Zakaria Lang'o
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,768
Jinga wewe. Umekata tamaa halafu unatufundisha ujinga wako.Vyama mbadala vya Tanzania hasa mashabiki wao hawaijui vizuri CCM Sie tunaoijua tulishaongea sana tukakala nje sana tukajivika ukamanda sana pia tuliiona Ikulu hii hapo ila maajabu yaliyotokea kujikoroga sie wenyewe tokea siku hyo ndo nikajiweka mbali na siasa YAN KAMA NI UPINZANI KUSHINDA ILKUA NI 2015 SAIZ NI KUMSUMBUA TU MMEO WAKATI UKIJUA KABISA HAWEZI LALA BILA YA KUKUPIGA BAO
Kama Kijana Daudi angekata tamaa kama mfalme Sauli, Israel wote wangekuwa watumwa wa Wafilisti!!? Alijitoa muhanga dhidi ya Goliath. Akamuua!!!
Magufuli amewafanya Watanzania watumwa wake kwa miaka mitano, inatosha. Ni muda muafaka arudi Kijijini Chato "akawafokee" Wanakijiji wenzake.
After all he has reached a retired age.