For CHADEMA Followers: What comes around goes around

For CHADEMA Followers: What comes around goes around

Kinakufa huku mnanunua maiti? Acha wafu wazike wafu wenzao! Haya Wafu wanakimbilia kwa CCM

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Madiwani siyo wapiga kura, kipimo halisi ni uwanja wa haki October 25. haya mengine ya njaa za watu achana nayo kama una akili kdogo.
 
makatibu wakuu wawili wamekihama kwa muda sio zaidi ya miaka mitano, ni jambo la kufikirisha mno.

Kumbuka hawa ndio walikuwa watendaji wakuu. sasa wakihama jiulize nini kinaendelea humo ndani. Ni wazi kuwa kuna matatizo.
 
Kimekufa huku muda wote mnatumia mapolis kuwazuia wasifanye mikutano.you guys you are not serious.
 
1000 digits,
Mlitaka Mwambe au Sumaye ndio mmojawapo ashinde uenyekiti ili CHADEMA iwe kama CUF? Mmefeli sasa ni porojo tu!
 
makatibu wakuu wawili wamekihama kwa muda sio zaidi ya miaka mitano, ni jambo la kufikirisha mno.

Kumbuka hawa ndio walikuwa watendaji wakuu. sasa wakihama jiulize nini kinaendelea humo ndani. Ni wazi kuwa kuna matatizo.
Mawaziri wakuu wawili walihama kwa kipindi kisichozidi mwezi mmoja,ulikuja hapa kusema hayo unayosema?
Dr Slaa na Mashinji sababu za kuhama kwao zinajulikana,kukosa tonge!
 
  • Thanks
Reactions: NNP
Mjinga uona urefu umbali wa miguu yake!
Vyama vya upinzani kufa ni kuwa wale wale waliokuwepo upinzani sasa wanahamia lumumba...
Na kwa jinsi ninavowafahamu hapachelewi kuchimbika...!
 
Chama kufa Ni ngumu, kwa Nini nguvu kubwa inatumika kahakikisha kinafutika?. Upinzani upo ndani ya nafsi,kuamini haya kumbuka hii kauli.

Nkulipe mshahara,nkupe gari la kutembelea halafu nisikie umemtangaza mpinzani ahiiiiii!.
Hapa Ni uthibitisho kuwa wapinzani watashinda uchaguzi ila hawatatangazwa.
 
Back
Top Bottom