Uchaguzi 2020 Fomu namba 8A ndiyo itakayombana Tundu Antipas Lissu, ni ya Maadili ya Uchaguzi

Yaani CCM na Magufuli wao, taabu tupu...

Yaani nyie mnawaza namna ya kupata ushindi wa mezani tu....

Yaani 24hrs ni vikao vya MATAGA tu mkijaribu ku - sort number of options za kumuengua Tundu Lissu huku option ya kutumia jukwaa la kampeni mkijaribu kila njia kuiepuka...!!

Kwanini mnamgwaya sana Tundu Lissu nyie CCM? Kwanini mnamgwaya Benard Membe, Mbowe, Zitto Kabwe? Why, Why?

Yaani mmefanya siasa nyie tu miaka mitano huku bado mkiwa na SGR na Bombardier na Dreamliners na Ma - Stiglers, mabarabara, maumeme kila kijiji. Lakini cha ajabu CCM bado hawajiamini na waoga kupindukia hata wanajaribu kutaka kupewa taji la ushindi bila kushindana....!!

Kwanini mnaogopa ushindani? Au mnawadanganya tu wananchi kuwa mmefanya hiki ama kile huku kumbe ikiwa ni uongo tu??

Tuacheni majukwaa ya kampeni na kushindana kwa hoja yafanye kazi. Tuacheni wananchi wachague kati ya MABEBERU MEUSI - CCM au WAZUNGU...
 
Ni nyingi sana risasi, RISASI ZA HOJA siyo matusi na kusemasema mambo uliyotumwa na wanaokufadhili. CCM ni hoja tu kwa kwenda mbele
Nimemuona leo dr Bashiru analalamika kuhusu kazi na bata yani katumia muda wake mwingi kuishambulia kauli ya kazi na bata.
Hizi za dr.bashiru ndiyo risasi za hoja ambazo sio za kusemana????

Ndiyo katibu mkuu huyo wa chama huyu kauli yake ndiyo msimamo wa chama.
 
Usiseme watanzania sema wanachadema.
 
Ushalewa wanzuki
 
Mbona nyie ndo munatusemea.
Tunajua maana ya uchaguzi ndo maana hatusemi sana.
Pigeni kelele ila atakae apishwa ni Jiwe.
 
Jiwe amepanic yani ni mshamba kweli, hivi hayo maghorofa yametoa ajira ngapi kwa vijana tulio nao mtaani
Mkuu bado unawaza ajira kabisa
Jiajiri kazi kubadiri smart fone tu.
 
Mchapane na nani sema mtachapwa
 
Lissu ana akili kuliko magamba woote huko kwenu
 
Aisee ccm wamechooka mapema sana, inawezekana walijiamini sana kupita kiasi wakajua kuwa mh Lissu hawezi kurudi Tanzania.
Huo ushindi wa mezani msahau! Na kibano kutoka kwa Lissu kiko palepale!
Nimeona mgombea wenu anaonyesha magorofa. Hope dodoma wagogo wamegawiwa magorofa leo!
 
Sasa kila mtu pale lumumba anashika lake hakuna mwenye maamuzi.
Hofu ya Jiwe juu ya Lissu imeshuka Mpaka chini kwa Vibaraka wake wa Lumumba. Kila Mwana Lumumba anamuogopa Lissu.Yaani ni Kama Baba wa Nyumba aoneshe hofu Mahala Familia nzima itakuwa na hofu
 
Mbona nyie ndo munatusemea.
Tunajua maana ya uchaguzi ndo maana hatusemi sana.
Pigeni kelele ila atakae apishwa ni Jiwe.
Jiwe wako akishinda kwa halali hakuna noma, lakini safari hii akitaka abebwe na tume, mapolisi na usalama wa Taifa, ndipo mtakapojua hamjui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…