegawiwa magorofa leo!
Jiwe amepanic yani ni mshamba kweli, hivi hayo maghorofa yametoa ajira ngapi kwa vijana tulio nao mtaani
 
Na wale wagombea ambao wameshaanza kampeni kabla ya muda Je form numberi 8A na sheria nyinginezo zina uwezo wa kuwadhibiti?
 
Fomu hii namba 8A inatakiwa kujazwa na wagombea wa urais mbele ya Jaji wa mahakama kuu.

Ni ya kuahidi kulinda, kuheshimu na kuzingatia maadili ya uchaguzi na taratibu zake.

Ukitenda kinyume cha maadili ya uchaguzi unaweza kuenguliwa kwenye uchaguzi wakati kampeni zikiendelea.

Kwa hiyo wagombea wenye munkari, jazba na mizuka kama Ni Yeye wa CHADEMA hii ni spidi gavana.

Ni katika kukumbushana tu.

Maendeleo hayana vyama!
Halafu watu wakikuheshimu uwe unawarudishia heshima yao. Hivi wewe ni wa kuanzisha thread utopolo kama hii?
 
Back
Top Bottom